Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Mtaota Sana. Mtu yeyote anayeongea upuuzi huu hajuhi hata maana ya Somo la MWENDO DARASA LA 7'LA TANZANIA.The Patriot air defense system has already shot down 15 Kinzhal aeroballistic missiles, which are launched from MiG-31K fighters and travel hundreds of kilometers in a matter of seconds," said Yuriy Ihnat, spokesman for the Ukrainian Air Force.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
#
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo habari ilinifurahisha sana. Nadhani mpaka hapo wamejua kuwa wanaweza chapika kirahisi mnoNdio comredi!
Nimefarijika mno kuona kinzal ikipita juu ya Ulinzi wa anga wa US na NATO.
Mkuu ulipotelea wapi?BBC wanasemaje?
Wanakula kichapo Kuna TU 95MS kumi na sita ziko hewani.Kiev Kuna hali gani huko.....
Wako busy huko Japan wanazima moto wa ndege zilizogonganaBBC wanasemaje?
Ndio naicheki hapa Al jazeeraWako busy huko Japan wanazima moto wa ndege zilizogongana
Mtangazaji anakuambia ingawa kuna mitambo ya kuweza ku intercept missiles za urusi lakini bado makombora kadhaa yamefanikiwa kupiga maeneo kadhaa.Kiev Kuna hali gani huko.....
Noma sana .... KIPONDO wanachokula sio poa ... Wasingepiga Crimea aseee....Wanakula kichapo Kuna TU 95MS kumi na sita ziko hewani.
Bado ...... Hawajasema....Wapumbavu kama Huyu ndio Team Ukrein View attachment 2860085
πππππbado vita ya vijana wa hovyo na wazee wa madaraka