Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna watu watatu humu jukwaani nawajua kwa majina Yao waliwahi kusema Urusi Haina Teknolojia ya kutengeneza droni,na hawana droni kabisa ndio maana wanategemea za Iran.
Tena mmoja akaenda mbali kabisa Kwa kusema kua wakati nchi nyingine zilipokua zinahangaika na ugunduzi wa droni Urusi ilikua inekaa TU.
Niliwashangaa sana jamaa hao.
Ila siwezi kuwataja.
Sio yule mwanangu wa " mia nnywe leo wamechinjwa" kweli?
 
Yaani hebu fikiria Ritter anaongea kwa hofu kubwa kabisa kua,ni Nini kitatokeo kama Leo kungetokea vita baina ya USA na Russia.
Hizo lada zao walizojaza angani kumsaidia Ukraine haziajafua dafu
Hivyo kama vita na wao na Urusi ikitokea ndege zao zote USA zingeteketezwa.
Screenshot_20230930-151618.png
 
Kuna watu watatu humu jukwaani nawajua kwa majina Yao waliwahi kusema Urusi Haina Teknolojia ya kutengeneza droni,na hawana droni kabisa ndio maana wanategemea za Iran.
Tena mmoja akaenda mbali kabisa Kwa kusema kua wakati nchi nyingine zilipokua zinahangaika na ugunduzi wa droni Urusi ilikua inekaa TU.
Niliwashangaa sana jamaa hao.
Ila siwezi kuwataja.
Yule mchambuzi maarufu masuala ya silaha za kivita😀😀
 
Utawala wa Biden unajaribu kuwasiliana nasi mara kwa mara na kwa njia kadhaa na kupitia vyombo vya habari vya China, lakini bila mafanikio, kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, anakataa kuzungumza na Biden na hataki kuwasiliana naye
 
Kuna watu watatu humu jukwaani nawajua kwa majina Yao waliwahi kusema Urusi Haina Teknolojia ya kutengeneza droni,na hawana droni kabisa ndio maana wanategemea za Iran.
Tena mmoja akaenda mbali kabisa Kwa kusema kua wakati nchi nyingine zilipokua zinahangaika na ugunduzi wa droni Urusi ilikua inekaa TU.
Niliwashangaa sana jamaa hao.
Ila siwezi kuwataja.
Kuna mmoja humu Ni pro-west hujifanya ni mchambuzi wa mambo ya vita anajiita jina linalo fanana na kifaru cha Urusi cha T114-Armata.
 
The enemies of Palestine are also the enemies of Russia.
Putin:

“We can only help Palestine in the fight against those who are behind this tragedy.

We are Russia and we are fighting them as part of a special military operation. Exactly with them. Both for ourselves and for those who strive for real true freedom.”
 
Putin on the situation in the Gaza Strip:

We see that instead of punishing terrorists, Israel began to take revenge on the principle of collective responsibility... These bombings cannot be justified in any way. We must understand who is organizing the deadly chaos. Who benefits from it? The United States and its satellites are the main beneficiaries of global instability.
 
Back
Top Bottom