Enzi hizo mwanzo wa SMO, tulizungumza sana... Tukatoa mawazo yetu ambayo kiukweli ndio yanayojitokeza sasa. Tulitumia nguvu nyingi kuelekeza watu na mahaba yao. Data juu ya data ziliwekwa wazi kongole kwa kila mmoja aliyeshiriki
Galip Vrl Nkuba25 Mr Tyang TUJITEGEMEE MR MAJANGA triga IFAC lee Vladimir cleef ama Lee Van Cleef wa enzi hizo,
abdulqadirj Bwanautam Mtoto wa nzi enzo1988 mixx Akhi D A E M U S H I N mohamedidrisa789 BUSH BIN LADEN Venus Star ama
Jesus Mlokozi Jasmoni Tegga na wengineo wooote nikiendelea kuwataja post itakua ndefu bila kujisahau mie mwenyewe
Huk Luk ama #Ask-Q au #Qibsyl wa kipindi hicho.
Enzi hizo walitupuuza kwa kejeli na dharau, wengine wakawa wanatuuliza "kwa hiyo nyie ndio mna akili kuliko wazungu???". Wengine wakaenda mbali zaidi na kuita Pro Russia wote vichaa. Tukaona isiwe taabu, mda upewe nafasi na hatimae taratibu tunajionea "Vichaa halisi" ni akina nani.
Yako wapi leo [emoji1787]...
Yote tisa, 10 kilichonichekesha zaidi ni huyo jamaa wa shamba. Hivi nani aliwahi kuwaza kama mwenzetu atakuja kulamba matapishi yake mwenyewe? Who??? Interesting indeed.
Hii aibu haikwepeki japo Media zinajaribu kuificha kwa kimvuli cha "Hamas-Israel war" ila failure of collective west in Ukraine against Russia itabaki kwenye Historia na wajukuu zetu wataja isoma miaka ya mbeleni.
Binafsi na furaha zaidi kwani watajifunza kwa vitendo maana halisi ya ule msemo wa "Usikate tawi la mti ulilo kalia" kama hujajiandaa kudondoka.