Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Hivi Wagner PC ndio basi tena? Maana baada ya kifo cha Prizgovin shughuli zao hawa jamaa sizisikii tena.
Kwa sasa wanaoperate wapi? Nini kinaendelea kwa hili kundi? Au wamehamishwa kabisa kule Ukraine?
Anaejua hawa jamaa wako wapi kwa sasa atujuze.
Urrraaahhhh
Kwa sasa wanaoperate wapi? Nini kinaendelea kwa hili kundi? Au wamehamishwa kabisa kule Ukraine?
Anaejua hawa jamaa wako wapi kwa sasa atujuze.
Urrraaahhhh