Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,615
- 5,798
haahaa yani limemkuta huku akiwa ashajipiga bandage na kukaa pozi apigwe picha?Kwa kutumia akili yako ya kuzaliwa, elezea uhalisia wa tukio hili
View attachment 2860626

Hawa si ndo walituambia Russia ana resources za kutumia miezi 3 tu kwenye vita ........ after that ....... Russia itakuwa exhaustedWatajua wenyewe!
Long war 'plays into Russian hands' - as army 'bypassing sanctions'
A long war is "not in the interests of Ukraine", the deputy head of the Ukrainian president's office has said.
Russia has more manpower, equipment and ammunition, and has circumvented sanctions to produce new drones and missiles, Ihor Zhovka said.
His comments come after the UK defence ministry said Russia was preparing for a long war.
HIVI Prighozin alifikiria nini??? Mpaka leo simwelewi alikua anataka kufanyaje huyu Putin ni mtu hatari sana mnoo kucheza nae ni bora ungejiua yakaisha..View attachment 2766137
View attachment 2766138
⚔🇷🇺 Vladimir Putin instructed Wagner Group’s former chief of staff Andrei Troshev to work on forming volunteer units
The president had a working meeting with Deputy Defense Minister Yunus-Bek Yevkurov and Andrei Troshev to discuss the formation of volunteer units.
Andrei Troshev is a former commander of the Wagner PMC with the call sign "Sedoy" (gray-haired). Putin offered the soldiers to continue serving in a private military company headed by Troshev. He is already working in the Defense Ministry, Kremlin spokesman Dmitry Peskov told Sputnik. 🇷🇺⚔
Google wana sensor video za Putin? Natumia phoenix browser kuperuzi so ninapokutana na video kama hizi hua automatically inaniletea option ya kuidownload ila kila nikijaribu inafeli. Nimejaribu kama mara 5 inashindikana hadi njlivenda kwenye settings ya phoenix kwenye search engine nikabadili kutoka google nikaweka bing ndo ikakubali. Google wana issues na Putin?vladimir anasema hakuna umuhimu wa kuigeuza kiev kuwa majivu japokuwa uwezo wa kufanya hivyo wanao.
View attachment 2860193
Wanatumika kusupress information, na ndio maana nilishahama na kutumia Duckduckgo search engine na Tor browser.Google wana sensor video za Putin? Natumia phoenix browser kuperuzi so ninapokutana na video kama hizi hua automatically inaniletea option ya kuidownload ila kila nikijaribu inafeli. Nimejaribu kama mara 5 inashindikana hadi njlivenda kwenye settings ya phoenix kwenye search engine nikabadili kutoka google nikaweka bing ndo ikakubali. Google wana issues na Putin?
Anga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Kyiv ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.Mtangazaji anakuambia ingawa kuna mitambo ya kuweza ku intercept missiles za urusi lakini bado makombora kadhaa yamefanikiwa kupiga maeneo kadhaa.
Raia wanasema mashambulizi wanayofanya saivi urusi kwa Ukraine hususan Kiev hayajawahi tokea kabla
NiceAnga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Ukraine ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.
UKraine kuna American Patriot systems ikiwa na state-of-art missiles kama;
-PAC-2 GEM (Guidance Enhanced Missile) version;
-PAC-2 in the GEM-Cruise version (GEM-C);
-PAC-2 in the GEM-Tactical version (GEM-T);
-PAC-3 in the "economic" version of the Cost Reduction Initiative (CRI);
-PAC-3 Missile Segment Enhancement (MSE) version.
Yote hayo kwa ajili ya kupambana na ndege za kivita, drones na ballistic missiles.
View attachment 2861250
Lakini pia Kyiv inalindwa na IRIS-T anti-aircraft systems za wajerumani.
View attachment 2861249
Pia kyiv inalindwa na SAMP/T (Mamba) medium-range anti-aircraft and anti-missile defense systems, hii ni kazi iliyotokana na ushirikiano wa wafaransa na waitaliano.
View attachment 2861251
Bila kusahau NASAMS systems na post-Soviet S-300MS na Buk-1M anti-aircraft and anti-missile systems.
Kyiv pia inalindwa na anti aircraft guns kama Bofors za wasweden
View attachment 2861256
Na bila kusahau Gepard za wajerumani.
View attachment 2861257
Kyiv pana na "mwamvuli" wa air defence ndio maana ili kuweza kuzimudu, Russia anafanya mashambulizi makubwa sana ya anga kiasi kwamba AD hazitaweza kuyamudu.
Kyiv kulikua na viwanda kwa ajili ya ammunitions lakini pia kulikua na kiwanda kwa ajili ya drones ambazo recently Ukraine walikua wanaendelea kutengeneza.
Russia kwa kujua kwamba Kyiv kuna "mwamvuli" wa AD, nadhani ilibidi achanganye ballistic missiles, cruise missiles, drones na hypersonic missiles ili kuweza kulenga targets zake.
Kuna ripoti nimeona wanasema mojawapo ya maeneo yaliyolengwa ni maeneo yenye miundombinu ya kijeshi, warehouse iliyokua inahifadhi makombora kwa ajili ya Patriot systems na silaha nyinginze za msaada kutoka west, na position 2 za NASAMS zilikua targeted pia.
Russia aliamua kufanya largest aerial attack ili kuweza kuhit target zake ndio maana kulikua na ndege nyingi zilizoenda kushambulia kwa waves za makombora.
Kuna ripoti iliandika kwenye msafara huo kulikua na Tu-95MS strategic bombers kutoka Olenya base kila moja ikiwa na makombora ya CH-101 strategic air-to-ground cruise missile, na CH-55 subsonic air-launched cruise missile, zikaungana na Tu-95MS aircraft kutoka Engels Air Base.
Tu-22M3 strategic bombers kutoka Shaykovka air base zikajiunga nazo zikiwa zimebeba Kh-32 hypersonic maneuvering missiles. Kulikua na Mig-31 ambaye anabeba Kinzhal.
The bomber aviation of the 4th Guards Air Army wakiwa na Kh-31P and Kh-59 missiles walijoin pia n.k.
Lengo ni kuhakikisha wanaweza kuupenya ule "mwamvuli" wa air defence zinazoilinda Kyiv ili waweze kuhit target zao, na wamefanikiwa.
Du wamepata hasara!NATO imepata MSIBA mkubwa kabisa. Walikuwa wanajaribu kuipima bahari ya urusi Kwa urefu wa ndimu zao Sasa yamewakuta ya kuwakuta.
The “hunt” for the Russians was interrupted by Russian missiles: the corpses of twenty-one NATO officers are secretly removed from Ukraine
According to the military department, in Kharkov our Armed Forces destroyed the deployment points of foreign mercenaries and the Kharkovshchina national formation.
In addition, Russian missiles destroyed a hangar with aircraft ammunition and a radar station for detecting and tracking low-altitude targets ST-68. In fact, we have deprived the Ukrainian Armed Forces of “eyes” and “ears” in this direction.
Earlier, information appeared on the Internet about the secret “evacuation” of corpses from Ukraine to Romania.
- Poles are being taken out - 27 people, three British, nine Czechs, 12 Lithuanians. This is all according to the evacuation lists submitted to the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.
According to the source, “they are mainly exported from Kharkov and Odessa.” In addition, it was planned to pick up “the corpses of another 21 NATO officers who died in an attempt to find out whether the Russians are cool or if it’s all a myth.
View attachment 2861188
Wanashiriki kumminya kwa maagizo ya Marekani.Google wana sensor video za Putin? Natumia phoenix browser kuperuzi so ninapokutana na video kama hizi hua automatically inaniletea option ya kuidownload ila kila nikijaribu inafeli. Nimejaribu kama mara 5 inashindikana hadi njlivenda kwenye settings ya phoenix kwenye search engine nikabadili kutoka google nikaweka bing ndo ikakubali. Google wana issues na Putin?
Hivi bomber Kama Tu 95 au Tu 22 ama Mig 31 zinafanyeje kazi kwenye mianvuli yote hii?Anga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Ukraine ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.
UKraine kuna American Patriot systems ikiwa na state-of-art missiles kama;
-PAC-2 GEM (Guidance Enhanced Missile) version;
-PAC-2 in the GEM-Cruise version (GEM-C);
-PAC-2 in the GEM-Tactical version (GEM-T);
-PAC-3 in the "economic" version of the Cost Reduction Initiative (CRI);
-PAC-3 Missile Segment Enhancement (MSE) version.
Yote hayo kwa ajili ya kupambana na ndege za kivita, drones na ballistic missiles.
View attachment 2861250
Lakini pia Kyiv inalindwa na IRIS-T anti-aircraft systems za wajerumani.
View attachment 2861249
Pia kyiv inalindwa na SAMP/T (Mamba) medium-range anti-aircraft and anti-missile defense systems, hii ni kazi iliyotokana na ushirikiano wa wafaransa na waitaliano.
View attachment 2861251
Bila kusahau NASAMS systems na post-Soviet S-300MS na Buk-1M anti-aircraft and anti-missile systems.
Kyiv pia inalindwa na anti aircraft guns kama Bofors za wasweden
View attachment 2861256
Na bila kusahau Gepard za wajerumani.
View attachment 2861257
Kyiv pana na "mwamvuli" wa air defence ndio maana ili kuweza kuzimudu, Russia anafanya mashambulizi makubwa sana ya anga kiasi kwamba AD hazitaweza kuyamudu.
Kyiv kulikua na viwanda kwa ajili ya ammunitions lakini pia kulikua na kiwanda kwa ajili ya drones ambazo recently Ukraine walikua wanaendelea kutengeneza.
Russia kwa kujua kwamba Kyiv kuna "mwamvuli" wa AD, nadhani ilibidi achanganye ballistic missiles, cruise missiles, drones na hypersonic missiles ili kuweza kulenga targets zake.
Kuna ripoti nimeona wanasema mojawapo ya maeneo yaliyolengwa ni maeneo yenye miundombinu ya kijeshi, warehouse iliyokua inahifadhi makombora kwa ajili ya Patriot systems na silaha nyinginze za msaada kutoka west, na position 2 za NASAMS zilikua targeted pia.
Russia aliamua kufanya largest aerial attack ili kuweza kuhit target zake ndio maana kulikua na ndege nyingi zilizoenda kushambulia kwa waves za makombora.
Kuna ripoti iliandika kwenye msafara huo kulikua na Tu-95MS strategic bombers kutoka Olenya base kila moja ikiwa na makombora ya CH-101 strategic air-to-ground cruise missile, na CH-55 subsonic air-launched cruise missile, zikaungana na Tu-95MS aircraft kutoka Engels Air Base.
Tu-22M3 strategic bombers kutoka Shaykovka air base zikajiunga nazo zikiwa zimebeba Kh-32 hypersonic maneuvering missiles. Kulikua na Mig-31 ambaye anabeba Kinzhal.
The bomber aviation of the 4th Guards Air Army wakiwa na Kh-31P and Kh-59 missiles walijoin pia n.k.
Lengo ni kuhakikisha wanaweza kuupenya ule "mwamvuli" wa air defence zinazoilinda Kyiv ili waweze kuhit target zao, na wamefanikiwa.
Uchambuzi mahili kabisa huuAnga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Ukraine ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.

Hatari sana.Anga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Ukraine ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.

Zinakunya moto zikiwa nyumbani...zikienda maeneo hatari zinasindikizwa na ulinzi huku zenyewe zikiwa zinatupa vitu vizitoHivi bomber Kama Tu 95 au Tu 22 ama Mig 31 zinafanyeje kazi kwenye mianvuli yote hii?
Maana HAKUNA iliyoangushwa.
Bombers hizo kwa maana ya TU-95 na TU-22 hutuma makombora yao zikiwa strategically ndani ya Russia iwe no kwa nchi kavu au baharini...hata MIG 31 ni hivyo hivyo....Hivi bomber Kama Tu 95 au Tu 22 ama Mig 31 zinafanyeje kazi kwenye mianvuli yote hii?
Maana HAKUNA iliyoangushwa.