Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu hao ni wakimbizi,kuwarudisha wakimbizi wakafanye walichokikimbia ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Sasa Ulaya hujidai wao wako mbele kuteteta haki za binadamu,lakini Leo wenyewe wanakiuka.
Haitasaidia kitu,kama Urusi waliwamaliza wanajeshi waliokuwepo mwanzo hakuna kinachowazuia kuwamaliza Hawa wakimbizi.
Time will tell.
 
Ila tumetoka Mbali Aisee Nikikumbuka Zile Mbwembwe za Vikwazo kwa Urusi
na Hii ya Kuweka Ukomo wa mafuta Ya urusi Walikuwa Busy kanakwamba Ndio Mwisho wa Urusi ajabu DUBU Alitulia tulii akiwacheki kama Vitoto Vidogo vikicheza Ukuti Ukuti mwisho wasiku Kimyaaa
Taarifa Inasema Jambo lao Limefeli pakubwa Na Mbwembwe zote zile!
Tulidanganywa sana Kumbe hata wanasiasa wa Kizungu nao Ni Mabwege tu hayajui Kutumia Akili kabla
URUSI ANAWATU MAKINI SANA

Attempts by the EU and G7 to impose a price cap on Russian oil have largely failed, the European edition of Politico stated:
 
Kuna Pro Ukrein Aliye kuwa akisumbua sana Twitter kwa kutoa Taarifa na Propaganda Kila muda Sasa Jamaa Kasema Alikuwa akidanganywa na Wakubwa Kutoka NATO pamoja na Vyombo vya Habari vya Magharibi Memgi amekuwa Akipost au kusema Kumbe Ilikuwa sivyo ni Uongo na Amekuja Kuligundua Hivi karibuni na Ameona Alikuwa anawakosea Sana watu kwa kulisha Uongo Hivyo Anaifuta Acc yake ya Twitter na Hataki tena Kuizungumzia Ukrein nakweli Kafuta
Tulisema Na tunaendelea Kusema Watu wengi Wana Lishwa Uongo na Propaganda Kwenye hii Vita
Ndio maana Sasahivi Vyombo vya habari vya west Wapo wapo tu kuhusu Vitahii Maana Propaganda Imezidiwa hawana chakudanganya tena
 
L
Mpaka hapa nafikiri tunakubaliana kwamba vita ipo kotekote, urusi na ukraine

Kweli hii ni SMO😁😁
 
Sasa Hivi Urusi Anapiga Kila Upande yaani Anasonga Mbele Walipo Anzisha Counter yao Alitulia Ili awabonde Walikuja Akawabonda kisawa sawa sasa Nimuda Wakuongeza Eneo kila siku Urusi inachukua Eneo na Kusonga Mbele Kila Upande polepole

Russian forces advanced north of Bohdanivka in Bakhmut direction.

Geolocation of video showing personal from "Vostok V brigade" entering Ukrainian positions north of Bohdanivka, Donetsk Oblast.

Green area - Ru advance
Purple - Claimed Ru control
Red - Confirmed Ru control

/1
 
Bado Kuna nchi Hazujifunzi kwa Ukrein Zinaendelea Kutumika Kwa fauda ya Marekani
Bahati Nzuri Urusi hua Haachi Kukuonya Mapema Usije Tafuta Sababu
Moldova Ana Pampiwa


‼️🇲🇩🇷🇺 #Moldova is destined to be the next victim in the hybrid war against #Russia unleashed by the West, Lavrov said.
 
Unakutana na Habari kama hii ina Video yake lakini Inashindikana Kuiweka JF !!
Every day b/n 150-200 Ukrainians are destroyed in only Rabotino front.
In the background, as you can see,there is a Leopard, Bradley and other Western bastard metals. Western/US supplies will Only increase the Rabotinskaya meat grinder to gear up, nothing will change at the front
 
Soon Ukraine wanam-mwaga.

Na ndio maana siku hizi hatuoni tena zile hashtags za I stand with Ukraine

Waziri wa Ulinzi wa German amesema kwamba Ukraine sio mshirika wao wa kijeshi, kisiasa na wala kiuchumi.

Ameyasema maneno hayo kwa hasira sana baada ya kuulizwa, kwa nini hawataki kuendelea kumsaidia Zelensky.

Naona jamaa ameshikwa na hasira baada ya kusikia neno Zelensky


 
Vikao vya kishoga shoga haviwezi kuwa na matunda mazuri.
 
[emoji298]The Ukrainian Armed Forces counterattacked north of the Avdiivka Coke and Chemical Plant and forced Russian forces to withdraw from two forward positions, according to the Washington-based Institute for the Study of War (ISW).,[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]U.S. Treasury Secretary Janet Yellen said on Dec. 6 that the U.S. would be "responsible for Ukraine's defeat" if the Congress does not pass a $61.4 billion military aid package, which is scheduled for a vote in the Senate later on Dec. 6.

President Joe Biden said that Congress failing to vote on the funding package would be "just wrong," adding that "the failure to support Ukraine is just absolutely crazy” and "against U.S. interests."

The comments came as a Ukrainian delegation of top officials visited the U.S. on Dec. 5 to meet with lawmakers.

The delegation included Defense Minister Rustem Umerov, parliament speaker Ruslan Stefanchuk, Presidential Office head Andriy Yermak, Strategic Industries Minister Oleksandr Kamyshin, and Oksana Markarova, Ukraine's ambassador to the U.S.

In comments at the United States Institute for Peace, Yermak warned that, without U.S. military support, Ukraine was at "great risk of losing the war."

President Volodymyr Zelensky was scheduled to address the U.S. Senate on Dec. 5, but it was canceled shortly before the planned remarks. Senate Majority Leader Chuck Schumer, a Democrat, said that “something happened at the last minute,” without elaborating further.

In an interview with the television channel Fox News, Umerov addressed the cancelation of the speech.

"It's a war, and the situation can change, but I think President Zelensky would... do it whenever it would be possible next time," he said.

When asked about the prospect of a negotiated settlement with Russia, Umerov said that the "civilized world should be embarrassed" if that happens. He added that it would mean that authoritarian regimes can do what they want and that the "civilized world cannot defend itself."

Markarova said on Ukrainian national television that Zelensky had canceled the address because Congress was discussing a variety of issues that included domestic matters, not just Ukraine.

She also spoke about the planned vote on military aid, expressing confidence that it had bipartisan support in Congress but also acknowledging that American domestic political issues had become tied to the funding bill.

U.S. State Department spokesperson Matthew Miller told reporters on Dec. 5 that the Biden administration does not "think there’s any question about the legislative branch’s support for Ukraine. If you put funding for Ukraine in an up or down vote in front of both houses of Congress, it is our belief that it would pass."

On Dec. 5, Republican Senate Minority Leader Mitch McConnell, long a public supporter of military aid for Ukraine, said that he "hopes all of our members vote no" on the aid package that includes support for Ukraine and Israel unless it contains provisions for increased border security.

McConnell and Republican House Speaker Mike Johnson have said in recent days that they hope Congress will pass Ukraine aid but have also sought to tie controversial border funding into the larger spending package. Democrats have accused Republicans of unnecessarily mixing domestic politics with the funding, which threatens support for Ukraine.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…