Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO Kuna shida kubwa.
German Luftwaffe General Ingo Gerhartz confirmed British soldiers are on the ground in Ukraine helping Zelensky’s forces fire long-range Storm Shadow missiles at Russian targets

This comes after a 38-min phone call between him and other senior air force officers was leaked
 
Kuna jambo linaenda kutokea, Biden kaongea sentesi inayopelekea uwezekana wa nayo kuingia ukrein kuna ukweli ndani yake muda utasema
Wakifanya hivyo basi ndiyo watamjua mrussi ni nani maana askari wa urusi awapigani kwa usongo sana kwa sababu waliwatamani USA zaidi kwenye uwanja wa vita ....nasema marekani ikipeleka jeshi rasmi ukrain watapata vipigo ambavyo havijawai kutokea toka dunia kuumbwa askari wa marekani watauliwa ovyo na kwa aibu na watakimbia na kutupa silaha zao ovyo ...kitu kingine kitakacho tokea ni machafuko marekani na kuvunjika vipande vipande maana wamarekani siku zote hawapo tayari kufa pasipo kupata ushindi ila wapo tayari kufa kwa kupata ushindi
 
Watakimbia kama walivyoikimbia Vietnam
Ninavyowakubali warusi linapokuja
Suala la kutetea nchi yao huwa hawarudi nyuma mziki huu anaujua mbabe
Napoleon Bonaparte
Adolf Hitler
Hawa walisanda mbele ya Dubu
 
The Ukrainian military lost roughly 500 troops in battles with Russian forces in the Avdeyevka area near Donetsk over the past day, Russia’s Defense Ministry said, reporting on the progress of the special military operation in Ukraine:
vk.cc/cvbN7T
 
Ndoto za mchana 🙌 kp kipanya44 ingetakiwa upewe tuzo ya 🔥 JFpropagandist Awards🔥 2024 Ten times winner na Ujengewe sanamu lako pale kyiv ukraine
 
kama ni hivyo sina shaka
maana nilikua namuwazia russia kua peke yake.
hivi kule mashariki ya mbali tofauti na china pamoja na north korea kuna nchi gani nyingine wanaiunga mkono russia
 
Ila NATO ni kikundi cha kinafiki.yaani German anatoa siri ya uingereza kwamba wanajeshi wa Uingereza ndo wanaooperate silaha kutoka Uingereza zinazotumia Ukraine.hapohapo audio ya majemedari wa kigerman zinavuja ni unafikiri mtupu.
Ujerumani na Wingereza hua hawapendani ni vile tu wanalazimika kushirikiana kwa kuwa wote ni vibaraka wa USA
 
Mambo ni mengi, huku zaluzny kabebeshwa virago huku Avdiivka imekombolewa na Urusi!

Zile nyuzi za counter offensive sioni tena jukwaani wala sioni wale mashabiki wa upinde wakisifia Ukraine!

Naomba kujua tatizo ni nini? Hawana bando?

NB: Urusi inajiandaa kukomboa mji wa Odessa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…