Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kutokana na kipigo toka kwa Ukraine Huko "Black Sea Fleet" Urusi yaitelekeza Base yake muhimu huko "Crimea"na kukimbiza Meli zake za kivita mbali zaidi πŸ€”

My take:Wakati Urusi inachezea kichapo na kukimbia ,Warusi wa mchongo toka buza,watakuja na kudai,"Hizo ni mbinu katika medani ya kivita kumvuta adui karibu"πŸ˜‚
.......
 
US Deploys at least nine B-2 Stealth Bombers to Europe

07 OCTOBER 2023

US Deploys at least nine B-2 Stealth Bombers to Europe(photo of bombers below).

The United States on Friday allegedly deployed at least nine (9) -- and reportedly "dozens"-- of B-2, nuclear-capable, Stealth Bombers to Europe on Friday. Those aircraft are specifically designed for a nuclear first-strike.

Video posted publicly, reportedly shows the deployment as it took place:

View: https://youtu.be/Y95NzcwP1A4This deployment came just one day after Russian President Vladimir Putin said publicly that if an enemy launches a nuclear attack upon Russia, "hundreds of our missiles will be in the air against ALL our enemies, in ALL directions -- and there will be no survivors"

Here is that video of President Putin's public remarks:


View: https://x.com/MarioNawfal/status/1710338657956094383?s=20
 

Attachments

  • Nine-B-2-Stealth-Leave-For-Europe-10-06-2023_large.png
    167 KB · Views: 22
Putin kachanganyikiwa.Yeye alipojiingiza kwenye vita vya Ukraine hakupiga hesabu vizuri.Alidhani angekuta ni mteremko tu kama vile alivyojichukulia Crimea.Mambo yamekuwa magumu sasa anatishia nyuklia.Hii inaonyesha jinsi gani amejikatia tamaa.Putin na Hali ya vita vya Ukraine inavyokwenda,haoni dalili ya kushinda .Matumizi ya nukes ni sawa na mgonjwa ambayo haoni dalili ya kupona,aliyekata tamaa na kuamua kujinyongaπŸ€”
 
Alishaonya tangu mwanzo,kwa kuwa he saw the possibilities of NATO intervening because of the importance they attache to Ukraine.An intelligent mind however would ask the following questions:-

1.Why is the West attaching so much importance to Ukraine to the extent that it ignores the welfare of it's own people and ready to fight such a murderous, horrendous, horrific and extreme human distabilizing war.

2.Why is Russia so adamant in making sure that the West does not install a puppet government in Ukraine, to such an extent that it is prepared to use even nuclear weapons to annihilate the West?

A right and logical answer to to the foregoing questions is crucial in understanding the Russia-Ukraine conflict and arriving at logical and rational conclusions.
 
Maonyesho tu hayo kama ya nanenane. Alishamfanyia maonyesho kiduku na mimeri yake, yakapitiliza kusikojulikana.
Kama yeye ni mwanamume arushe basi kabomu kamoja tu ka nuclear aone majibu ya mwamba Putin
Alichokiongea mwamba Putin kipo clear kabisa kwa mtu mwenye akili timamu.

Putin kasema Russia italazimika kutumia nuclear ktk mambo mawili tu. Moja kama itashambuliwa na nuclear na pili ni ktk situation ya kusavaivo iwapo watakuwa wapo ktk situation ya kupotezwa
 
Putin anafanya mambo kwa propaganda zaidi kuliko uhalisia.Yeye bado anaishi kwenye yale maisha ya vita baridi,enzi za USSR,ambapo kiuhalisia dunia imebadilika na hayo mambo hayapo.Sasa hivi ni enzi ya vita vya kiuchumi zaidi na sio manyuklia πŸ€”
 
Your comment is wrong,umelishwa matango mwitu.The West ndio watu wa propaganda na talalila nyingi,wake up to this truth.CIA ndiyo inayotumiwa kwa kazi hiyo through it's Mockingbird Media.

Hivi hujawahi kusikia kuwa US inaitwa Empire of Lies?
 
Unakumbuka gharika ya Noah?
Unakumbuka world War I na II? Watu walisema hivyo hivy😡kay tusubiri.
 
Connect with John 8:44.
 
US wanajua Putin kapania kumaliza umwamba wao duniani, kitu ambacho US na vibaraka wake hawatakubali kirahisi.

WW3 haiepukiki, ilitabiriwa maelfu ya miaka iliyopita kwenye biblia.
Mkuu kwa upande wangu pia naona kwa jinsi mambo yanavyokwenda, WWIII haiepukiki.Ila sina hakika kama imetajwa kwa jina kwenye Biblia,kama ipo andiko nipe.

Najua kwenye Kitabu cha Ufunuo kuna matukio mengi ambayo yataua watu wengi, especially in Revelation 6&9;14-19.Rumours of wars are mentioned in Mathew 24:6-13, where I believe WWIII is included,but again, no specific mention.

Harmagedon is mentioned only once in Revelation 16:16,but this is not WWIII.Harmagedon is the last showdown between Jesus Christ and Satan(Forces of Light Vs Forces of Darkness),after which Jesus's Eternal Kingdom will be established here on Earth.
 
Connect with John 8:44.

John.8:44 says,
"You are of your father the devil, and your will is to do your father's desires. He was a murderer from the beginning, and has nothing to do with the truth, because there is no truth in him. When he lies, he speaks according to his own nature, for he is a liar and the father of lies."

It is true Gagnija that Satan lies,but that is just a tool he uses in carrying out his main goals,which are to kill,destroy and steal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…