Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani vya Russia vimechakazwa vingapi mbona kuipiga hiyo moja inakuwa noma sana ina maana hivyo vifaru ni very exceptional.
Nikusaidie Jambo hapa.
Vifaru hivi vina matoleo ya uundwaji wake, vipo vya kisasa na vya enzi hizo.
Unapoambiwa Abraham au Merikeb au leopard tank Ina maana vina mifumo ya kisasa ya kukinga mashambulizi na vimetengenezwa kwa gharama kubwa ya walipa Kodi.
Kinaposhambuliwa na kusambaratishwa na drone ya Dora 5000, na chenyewe labda Dora 500 Million. Unaua soko lake.
 
Vilaza wanafarijiana
Mi nikishaona post Ina maemoji mengi mengi najuaga ni umbeya tu hamna habari humo
 
Soma ujumbe,achana na maemoji yake.
Ndio maana unabakia mjinga maisha Yako yote.
Mjinga ni yule anaeshabikia Vita ya mbali huko wakati kwenye nchi yake Bado maadui umasikini, ujinga na maradhi wamemng'ang'ania.
Halafu ukiweka bandiko na maemoji unakuwa Kama upinde flani hivi
 
Mjinga no yule anaeshabikia Vita ya mbali huko wakati kwenye nchi yake Bado maadui umasikini, ujinga na maradhi wamemng'ang'ania.
Halafu ukiweka bandiko na maemoji unakuwa Kama upinde flani hivi
Kwa sasa adui ni mmoja naye yupo ndani ya ccm si mwingine bali ni waisiharamu wapumbavu ambao wameunda genge lao la WAHUNI NA KUJIHITA WEMA HAWAFI
 
Zelensky anasema toka vita ianze askari wake waliokufa ni 31,000 tu.
Huyo Zelensky boy alipata urais kwa kutumia tobo yake ya chini ndiyo sababu nchi inazama ni hatari kuwa na marais wanaopata urais kwa kutumia tobo zao za chini hata hapa tanzania tunajionea wenyewe upumbavu tunaopitia kwa sasa mara zote marais wa hivyo huwa hawana akili tena wanakuwa vibaraka wa wazungu au waarabu.
 

Kremlin balks at suggestion that European ground troops could be sent to Ukraine in future​


Holly Ellyatt
WATCH LIVE
This is CNBC's live blog tracking developments on the war in Ukraine. See below for the latest updates.

French President Emmanuel Macron said Monday that the sending of Western troops to Ukraine has not been "ruled out," a suggestion the Kremlin balked at Tuesday.

Speaking after a meeting of European heads of state and other Western officials in Paris — which touched on aid to Ukraine amid its pressing war needs — Macron said the possibility of sending ground troops to Ukraine was discussed.

"There is no consensus today to officially, openly, and with endorsement, send troops on the ground. But in terms of dynamics, nothing should be ruled out. We will do everything necessary to ensure that Russia cannot win this war," Macron said.
Camouflaged French soldiers from an observation unit are seen during the NATO exercise 'Saber Junction 23' at the Hohenfels trainings area, southern Germany, on September 14, 2023.

Camouflaged French soldiers from an observation unit are seen during the NATO exercise 'Saber Junction 23' at the Hohenfels trainings area, southern Germany, on September 14, 2023.
Christof Stache | Afp | Getty Images

The president did not give any further details on which countries could consider sending troops but said France was "not against sending them."

The Kremlin balked at the suggestion Tuesday, with Press Secretary Dmitry Peskov telling reporters that if NATO member troops did fight in Ukraine than talk would have to change to the inevitability of a NATO-Russia conflict.

In other news, Hungary voted to approve Sweden's NATO accession bid on Monday, ending months of diplomatic negotiations and obstacles over the membership bid. It first applied to join the military alliance in May 2022 but had faced opposition from NATO members Hungary and Turkey.

==============================

NATO RUSSIA confrontation sio rahisi.
 
🤔🤔

🇫🇷🇺🇦🚨‼️ “Putting Western troops on the ground in Ukraine is not ‘ruled out’ in the future”

1000050365.jpg

— Macron

😂😂

🇫🇷🇷🇺 Russia commented on Macron’s desire to send troops to Ukraine:

“Macron had two problems at once: first, urine probably got into his head, and then he became speech incontinent.”

1000050339.jpg

— Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Russian Security Council.

Ghafla! Most European countries immediately denied the intention to send troops to Ukraine! Their reactions tells alot kwa wenye akili kuelewa 🤗.

🇭🇺🇺🇦‼️🚨
“Hungary opposes sending military personnel and weapons to Ukraine and believes that the conflict should not be deepened, but ended”
— Hungarian Foreign Minister Peter Szijjártó.

🇨🇿🇺🇦‼️🚨
“There is no talk of sending Czech military personnel to Ukraine”
— Prime Minister of the Czech Republic.

🇸🇪🇺🇦‼️🚨
“Stockholm is not considering sending its military to Ukraine”
— Swedish Prime Minister Ulf Kristersson.

🇵🇱🇺🇦‼️🚨
“Poland is not going to send its soldiers to Ukraine”
— Deputy Minister of Defense

🇬🇷🇺🇦‼️🚨
“There is no question of sending European NATO forces to Ukraine”
- Greek Prime Minister

🇩🇪🇪🇺‼️🚨
“NATO and European countries will not send their ground troops to Ukraine”
— Scholz

Then tujaribu kuwazua Russia ingekua ni nchi kama Libya, Afghanistan au Iraqi. Nini wangefanya au wange'comment kitu gani hawa watu baada ya mwenzao kuzungumza vile?
 
Ninafanya kazi na mrusi mmoja, juzi kati wakati tupo kizigo tukawa tunapiga stori, ananiambia hii vita haitaisha leo, inaweza kuchukua hata miaka kumi ila wao wanajua Kiev ni halali yao.

kwamba kipindi cha Soviet, makao makuu ya usovieti ilikuwa Kiev, hivyo vita itaisha siku wakirejesha makao makuu yao.
 
Msako unaendelea!

Ukrainian troops withdraw from two villages​


Ukraine has withdrawn from two villages in the east, according to a military spokesperson.


Dmytro Lykhoviy said troops withdrew from the villages of Severne and Stepove near Avdiivka, which was captured earlier this month by Russian forces in what marked its most significant gain in months.


Russia's defence ministry claimed its forces had captured Severne earlier today.


It comes after the Ukrainian military confirmed its retreat from the eastern village of Lastochkyne yesterday.



 
[emoji848][emoji848]

[emoji632][emoji1255][emoji599][emoji845] “Putting Western troops on the ground in Ukraine is not ‘ruled out’ in the future”

View attachment 2918279
— Macron

[emoji23][emoji23]

[emoji632][emoji635] Russia commented on Macron’s desire to send troops to Ukraine:

“Macron had two problems at once: first, urine probably got into his head, and then he became speech incontinent.”

View attachment 2918280
— Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Russian Security Council.

Ghafla! Most European countries immediately denied the intention to send troops to Ukraine! Their reactions tells alot kwa wenye akili kuelewa [emoji847].

[emoji1126][emoji1255][emoji845][emoji599]
“Hungary opposes sending military personnel and weapons to Ukraine and believes that the conflict should not be deepened, but ended”
— Hungarian Foreign Minister Peter Szijjártó.

[emoji1086][emoji1255][emoji845][emoji599]
“There is no talk of sending Czech military personnel to Ukraine”
— Prime Minister of the Czech Republic.

[emoji1236][emoji1255][emoji845][emoji599]
“Stockholm is not considering sending its military to Ukraine”
— Swedish Prime Minister Ulf Kristersson.

[emoji1200][emoji1255][emoji845][emoji599]
“Poland is not going to send its soldiers to Ukraine”
— Deputy Minister of Defense

[emoji1112][emoji1255][emoji845][emoji599]
“There is no question of sending European NATO forces to Ukraine”
- Greek Prime Minister

[emoji629][emoji1099][emoji845][emoji599]
“NATO and European countries will not send their ground troops to Ukraine”
— Scholz

Then tujaribu kuwazua Russia ingekua ni nchi kama Libya, Afghanistan au Iraqi. Nini wangefanya au wange'comment kitu gani hawa watu baada ya mwenzao kuzungumza vile?
Wangezungumza kishoha yaani Mikono juu na kusema, nachangia Jeshi!
 
Back
Top Bottom