Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanamgambo wa Israel wametwangana risasi za vichwa kwa uwoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1134] Hebrew media: The soldiers suspected armed infiltration, so they shot at them thinking they were members of Hezbollah, and this incident resulted in casualties.

[emoji626] @ResistanceTrench
 
[emoji1193][emoji1134]Hamas' military wing said it fired a salvo of rockets towards Israel's Ben Gurion Airport

“The Al-Qassam Brigades bombed the Zionist Ben Gurion Airport with a missile barrage in response to the continuing crimes and targeting of civilian homes in Gaza Strip”,was stated in their Telegram channel

[emoji837]@DDgeopolitics
 
Urusi anapigana vita kwa akili nyingi na kitaalam sana kuangamiza
Ndio maana nimeona warusi wanasema mabomu kama hayo ya waisrael wanayo mengi na zaidi ila hawawezi kuyatumia kwa sababu ya raia.

Wale wajomba waungwana sana. Maana kama hukujua mpango wa kivamiwa utasemaje ghafla unajua kila walipojificha maadui zako. Ni kweli wamefanyiwa unyama ila kushusha jengo zima linawatu ni unyama zaidi, tena kwa kutumia phosphorous bombs ambazo zimepigwa marufuku na UN.

Ngoja tuone mwisho wake. Tutashuhudia mengi.
 
Mabomu ya IAF yanaangusha na kugeuza Ghorofa kuwa kifusi, ila mabomu ya Urusi Ukraine yanatoboa tu ghorofa au yanalijeruhi ila linabaki limesimama.

Sijaelewa hapa.

Unachosema ni kweli kabisa.
Lkn Iko hivi.

Russia Yuko kwenye SMO bado hawajatangaza vita,
wakati Israel tayari wameshatangaza vita na wako vitani tayari.

Wapalestina wamevamia na kupiga ndani kabisa ya Israel,ndio imepelekea Israel kulipiza kisasi kwa kuangamiza kabisa majengo wanayohisi hamasi wamejificha.

Hata hivyo Israel imejibu kwa jazba Kali sana na kupelekea Kuua watu wote waliomo ndani ya majengo hayo bila kujali kama wamo wazee,wanawake,watoto.
Na nimesoma kwenye aljazeera Israel wanasema wataendelea kulipua bila kujali kama watu wao waliotekwa wataumia ama la.

Wakati Urusi wao lengo lao ni kuimaliza nguvu jeshi la ukraine.

Urusi inajitahidi sana kuepuka kupiga maeneo ya raia.

Hata hivyo kinachoangaliwa ni lengo la shabuliz,je shabulizi ni kuangamiza kabisa jengo?

Hata hivyo ni suala la kuchagua TU,utumie aina Gani ya kombora.
Maana Kuna makombora yanayoweza kushusha jengo lenye gorofa hata mia mbili.
Kuna makombora yanayoweza kutoboa zege lenye upana mkubwa sana.USA Wana ita( bunker buster.)

Urusi anajaribu sana kuepuka Kuua raia wasiohusika na wasio na hatia,
Israel hawajali hilo,isipokia wakijua TU wamo Hamas wanashusha jengo.
Nimejaribu kuelezea.
 
Unachosema ni kweli kabisa.
Lkn Iko hivi.

Russia Yuko kwenye SMO bado hawajatangaza vita,
wakati Israel tayari wameshatangaza vita na wako vitani tayari.

Wapalestina wamevamia na kupiga ndani kabisa ya Israel,ndio imepelekea Israel kulipiza kisasi kwa kuangamiza kabisa majengo wanayohisi hamasi wamejificha.

Hata hivyo Israel imejibu kwa jazba Kali sana na kupelekea Kuua watu wote waliomo ndani ya majengo hayo bila kujali kama wamo wazee,wanawake,watoto.
Na nimesoma kwenye aljazeera Israel wanasema wataendelea kulipua bila kujali kama watu wao waliotekwa wataumia ama la.

Wakati Urusi wao lengo lao ni kuimaliza nguvu jeshi la ukraine.

Urusi inajitahidi sana kuepuka kupiga maeneo ya raia.

Hata hivyo kinachoangaliwa ni lengo la shabuliz,je shabulizi ni kuangamiza kabisa jengo?

Hata hivyo ni suala la kuchagua TU,utumie aina Gani ya kombora.
Maana Kuna makombora yanayoweza kushusha jengo lenye gorofa hata mia mbili.
Kuna makombora yanayoweza kutoboa zege lenye upana mkubwa sana.USA Wana ita( bunker buster.)

Urusi anajaribu sana kuepuka Kuua raia wasiohusika na wasio na hatia,
Israel hawajali hilo,isipokia wakijua TU wamo Hamas wanashusha jengo.
Nimejaribu kuelezea.
Umeeleza vzr.
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia nne walichinjwa 🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1696922578748.jpg
    1696922578748.jpg
    74.5 KB · Views: 2
Nadhani wote mnaona kinachofanywa Gaza na jeshi la Israel,ndo mjue tulipowaambia kua Putin ni mtakatifu,tulikua tunamaanisha.
Urusi Ina uwezo wa kufanya maangamizi hata kushinda haya yanayofanywa Gaza na Israel lakini utu wa Putin unamkataza.
Yapo majitu Urusi yaliwahi kumlaumu Putin kwa Nini hafanyi maangamizi wakati uwezo huo anao,lkn Putin akaweka utu mbele.

Tazama wanajeshi ama wa Hamas ama wa Israel wakimpata Mwanajeshi wa adui wanavyomfanyia, hata kama akiwa amekwisha kufa.
Nimeshuhudia askari wa Hamas ama hata wa Israel wakiwapiga mateka wao,kwa mateke, ama kuwaburuza ama hata kuwakanyaga,hata kama wamekwisha kufa.wanajeshi wa Ukraine pia walifanya hivyo kwa Warusi,lakini Warusi hawakufanya hivyo kwa wa Ukraine.
Hamasi na Israel wote wamewatendea unyama maadui zao walio hai ama waliokufa,Ukraine pia waliwafanyia hivyo Warusi,lkn Warusi hawakuwafanyia hivyo wa Ukraine.
Hali hiyo ya ukatili iliwahi na imekua ikifanywa na wanajeshi wa Ukraine dhidi ya wanajeshi wa Urusi,lkni Urusi imekua ikifanya kinyume chake.
Mfano Urusi imekua ilipowakamata wanajeshi wa Ukraine, imekua ikiwapa huduma zote wanazohitaji,kama matibabu chakula na vinywaji,hata simu ili kuwasiliana na ndugu zao.

Urusi haibomoi majengo kama inavyofanya IDF,inajiepusha sana na uwezekano wa Kuua raia wanaotumiwa kama ngao na Ukraine.

Najiuliza je Urusi ingefanya kama inavyofanya Israel huko Gaza,je ulimwengu wa magharibi wangesemaje?

Nadhani vyombo vya habari Dunia nzima vingewaka moto.

Angalizo.

Lee van cliff Hayuko upande wa Palestine wala upande wa Israel katika mgogoro huu,Bali Yuko upande wa amani na makubaliano

Anataka vita vikomeshwe mahasimu Warudi kwenye meza ya mazungumzo.

Anakerwa zaidi na vifo vya watu wote wa pande zote wanajeshi,wanawake,wazee,watoto na wasiojiweza.

Anaitambua vema historia ya mgogoro huu,anatambua haiwezi kuisha leo wala kesho.

Anachotaka yeye ni amani TU.
 
Wakati Watoto wao Hamas wakichezea kichapo toka Israeli huko Gaza,sasa hivi baba zao Warusi wanasalimu amri kwa maelfu Kwa vikosi vya Ukraine huko Ukraine.Like Father like sons🤔
...
 
[emoji1130][emoji1146][emoji3538][emoji1134] Iranian IRGC and "Hezbollah" are sending troops and weaponry, including kamikaze drones and rockets, to the provinces of Daraa and Quneitra in Syria, towards the Israeli-occupied Golan Heights.

[emoji1131] "We stand with you!" - In the first video, a message from the Iraqi Popular Mobilization Forces "Al-Hashd al-Shaabi" to Palestinian fighters.

[emoji1131] In the second video, the secretary-general of the Iraqi Badr Organization, Hadi al-Amiri, also issued threats against the United States: "If Washington interferes in the battle between the Israeli regime and Palestine, we will strike all American targets."

[emoji1267] Previously we reported that Yemeni Houthi rebels have stated that they will initiate war if the U.S. intervenes. "We warn America that any intervention in Palestine will lead to a regional war," said Mohammed Ali al-Houthi.

Via: @RVvoenkor

[emoji837] @DDGeopolitics
 
[emoji631][emoji1130]MAREKANI ana kiwewe na Iran....... Head of the U.S. Joint Chiefs of Staff Charles Brown warned Iran against interfering in the conflict in Israel - Reuters.

Brown said that the message to Iran is the need not to interfere in the crisis in Israel. He also added that the U.S. does not want to expand the conflict.

[emoji837]@DDgeopolitics
 
[emoji1193][emoji3538][emoji1134]Hamas fighters broke into territories previously recaptured by Israel. According to Palestinian media reports, several Hamas soldier groups carried out a new raid and broke through the blockade in southern Israel. They entered several populated areas using cars and paragliders. A new breakthrough was preceded by mortar fire. Information about the infiltration of soldiers is confirmed by a number of Israeli media. Throughout the night, the IDF continues its massive shelling of the Gaza Strip.

[emoji837]@DDgeopolitics
 
Back
Top Bottom