Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Ohooooooo..... SEMA kimeumaaaanaaaaaUranium haikuwekewa vikwazo
Ohooooooo..... SEMA kimeumaaaanaaaaaUranium haikuwekewa vikwazo
Vita Mbaya jaman dahVIDEO
Vikosi Vya Ukrein Vyapokea Kipigo Kikali sana
waliachwa Waingie Kuteka Kijiji Kisha Kuzingirwa Na Kufyekwa Wote
View attachment 2759432
Wanaokwenda vitani ni Wanajeshi sio watoto. Na hio ndio kazi yao. Walokua wakilipwa/wanalipwa/watalipwa mshahara na Kifo ni sehem ya kazi yao,. Kwa wote walopita Jeshi wanalijua hili.Kimechooka hiki kizee kijinga.
Kina siku chache tu kijifie zake
Kwa uroho wa madaraka ya kipumbavu.
Bora kife chenyewe kuliko kuwauwa watoto wa urusi wasio na hatia
Ukrainian Defence Minister Reznikov (Ex, for 2+ weeks now) and his team have been proven to steal at least $1bn from the state budget, yet he was honorably discharged.Ukraine
Hii nchi ishaharibika kitambo sana, unaweza ukasema ni nchi, kwa hali hii? Hakuna nchi hapo tenaUkrainian Defence Minister Reznikov (Ex, for 2+ weeks now) and his team have been proven to steal at least $1bn from the state budget, yet he was honorably discharged.
For sure, he did not steal all this money personally. These funds dissolved in the pockets of his big "team" and family.
Appealing these claims Ukrainian President Zelensky in an interview with Western journalists hastened to assure that Mr. Reznikov stole money not from American taxpayers, but only from Ukrainian taxpayers, which means that it is not such a big problem and certainly it should not bother the West.
To let you know, by the way, Minister Reznikov recently purchased a $7 million villa in Cannes as a small wedding gift for his daughter. After this purchase and, according to sources familiar with the situation, the transfer of $30 million to foreign accounts, he asked for his resignation.
This is the Ukraine you wanted to see and there will be no other Ukraine for you.
===
Kazi wanayo.
Muamerika anaweka vikwazo kwenye bidhaa ambazo yeye hazihitaji tu, ila bidhaa ambazo anahitaji haziwekewi vikwazo. Usingekuwa uwoga nchi nyingi zingeviupuza hivyo vikwazo.Uranium haikuwekewa vikwazo
Mugambo Wana ruka na kukanyagana....Poland na Ukraine Hali imezidi kuwa tata, baada ya kutofautiana kuhusu dili la nafaka baada ya Poland kukataa nafaka ya Bei rahisi kuruhusiwa kuuzwa ulaya ili kulinda wakulima wake ripoti ya awali ya shambulizi la roketi lililotua Poland na kuua wakulima wawili inaonyesha kombora Hilo lilirushwa na Ukraine. Mwanzoni Ukraine iliushutumu Urusi kurusha kombora Hilo lakini taarifa hiyo ilipuuzwa na washirika wake wa NATO, kwa mujibu was uchunguzi uliofanywa.na.mwendesha mashitaka wa Poland unaonyesha kombora lilirushwa na Ukraine lakini serikali ya Ukraine ilikataa kuonyesha ushirikiano wakati wa uchunguzi huo.
Uchaguzi Huwa haukosi drama kama hizo..,hata marekani baba wa democrasia uchaguzi wao una drama kibao tu,Nchini Slovakia ambako uchaguzi inafanyika, mgombea wa chama cha social democrat ambaye anaingiza kwa asilimia 20 amesema akiingia madarakani atazuia misaada yoyote ya silaha kwenda Ukraine, pia amelaumu serikali ya.marekani kwa kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo
marekani baba wa democrasia