lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Pamo
Pamoja comradeAhsante rafikView attachment 2773936
Pamoja comradeAhsante rafikView attachment 2773936
🤣😂😂😂🤣🤣 Aaaah ha hahahaa.Nnavyomjua dogo kiduku wa NK hii habari ya BURERVESTINIC ameshaipata na ameshavurugwa sidhani kama mwaka utaisha hajaenda tena Moscow.Yaani habari za 🚀 na Nukes zinamtia sana mzuka
Yes you do lie,but in this case I meant Satan.Gagnija lies? 😆😆😆
Putin anafanya mambo kwa propaganda zaidi kuliko uhalisia.Yeye bado anaishi kwenye yale maisha ya vita baridi,enzi za USSR,ambapo kiuhalisia dunia imebadilika na hayo mambo hayapo.Sasa hivi ni enzi ya vita vya kiuchumi zaidi na sio manyuklia 🤔a
Dunia uliibadilisha wewe? Zaidi ya miaka 60 nchi za Africa bado zinapambana na malaria na kipindu pindu na ulivyo kimeo unasema dunia imebadilika?Putin anafanya mambo kwa propaganda zaidi kuliko uhalisia.Yeye bado anaishi kwenye yale maisha ya vita baridi,enzi za USSR,ambapo kiuhalisia dunia imebadilika na hayo mambo hayapo.Sasa hivi ni enzi ya vita vya kiuchumi zaidi na sio manyuklia 🤔
RIGHT NOW: Iran’s parliament is chanting “Death to Israel! Death to America!” as their terror cells massacre Israeli women and children This is the regime that JOE BIDEN just gave $6BILLION & a pathway to nuclear weapons too.Eneo walilochukua hamas ndani ya siku moja ni kubwa zaidi kuliko eneo walilochukua Ukraine ndani ya miezi minne ya kaunta offensive
Mchawi lughaJohn.8:44 says,
"You are of your father the devil, and your will is to do your father's desires. He was a murderer from the beginning, and has nothing to do with the truth, because there is no truth in him. When he lies, he speaks according to his own nature, for he is a liar and the father of lies."
It is true Satan Gagnija lies,but that is just a tool he uses in carrying out his main goals,which are to kill,destroy and steal.
Ukitazama Kwa hicho la tatu hivi vikundi vya kipalestina ni kama wanafanya kazi na marekani na Israel Kwa namna moja au nyingine nasema hivi Kwa sababu,Kwa kilichotokea leo jeshi la Israel limedhalilika pakubwa sana aisee.Ebu fikilia hao ni Wanamgambo wa Hamas na mashine gun tu je ingekuwa Wagner mixer vifaru na air defence.Story za Hollywood zimeharibu sana vichwa vya watu. Nasimama na palestina maana Israel imeamua kuitumikia Marekani Sasa wamechagua kipigo.View attachment 2775053
Vikosi gani hivyo wakati tuna taarifa hizi?Vikosi vya Ukraine vyaharabu vifaru 6
Naunga mkono hojaUkitazama Kwa hicho la tatu hivi vikundi vya kipalestina ni kama wanafanya kazi na marekani na Israel Kwa namna moja au nyingine nasema hivi Kwa sababu,
Ukifatilia Kwa umakini toka mwaka 1947 taifa la Israel linaundwa limekuwa linaongeza maeneo ya mipaka yake ya nchi kila siku, lakini ukiangalia njia ambayo anaongeza maeneo ni Ile Ile, (tofauti ni Ile tu vita ya mwaka 1967 ambayo waarabu waliungana) yaani kuna kikundi cha kipalestina kinaanza kushambulia Israel halafu muisrael anajibu Kwa kipigo kikali na kuua raia wengi na kuchukua maeneo mapya Kwa lengo kama kuweka buffer zone lakini mwisho wa siku Israel analifanya ni ardhi yake,
Sasa huwenda marekani na Israel wanataka kumega eneo jingine ndani ya Palestina sasa wanatafuta sababu ya kuchukua eneo hilo,
Nasema hivi sababu sioni mafanikio watakayoyapata Palestina baada ya kushambulia Israel Jana, matokeo yake yatakuja kutokea mauaji makubwa Kwa Palestinian na sidhani kama wanaweza kuwazuia waisrael kwenye battlefield, labda kama wanasapoti ya waarabu lakini kinyume na hapo naona kuna damu nyingi za wapalestina zinaenda kumwagika Kwa kisingizio cha Israel inajibu mapigo au inajilinda,
Kitu pekee ninachojiuliza kama hiki kikundi kinajua nini kitafata Kwa kuishambulia Israel kwanini wanaanzisha ugomvi ambao wanajua kabisa watashindwa????
Hapa ndipo napata hisia kuwa kwenye vikundi vya wanamgambi wa kiPalestina kuna mamluki wa Israel na marekani,
Labda kuna kitu sikielewi naomba mnifahamishe