njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Sio yule mwanangu wa " mia nnywe leo wamechinjwa" kweli?Kuna watu watatu humu jukwaani nawajua kwa majina Yao waliwahi kusema Urusi Haina Teknolojia ya kutengeneza droni,na hawana droni kabisa ndio maana wanategemea za Iran.
Tena mmoja akaenda mbali kabisa Kwa kusema kua wakati nchi nyingine zilipokua zinahangaika na ugunduzi wa droni Urusi ilikua inekaa TU.
Niliwashangaa sana jamaa hao.
Ila siwezi kuwataja.
Yaani hebu fikiria Ritter anaongea kwa hofu kubwa kabisa kua,ni Nini kitatokeo kama Leo kungetokea vita baina ya USA na Russia.
Hizo lada zao walizojaza angani kumsaidia Ukraine haziajafua dafu
Hivyo kama vita na wao na Urusi ikitokea ndege zao zote USA zingeteketezwa.
Sio huyo,yupo mmoja na wafuasi wake.anajua Kila kitu Hadi siku ya kifo Cha Putin.Sio yule mwanangu wa " mia nnywe leo wamechinjwa" kweli?
Hahahaaa!Anajiita 14 nini nini sijui huko.Sio huyo,yupo mmoja na wafuasi wake.anajua Kila kitu Hadi siku ya kifo Cha Putin.
kp kipanya44 huyu hapa
Yule mchambuzi maarufu masuala ya silaha za kivita๐๐Kuna watu watatu humu jukwaani nawajua kwa majina Yao waliwahi kusema Urusi Haina Teknolojia ya kutengeneza droni,na hawana droni kabisa ndio maana wanategemea za Iran.
Tena mmoja akaenda mbali kabisa Kwa kusema kua wakati nchi nyingine zilipokua zinahangaika na ugunduzi wa droni Urusi ilikua inekaa TU.
Niliwashangaa sana jamaa hao.
Ila siwezi kuwataja.
Ha ha haa.Yule mchambuzi maarufu masuala ya silaha za kivita๐๐
Kuna mmoja humu Ni pro-west hujifanya ni mchambuzi wa mambo ya vita anajiita jina linalo fanana na kifaru cha Urusi cha T114-Armata.Kuna watu watatu humu jukwaani nawajua kwa majina Yao waliwahi kusema Urusi Haina Teknolojia ya kutengeneza droni,na hawana droni kabisa ndio maana wanategemea za Iran.
Tena mmoja akaenda mbali kabisa Kwa kusema kua wakati nchi nyingine zilipokua zinahangaika na ugunduzi wa droni Urusi ilikua inekaa TU.
Niliwashangaa sana jamaa hao.
Ila siwezi kuwataja.
Niliona kwenye video za TikTok nikadhani utani. Kumbe kweli!!!...kusafisha njia...