Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Video ya Mwaka jana hii, ndio hali iliyopo sasa. Kwamba itatokea mvurugano hapo mashariki ya kati na kila mtu atasahau kila kitu kuhusu Ukraine.
Ngoja wachakazwe tu hakuna namna [emoji848]Ukraine hii sio poa mnachomfanya supapawa mpaka anawaza kutumia nyuklia [emoji848]
.....
Recent updates as of 08.10[emoji116]
View attachment 2776785
Nilifikiri propaganda ni kwenye vita ya urusi na Ukraine tu ,kumbe hata huku??Benjamin Netanyau yupo hoi Hospital]pic.twitter.com/0djXK4nGsf
something broke! He was taken to Sheba Hospital in Tel Shumer
Mh!Ukitazama Kwa hicho la tatu hivi vikundi vya kipalestina ni kama wanafanya kazi na marekani na Israel Kwa namna moja au nyingine nasema hivi Kwa sababu,
Ukifatilia Kwa umakini toka mwaka 1947 taifa la Israel linaundwa limekuwa linaongeza maeneo ya mipaka yake ya nchi kila siku, lakini ukiangalia njia ambayo anaongeza maeneo ni Ile Ile, (tofauti ni Ile tu vita ya mwaka 1967 ambayo waarabu waliungana) yaani kuna kikundi cha kipalestina kinaanza kushambulia Israel halafu muisrael anajibu Kwa kipigo kikali na kuua raia wengi na kuchukua maeneo mapya Kwa lengo kama kuweka buffer zone lakini mwisho wa siku Israel analifanya ni ardhi yake,
Sasa huwenda marekani na Israel wanataka kumega eneo jingine ndani ya Palestina sasa wanatafuta sababu ya kuchukua eneo hilo,
Nasema hivi sababu sioni mafanikio watakayoyapata Palestina baada ya kushambulia Israel Jana, matokeo yake yatakuja kutokea mauaji makubwa Kwa Palestinian na sidhani kama wanaweza kuwazuia waisrael kwenye battlefield, labda kama wanasapoti ya waarabu lakini kinyume na hapo naona kuna damu nyingi za wapalestina zinaenda kumwagika Kwa kisingizio cha Israel inajibu mapigo au inajilinda,
Kitu pekee ninachojiuliza kama hiki kikundi kinajua nini kitafata Kwa kuishambulia Israel kwanini wanaanzisha ugomvi ambao wanajua kabisa watashindwa????
Hapa ndipo napata hisia kuwa kwenye vikundi vya wanamgambi wa kiPalestina kuna mamluki wa Israel na marekani,
Labda kuna kitu sikielewi naomba mnifahamishe
Anapigwa drip za togwaNilifikiri propaganda ni kwenye vita ya urusi na Ukraine tu ,kumbe hata huku??
Nyie jamaa siwawezi kwa kweli![emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi ni miongoni mwao.....!Kuna wachambuzi fulani wanadai huu mgogoro wa Israil na palestina umeanzishwa kwa dhumuni la kugeuza upepo wa vita ya ukraine na mrussi.
Wanadai wamagharibi wanatafuta njia ya kunyamazisha mgogoro ule, wachambuzi wale hawaamini ya kwamba intelijensia ya Israel na wasaidizi wake wameshindwa kung'amua mipango ya HAMAS
Ngoja tuone huenda hawapo sahihi au wapo sahihi.
Umeelewa maana ya neno Approximate?Ukraine hii sio poa mnachomfanya supapawa mpaka anawaza kutumia nyuklia [emoji848]
.....
Recent updates as of 08.10[emoji116]
View attachment 2776785
Urusi anapigana vita kwa akili nyingi na kitaalam sana kuangamizaMabomu ya IAF yanaangusha na kugeuza Ghorofa kuwa kifusi, ila mabomu ya Urusi Ukraine yanatoboa tu ghorofa au yanalijeruhi ila linabaki limesimama.
Sijaelewa hapa.
Amijidai kupeleka meli kwa wapalestina,lkn Kwa Mzee kiduku TU alisanda,ataweza kwa Urusi?Marekani Kwa Kujitafutia Sifa
Yaani Kaona Palestina Hawana Jeshi ndio Kajifanya kupeleka Utopolo wake Na kuhusika Moja kwa Moja Kumsaidia Israel ila Kwa DUBU Urusi Anakuwa Nyuma nyuma