mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Ti4 armata ni mpiga puri tu ......haelewi hizi mamboTuliambiwa na T14 Armata kua ni si lolote wala chochote unachuja TU.kumbe hata kutumika hakua umeanza kutumika..
Labda kiingereza kinanipiga chenga.
Hata kama kiingereza sijui lakini nimeona ndege 24 za ukraine ndani ya siku 5 zimeshaliwa.
Mungu mbariki PUTIN na kundi lake,
Unasahau ushweitani ni zamu. Unaamini toka 700 mpka 1930 kabla ottoman empire ilivyoondoka dunian kulikuwa hakuna uonevuHuu mwaka nina furaha sana kwa jinsi mataifa sheitwani yanavyohenyeshwa.
Majukuu ya Yacubu nayo safari wataitiwa.
Mungu mbariki PUTIN na kundi lake,
hamas na wale wote wanaopinga usheitwani wa mataifa sheitwani
Hii habari natamani ingetafasiriwa kwa kiswahili ili wengi waelewe Hali halisi.Ritter: The United States still cannot understand how Russian air defenses shoot down everything that flies over Ukraine
"RUSSIAN ARMY STARTED OPERATIONS CALCULATED TO FINALLY DESTROY THE MILITARY FORCES OF UKRAINE"
Former UN weapons inspector in Iraq Scott RITTER: "We still don't know what the hell is going on." We only know that the Russians are mass shooting down fighters of the Ukrainian armed forces. We are filling the skies of Ukraine with our radars and aircraft radio detection and guidance systems, we are watching everything, but we cannot decipher what is going on. Only the Russians know
"What happened signals that - if there is a conflict between the USA and Russia - all our modern fighter planes will literally "evaporate" as well."
Mnapenda kweli habari zenye kuwafariji[emoji28]Hii habari natamani ingetafasiriwa kwa kiswahili ili wengi waelewe Hali halisi.
Humu kuna watu hawataki hata kurudia kuisoma.
Hiyo Aya ya mwisho ndio imenivutia zaidi.
Huyo Scott Ritter ni Mmarekani orijino na jasussi na mjeshi wa zamani.
Kama yeye kasema hivyo Mimi ni nani hata nibishe?
Mkiambiwa Urusi ni supa pawa kijeshi mnaanza ohh Supapawa wa mchongo.
Hovyo.
Rage hakukosea kuwaita...[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2794616
Kabisa ndugu Urusi nihabari Nyingine kabisaHii habari natamani ingetafasiriwa kwa kiswahili ili wengi waelewe Hali halisi.
Humu kuna watu hawataki hata kurudia kuisoma.
Hiyo Aya ya mwisho ndio imenivutia zaidi.
Huyo Scott Ritter ni Mmarekani orijino na jasussi na mjeshi wa zamani.
Kama yeye kasema hivyo Mimi ni nani hata nibishe?
Mkiambiwa Urusi ni supa pawa kijeshi mnaanza ohh Supapawa wa mchongo.
Hovyo.