Russia dubwana kubwaMwishoni mwa mwaka 2022
Urusi Ilitangaza Kuanza Utengenezaji wa Drone za Kivipi kwasababu hapo Awali Haikujikita Katika Silaha Aina ya Drone, Hivyo Ikaamua Kuanza Sasa Kuingia Mzigoni
Amekuwa Akitoa Kila Chuma cha Drone ambacho Ni Hatari Kwenye Ulingo wa Vita
Baada ya Kufanikiwa Kwenye Suala la Drone kwa Muda mfupi Na kutoka na Matoleo Haya ya Drone
Zala 421-06
Zala 421-08
Zala 421-12
Zala Kub-Bla
Zala Lancet
Sasa Mrusi Kaja Na Kitu Kipya
droni Inayo weza Kubeba FAGOT ANT - TANK
Kwenye Upande wa Silaha Mrusi Nihabari Nyingine mashine Hii Kuingia Mzigoni Hivi Karibuni
View attachment 2882651
The #Russian military tested a drone equipped with a Fagot anti-tank missile system.
Naww Tutolee huu Uchafu hapa 😂😂😂
Nimeisoma hiyo article. Na baada ya kusoma hitimisho la mwandishi. Nimegundua waweka Vikwazo Hali ni BAYA sana kwao. They are so desperate Bahati mbaya Ile hegemony Yao inawashitaki...!! Kwa kweli wanaelewa somo la Russia kwa maumivu na uchungu mkubwa!!! Sina haja ya kuwapa Pole kwa Sasa!
Niliwahi kusema humu humu kama sijakoseaKey points of Director of Russia’s Foreign Intelligence Service (SVR) Sergey Naryshkin’s interview to Sputnik:
▪️ Today, as the West is losing on Ukrainian soil, the probability of carrying out a variety of provocations is very high.
▪️ The West will organize new provocations against Russia, but they will not have a long-lasting effect, because lies are quickly exposed today.
▪️ The crisis in Ukraine provoked by the Western bloc "gives many examples of the fact that the United States, United Kingdom, and their allies are ready to resort to the most heinous provocations in order to change the course of events in their favor.”
▪️ The collective West, losing its hegemony, is rushing in rage like a wounded animal, lashing out in all directions, and this is very dangerous.
▪️ The Anglo-Saxons, if they are not stopped, are ready to drag the rest of the world into the vortex of history.
View attachment 2882412
=========
huyu jamaa kila nikiiona sura yake ananikumbusha huu mkutano wa kujadiliana nina cha kufanya dhidi ya ukraine, ilikuwa ni siku chache kabla ya special military operation kuanza rasmi
View: https://www.youtube.com/watch?v=o9A-u8EoWcI
Safari ishafanywa ama itafanywa? 🤔"Putin’s trip to Kaliningrad is not a “message” to NATO countries, it is ordinary work as part of visiting regions, Peskov said. Everything necessary is being done to ensure the safety of the president, he noted."
Kuna mchafuzi mmoja hapa alikua anasema Russia inapoteza ushawishi eti kwenye angle ya kijeshi kisa SMO yake pale UkraineView attachment 2882415
- Russian Troops Begin Burkina Faso Deployment to Bolster Security
- The Russian Africa Corps say 200 troops to follow initial 100
- The deployment follows the involvement of Wagner in Mali
Kuna mchafuzi mmoja alituambia kwamba Russia hawataweza tena kutengeneza silahaMwishoni mwa mwaka 2022
Urusi Ilitangaza Kuanza Utengenezaji wa Drone za Kivipi kwasababu hapo Awali Haikujikita Katika Silaha Aina ya Drone, Hivyo Ikaamua Kuanza Sasa Kuingia Mzigoni
Amekuwa Akitoa Kila Chuma cha Drone ambacho Ni Hatari Kwenye Ulingo wa Vita
Baada ya Kufanikiwa Kwenye Suala la Drone kwa Muda mfupi Na kutoka na Matoleo Haya ya Drone
Zala 421-06
Zala 421-08
Zala 421-12
Zala Kub-Bla
Zala Lancet
Sasa Mrusi Kaja Na Kitu Kipya
droni Inayo weza Kubeba FAGOT ANT - TANK
Kwenye Upande wa Silaha Mrusi Nihabari Nyingine mashine Hii Kuingia Mzigoni Hivi Karibuni
View attachment 2882651
The #Russian military tested a drone equipped with a Fagot anti-tank missile system.
Kuna nchi zinaburuzwa na USA bila kufikiri(Eu Japan na all western world)ndio maana zimejiingiza kwenye vikwazo visivyo kua na maana kwa sababu ya chuki ya USA tu. na Kuna nchi hazitaki kabisa kuburuzwa kwa sababu zinaweza kufikiri (china,India,SA,na hizo mwandishi amezitaja)na ndio maana wekataa vikwazo visivyo kua na maana na vyenye chuki,ndio maana vikwazo vimedunda.
Yaani we acha TU,humu jf tulilishwa matango pori hatari.yule hakua ni mchambuzi TU,bali alikua mchakondoo.Kuna mchafuzi mmoja hapa alikua anasema Russia inapoteza ushawishi eti kwenye angle ya kijeshi kisa SMO yake pale Ukraine
Kuna wachafuzi wana matatizo kwelikweli
🤣😀😅😃😂😂😂😂😂Niliwahi kusema humu humu kama sijakosea
Americant anatakiwa aachwe na anguko lake aanguke na shost zake mdogo mdogo
Sababu anajua kama anaanguka ila atataka kuanguka na wenzake ila uzuri wenzake wamemstukia
Alienda china akawatikisa hawakutikisika
Alienda ukraine akajua Russia itakurupuka kutumia maguuuvu ili idhoofike hatimae Russia anapiga mdogo mdogo ila kwa uhakika wahali ya juu kabisaaa
Americant anaondoka jamani
Kusikiliza taarifa zionazotoka Urusi kunahitaji moyo sana. Hatuna mpango wa kuivamaia Ukraine+ Special Military Operation +Denazify na Demilitarize Ukraine. Kutoka Meli Moskow iliripuka kwa bahati mbaya kwa vile askari mmoja alikuwa anavuta sigara karibu na silaha + Mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Meli hiyo ni UgaidiUKRAINE LOST ABOUT 5, 500 SERVICEMEN OVER PAST WEEK – RUSSIAN MOD
===
Ukraine Lost About 5, 500 Servicemen Over Past Week - Russian MoD
On January 19, the Russian Ministry of Defense summed up the interim result of the ongoing military operations in Ukraine....southfront.press
Ndugu huwa hauoni aibu kuandika uongo kila siku.Hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walichinjwa 🥱🥱🥱
Hii inafanana na Iraq inamiliki silaha za maangamizi ya halaiki,na Colin Powell waziri wa mambo ya nje mbele ya kikao Cha UN akaonesha kichupa Cha mfano wa sumu aliyokua nayoKusikiliza taarifa zionazotoka Urusi kunahitaji moyo sana. Hatuna mpango wa kuivamaia Ukraine+ Special Military Operation +Denazify na Demilitarize Ukraine. Kutoka Meli Moskow iliripuka kwa bahati mbaya kwa vile askari mmoja alikuwa anavuta sigara karibu na silaha + Mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Meli hiyo ni Ugaidi