Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo wahuni wamemuonyesha zelensky ya kwamba wana uwezo wa kumfanyia umafia dakika yeyote watakayohitaji.
============

BREAKING: Russia hits the position where Zelensky held a ceremony and awarded medals to special forces soldiers in Odessa.

A very interesting strike! Literally a few tens of minutes before, Zelensky was rewarding Ukrainian special forces officers in there, in the Odessa port. This location was hit with an Iskander missile.

It was known for certain that Zelensky had already left by that time, but the awarded special forces officers were still there.

View attachment 2926409
Na Leo atalala na viatu huyo si amepewa Air defence kutoka USA Leo ndio anajua kumbe Yale ni machujio.
 
Kuna watu hawaelewi, Ukraine ishapigwa, kushindwa vita kunajulikana mapema
Hitler na majeshi yake walijua kabisa miaka 2 kabla kuwa tayari washashindwa

Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wanauliwa kila siku, issue sio tena silaha, issue ni man power, hakuna watu wa kufanya tena offensive Ukraine

Hawa "Collective west" hawawezi kubali hii aibu, so wapo tayari kuchoma dunia nzima kibiriti kwa kuanzisha WW3

Mda huo huo, viongozi wa Africa sijui kama wamejiandaa vipi na hii issue in case dunia inaingia vitani

Nyakati kama hizi, hakuna Laws wala Orders, tusishangae kuona wazungu tena wanakuja
Kuhusu wazungu kukimbilia africa na kulilia kuishi africa lazima itatokea kama vita ya 3 ya dunia ikianza
 
Komredi hiyo ni ngumu!
Nimesoma kombora SATAN 2 LINA VICHWA 16. LIKIPIGA JIMBO LA CARIFONIA, INAFUTWA, AMA LIKIPIGA BURUNDI NA RWANDA ZINAFUTIKA, AU UFARANSA HAKUNA KINACHOBAKIA, PIA NI UNDITECTABLE, KASI 26,000KM KWA LISAA. SASA PUTIN KATAMBULISHA 4, HILO MOJAWAPO.
HAKUNA SHOGA WALA TEJA ATADHUBUTU KUJIUZA UKRAINE.
NATO wote miswaki tu
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱
1709793922169.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu wazungu kukimbilia africa na kulilia kuishi africa lazima itatokea kama vita ya 3 ya dunia ikianza
Vita ya 3 haiepukiki kwa mazingira tuliyomo.

US na washirika kila siku wanasema hawatakubali Putin ashinde vita ya Ukraine, hiyo si kauli ya kuashiria kupatikana hali ya amani.

Naomba sana Trump ashinde urais (jambo gumu sana) tuepukane na mzozo huu.
 
Ukiona wamekaa kimya ujue mambo ni mabaya kwao!


Russian forces recently made confirmed advances near Kupyansk and Donetsk City and in western Zaporizhia Oblast.

 
Unakumbuka kauli ya Samia wakati akiwa makamu wa Rais kuhusu shambulio la Lisu??? "Serikali huwa haikosei kwenye target".

Kweli serikali haikosei target kama ikiamua!

Hawa ni Ukraine:

Russia may have targeted Zelenskyy in missile strike, Ukrainian official says​


It cannot be ruled out that a Russian missile strike on Odesa yesterday that hit while Volodymyr Zelenskyy and Kyriakos Mitsotakis were nearby had targeted the two leaders, a top Ukrainian presidential adviser has said.


Warusi wakajibu:

​

Putin ally denies Russia targeted Zelenskyy​



Dmitry Medvedev, deputy chairman of Russia's Security Council, said Moscow would have hit its target if that had been its aim and that it was obvious "to everyone" that there had been no planned strike on the motorcade.


 
European telegram channels remind subscribers that "if we want to play with fire, we must know what we are dealing with" and publish brief tactical and technical characteristics of the Sarmat missile, according to which one missile is enough to make the entire territory of France uninhabitable.
 
Back
Top Bottom