Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Putin anaikomesha kishenzi mizungu ya west,anaiweka kwenye meza ndeeeefu afu waafrika vijimeza vidogo TU.Yaani mpaka waseme Si waliona wanaweza Mshinda Mwamba Putin
leo wanaomba MazungumzoView attachment 2818833
German Chancellor Olaf Scholz once again stated that he intends to continue the dialogue with President #Putin.
But, according to Scholz, he does not see a scenario in which the #Russian Federation would make any concessions in the context of the situation in
Pamoko miyanguMada yangu pendwa Ilikuwa Kimya nikiingia JF nakuta Manyoka nyoka tu Nikiona Mrusi Anatwanga mtu Najisikia Raha sana
Gogogo Russie
Kawaulize Tuaregs huko Mali. Kazi iliyomshinda Faransa jamaa ndo washaimaliza.Hivi Wagner PC ndio basi tena? Maana baada ya kifo cha Prizgovin shughuli zao hawa jamaa sizisikii tena.
Kwa sasa wanaoperate wapi? Nini kinaendelea kwa hili kundi? Au wamehamishwa kabisa kule Ukraine?
Anaejua hawa jamaa wako wapi kwa sasa atujuze.
Urrraaahhhh
Alafu mwamba ana wawekea meza yenye eka Moja 🤣Yaani mpaka waseme Si waliona wanaweza Mshinda Mwamba Putin
leo wanaomba MazungumzoView attachment 2818833
German Chancellor Olaf Scholz once again stated that he intends to continue the dialogue with President #Putin.
But, according to Scholz, he does not see a scenario in which the #Russian Federation would make any concessions in the context of the situation in
Wapo na Huko Mali Wanakiwasha sana Na tayari Walisha Komboa Maeneo Makubwa yaliyo kuwa Yakishikiliwa Na WaasiHivi Wagner PC ndio basi tena? Maana baada ya kifo cha Prizgovin shughuli zao hawa jamaa sizisikii tena.
Kwa sasa wanaoperate wapi? Nini kinaendelea kwa hili kundi? Au wamehamishwa kabisa kule Ukraine?
Anaejua hawa jamaa wako wapi kwa sasa atujuze.
Urrraaahhhh
Wapiganaji wa kukodishwa wanavunja mikataba.Huko Ukrein Hali ya Taharuki na Kupanic kwa Vi Chanel vya mitandaoni Imezidi kuwa Kubwa
wanasema Urusi Alisha Izunguka Avdeevka na Anashambulia Kwa kasi na Nguvu muda wote
View attachment 2819087
Sponsa ndie atakayeamua maamuz ya ZeleZelensiky asipojiongeza na kuomba Vita isimame, yajayo ni mabaya Sana maana silaha zinazorundikwa mpakani zinazidi hata maandalizi ya Tarehe 24 February 2022. Naona Putin anataka kumaliza Special MILITARY OPERATION.
Pia Mesenaries wanavunja mikataba maana Sasa nvua za mabomu kila Kona Frontline.
Zelensiky asipojiongeza na kuomba Vita isimame, yajayo ni mabaya Sana maana silaha zinazorundikwa mpakani zinazidi hata maandalizi ya Tarehe 24 February 2022. Naona Putin anataka kumaliza Special MILITARY OPERATION.
Pia Mesenaries wanavunja mikataba maana Sasa nvua za mabomu kila Kona Frontline.
Km kawa Warus wanajiandaa na tizi moja matata sanaAloo, meisikia hii kuwa mrusi kaweka shehena ya silaha zake mpakani mwa Ukrain,
Aaah wapi bana,silaha Gani hizo za Putin,si tulishakubaliana kwamba Urusi imeishiwa silaha,Hadi inasaidiwa Korea kaskazina,china,Iran na south Afrika?Aloo, meisikia hii kuwa mrusi kaweka shehena ya silaha zake mpakani mwa Ukrain,