jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Wakifanya hivyo basi ndiyo watamjua mrussi ni nani maana askari wa urusi awapigani kwa usongo sana kwa sababu waliwatamani USA zaidi kwenye uwanja wa vita ....nasema marekani ikipeleka jeshi rasmi ukrain watapata vipigo ambavyo havijawai kutokea toka dunia kuumbwa askari wa marekani watauliwa ovyo na kwa aibu na watakimbia na kutupa silaha zao ovyo ...kitu kingine kitakacho tokea ni machafuko marekani na kuvunjika vipande vipande maana wamarekani siku zote hawapo tayari kufa pasipo kupata ushindi ila wapo tayari kufa kwa kupata ushindiKuna jambo linaenda kutokea, Biden kaongea sentesi inayopelekea uwezekana wa nayo kuingia ukrein kuna ukweli ndani yake muda utasema
Watakimbia kama walivyoikimbia VietnamWakifanya hivyo basi ndiyo watamjua mrussi ni nani maana askari wa urusi awapigani kwa usongo sana kwa sababu waliwatamani USA zaidi kwenye uwanja wa vita ....nasema marekani ikipeleka jeshi rasmi ukrain watapata vipigo ambavyo havijawai kutokea toka dunia kuumbwa askari wa marekani watauliwa ovyo na kwa aibu na watakimbia na kutupa silaha zao ovyo ...kitu kingine kitakacho tokea ni machafuko marekani na kuvunjika vipande vipande maana wamarekani siku zote hawapo tayari kufa pasipo kupata ushindi ila wapo tayari kufa kwa kupata ushindi
Kwa kuongezea tu.wakumbuke kilichomkuta mvamizi wa UrusiWatakimbia kama walivyoikimbia Vietnam
Ninavyowakubali warusi linapokuja
Suala la kutetea nchi yao huwa hawarudi nyuma mziki huu anaujua mbabe
Napoleon Bonaparte
Adolf Hitler
Hawa walisanda mbele ya Dubu
Tuambieni vita imefika maeneo gani nani kaongeza eneo nk .Tuache utotoNaam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walichinjwa Jana 🥱[emoji119][emoji119]View attachment 2925501
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maeneo yaliyokombolewa na Ukraine mpaka Sasa ni [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Tuambieni vita imefika maeneo gani nani kaongeza eneo nk .Tuache utoto
Ndoto za mchana 🙌 kp kipanya44 ingetakiwa upewe tuzo ya 🔥 JFpropagandist Awards🔥 2024 Ten times winner na Ujengewe sanamu lako pale kyiv ukraineMaeneo yaliyokombolewa na Ukraine mpaka Sasa ni [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kyiv
Khakivu
Lyman
Kheson
Kupyansk
Izium
Mycolaiv na mengineyo!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Empire of Lies.Up next ni Russia na NATO, ukrein imeshashindwa pamoja na misaada ila nimejifunza kitu kuanzia mwanzo mwa hii vita ukiona member mmojawapo wa nato kaongea kitu alafu wenzake wakapinga basi tambua hicho kilichopingwa ndio kitakachofanyika
kama ni hivyo sina shakaTena china ndio atakua wa kwanza kuisaidia Urusi.
Kwa sababu Marekani anamchukia sana Kwa sababu inaonekana kua anamtishia Marekani ufalme wake kiuchumi na hata kijeshi huko mbeleni.
Pia Marekani ndio anamuonea wivu mchina juu ya Taiwan.
Kumbuka china iliungana na Hong Kong,makau na inataka kuichukua na Taiwan,lakini anaeleta kauzibe ni Marekani.
Na Marekani ndio anawashawishi Taiwan wasikubali kua sehemu ya china.
Kumbuka tokea china imeichukua Hong Kong na Macau imekua ni dola kubwa sana,Sasa ikifanikiwa kuichukua na Taiwan itakua Dola kubwa sana hapa duniani,hicho ndio kitu Marekani hapendi maana anaionea wivu sana china.
Hivyo ndio vitu vinaleta bifu kati ya nchi mbili hizo.
Marekani imeiuzia Taiwan silaha Kali mno,hiyo Hali ndio inaipa china hasira.
I love oddessaNdoto za mchana [emoji119] kp kipanya44 ingetakiwa upewe tuzo ya [emoji91] JFpropagandist Awards[emoji91] 2024 Ten times winner na Ujengewe sanamu lako pale kyiv ukraine
Unajua huyu jamaa asinge kuwepo labda Uzi ungefumgwa maana ndio amebaki pekee yake kutoka team upindeNdoto za mchana [emoji119] kp kipanya44 ingetakiwa upewe tuzo ya [emoji91] JFpropagandist Awards[emoji91] 2024 Ten times winner na Ujengewe sanamu lako pale kyiv ukraine
Ujerumani na Wingereza hua hawapendani ni vile tu wanalazimika kushirikiana kwa kuwa wote ni vibaraka wa USAIla NATO ni kikundi cha kinafiki.yaani German anatoa siri ya uingereza kwamba wanajeshi wa Uingereza ndo wanaooperate silaha kutoka Uingereza zinazotumia Ukraine.hapohapo audio ya majemedari wa kigerman zinavuja ni unafikiri mtupu.
Zipo nyingi tu mkuu ni zaidi ya 30 na hata zingine hazisikiki ila zipokama ni hivyo sina shaka
maana nilikua namuwazia russia kua peke yake.
hivi kule mashariki ya mbali tofauti na china pamoja na north korea kuna nchi gani nyingine wanaiunga mkono russia