MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Mwishoni mwa mwaka 2022
Urusi Ilitangaza Kuanza Utengenezaji wa Drone za Kivipi kwasababu hapo Awali Haikujikita Katika Silaha Aina ya Drone, Hivyo Ikaamua Kuanza Sasa Kuingia Mzigoni
Amekuwa Akitoa Kila Chuma cha Drone ambacho Ni Hatari Kwenye Ulingo wa Vita
Baada ya Kufanikiwa Kwenye Suala la Drone kwa Muda mfupi Na kutoka na Matoleo Haya ya Drone
Zala 421-06
Zala 421-08
Zala 421-12
Zala Kub-Bla
Zala Lancet
Sasa Mrusi Kaja Na Kitu Kipya
droni Inayo weza Kubeba FAGOT ANT - TANK
Kwenye Upande wa Silaha Mrusi Nihabari Nyingine mashine Hii Kuingia Mzigoni Hivi Karibuni
The #Russian military tested a drone equipped with a Fagot anti-tank missile system.