Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Shikiria Hapo hapo URUSI
20231205_142833.jpg

⚡️Another major blow:

Ukrainian deputy Goncharenko ruining people's hopes and dreams on his Telegram:

"Yesterday I saw that many people were very unhappy that I wrote the phrase: "Unfortunately, there will be no NATO. It will not work"

Several sources in Washington confirmed to me that Blinken told the Europeans to stop talking to Ukraine about NATO. There will be no NATO. The topic of NATO annoys the elites of the USA, and they clearly signaled that Ukraine will not become a member of the alliance immediately after the war.

There will be some moves towards the Alliance. We get some indulgences. But that in 2024 we will become members - no.

The President's Office has come to terms with this.

Our main strategy right now is the European Union".
 
Enzi hizo mwanzo wa SMO, tulizungumza sana... Tukatoa mawazo yetu ambayo kiukweli ndio yanayojitokeza sasa. Tulitumia nguvu nyingi kuelekeza watu na mahaba yao. Data juu ya data ziliwekwa wazi kongole kwa kila mmoja aliyeshiriki Galip Vrl Nkuba25 Mr Tyang TUJITEGEMEE MR MAJANGA triga IFAC lee Vladimir cleef ama Lee Van Cleef wa enzi hizo, abdulqadirj Bwanautam Mtoto wa nzi enzo1988 mixx Akhi D A E M U S H I N mohamedidrisa789 BUSH BIN LADEN Venus Star ama Jesus Mlokozi Jasmoni Tegga na wengineo wooote nikiendelea kuwataja post itakua ndefu bila kujisahau mie mwenyewe Huk Luk ama #Ask-Q au #Qibsyl wa kipindi hicho.

Enzi hizo walitupuuza kwa kejeli na dharau, wengine wakawa wanatuuliza "kwa hiyo nyie ndio mna akili kuliko wazungu???". Wengine wakaenda mbali zaidi na kuita Pro Russia wote vichaa. Tukaona isiwe taabu, mda upewe nafasi na hatimae taratibu tunajionea "Vichaa halisi" ni akina nani.

Yako wapi leo [emoji1787]...

Yote tisa, 10 kilichonichekesha zaidi ni huyo jamaa wa shamba. Hivi nani aliwahi kuwaza kama mwenzetu atakuja kulamba matapishi yake mwenyewe? Who??? Interesting indeed.

Hii aibu haikwepeki japo Media zinajaribu kuificha kwa kimvuli cha "Hamas-Israel war" ila failure of collective west in Ukraine against Russia itabaki kwenye Historia na wajukuu zetu wataja isoma miaka ya mbeleni.

Binafsi na furaha zaidi kwani watajifunza kwa vitendo maana halisi ya ule msemo wa "Usikate tawi la mti ulilo kalia" kama hujajiandaa kudondoka.
Orodha yako haijakamilika usiponitaja mimi hapa Bhikalamba
 
Yako wapi leo 🤣...

Nashangaa na kusikitika kwanba kwenye orodha hiyo Mimi simo😂😁
 
Jana kuna video moja nilikuwa nacheki Drone ya Ukweli ilikuwa ikishambulia Robot ya Urusi iliyo kuwa na muundo wa Kifaru
lakini kazi yake ni kupeleka Chakula,Silaa na kuchukua Walio Jeruhiwa Msitari wa Mbele sasa Nilicho kuwa nashangaa na Kudhani kuwa Ukrein Muongoza Drone labda kalewa nikuwa Kila Drone ikituma kwenda Kuishambulia Ikikaribia Tu Mita kadhaa Inapiga Pembeni Kitu kinapita Fasta hapo hapo mbele inakuja nyingine Ikikaribia Tu inapiga Pembeni Kitu kinapeleka Zana na kuchukua Majeruhi nakusepa bila Shida

Kumbe Mrusi Balaa Kaja na Silaha Nyingine kaanza Kutumia kitu Inaitwa Volnorez" EW anti-FPV jammer, View attachment 2833857View attachment 2833858

Sasa Unaambiwa Hii kitu Ina Fanya Jamm Drone Ikikaribia na kupiga Pasipo Ndio maana Mrusi alisema Hajaweka Usiriasi kivile kwenye Operesheni hii na Kama NATO Wapo tayari waingie tu Moja kwa moja
Hivi akichaguliwa tena Magharibi watajificha wapi? Natamani ashinde uchaguzi.
 
🚨Update: US in panic as their old enemies get together to form new alliances against the US and EU, bypassing sanctions and Western banks to form new economic ties!!

Russia and Iran have signed a declaration that will help overcome US and EU sanctions, stated Russian Foreign Minister Sergey Lavrov!
 
Bila kusahau na mm
Naam ✍️
Orodha yako haijakamilika usiponitaja mimi hapa Bhikalamba
Yes yes ✍️
Nashangaa na kusikitika kwanba kwenye orodha hiyo Mimi simo😂😁
Hakika, na sijakusahau kaka ni vile nikaona nikiyaandika yote nitawachosha wasomaji ila nawakumbuka vizuri mno.

Hasa kwako 1954 bro wa enzi toka day one na wengineo kama akina Labani og DeepPond green rajab Mwana Taaluma Muuza Viat na mtongwe pia Termux hawa wawili wa mwisho wakiwa ni wazee wa kutembeza likes ambao mlikuepo toka awali mapema mwaka jana.

Aisee hadi nimeona haya 🤣🤣🤣 ila tu pamoja kaka sijawasahau.
 
Naam [emoji3578]

Yes yes [emoji3578]

Hakika, na sijakusahau kaka ni vile nikaona nikiyaandika yote nitawachosha wasomaji ila nawakumbuka vizuri mno.

Hasa kwako 1954 bro wa enzi toka day one na wengineo kama akina Labani og DeepPond green rajab Mwana Taaluma ambao mlikuepo toka awali mapema mwaka jana.

Aisee hadi nimeona haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila tu pamoja kaka sijawasahau.
Hakika kamanda .....binafsi napenda kuwe na balance of power Duniani ....sio Kila kitu waamue western countries

Now tumeshuhudia vikwazo vyao vimedunda Kwa Russia.,..ndicho kinachotakiwa[emoji1666][emoji1666]
 
Back
Top Bottom