mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji3512][emoji3512][emoji3512][emoji3516]This morning our forces advanced +-1.5 km towards Novomikhailovka[emoji3512][emoji3512][emoji3512]
"Acha basi"Russia Noma hii machine haina range yaani hakuna sehemu haiwezi fika na inaweza kufanywa kuzunguka dunia tu wakitaka.View attachment 2781077
Unakumbuka Yommkipurr?Ila waarabu nao Kunamuda nikama Mazuzu kwann Hawasaidian
Yaani miaka na Miaka Mwenzao anaonewa Lakini Yapo yapo tu
Ndio kwaanza Kuna Mwenzao anashirikiana na Adui yao wazi wazi
Huu ndio ulikuwa wakati mzuri Kushirikiana kukomesha Huu Ushenzi unaofanywa na shida sio Israel hapa ni Marekani ndio Yupo nyuma ya Israel
Russia Noma hii machine haina range yaani hakuna sehemu haiwezi fika na inaweza kufanywa kuzunguka dunia tu wakitaka.View attachment 2781077
Kama hujui kitu nyamaza hii machine haina rangeHamna silaha ambayo haina range bro, icbm zenyewe zinarange hii ndio isiwe na range?
Stop hype man
Mkuu naona kuna kitu kimekupita, mrusi kazindua kombola ambalo ni nuclear powered ambalo linaweza likarushwa na likakaa angani miaka likizunguka dunia likizubiria amri ya wapi likapige, Kwa hiyo hicho kilichosemwa kinawezekanaHamna silaha ambayo haina range bro, icbm zenyewe zinarange hii ndio isiwe na range?
Stop hype man
Kama hujui kitu nyamaza hii machine haina range
Mkuu naona kuna kitu kimekupita, mrusi kazindua kombola ambalo ni nuclear powered ambalo linaweza likarushwa na likakaa angani miaka likizunguka dunia likizubiria amri ya wapi likapige, Kwa hiyo hicho kilichosemwa kinawezekana
Tunazungumzia umbali au muda?Likakaa angani for how long?
Kwamba lina unlimited operational time?
[emoji28]Hamna silaha ambayo haina range bro, icbm zenyewe zinarange hii ndio isiwe na range?
Stop hype man
Japo si mtaalamu wa haya Mambo, lakini najua kombora Ili liweze kuruka na kukaa hewani,ni lazima linaotaji chaji au mafta,lLikakaa angani for how long?
Kwamba lina unlimited operational time?
Si mmeambiwa nguvu ya nyuklia au haujaelewa au lile li limeli la kubeba ndege vita linalotumia nguvu ya nyuklia mliambiwa linahitaji kuongeza mafutaJapo si mtaalamu wa haya Mambo, lakini najua kombora Ili liweze kuruka na kukaa hewani,ni lazima linaotaji chaji au mafta,l
Kama gari lisivyoweza kuwaka bila mafta
Sasa sijui Hilo kombora linakuwa limewekewa mafta hambayo hayataisha milele?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Science haina mwishoWw ndio ambae hujui chochote bro. Unaleta empty politics kwenye science. Hamna silaha duanian ambayo haina limits
Science haina mwisho
Japo si mtaalamu wa haya Mambo, lakini najua kombora Ili liweze kuruka na kukaa hewani,ni lazima linaotaji chaji au mafta,l
Kama gari lisivyoweza kuwaka bila mafta
Sasa sijui Hilo kombora linakuwa limewekewa mafta hambayo hayataisha milele?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
"Existing nuclear-powered submarines and aircraft carriers use highly enriched uranium and light-water reactor systems to run for 30 years or more without refueling."Ndio hiko kitu namuambia huyo jamaa kwamba its impossible kuwa na missile eti ina unlimited amount power source
"Existing nuclear-powered submarines and aircraft carriers use highly enriched uranium and light-water reactor systems to run for 30 years or more without refueling."