jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Medvedev kuhusu tangazo la Uingereza, kwamba itapeleka wanajeshi Ukraine: “Idadi ya viongozi wasio na uwezo katika nchi za NATO inaongezeka. mpumbavu mmoja mpya, Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, ameamua kuhamisha kozi za mafunzo ya lugha ya Kiingereza kwa wanajeshi wa Ukraine.