Mkuu alikoswakoswa ni kama walikuwa wanampa onyo kuwa Hana ulinzi wa kuaminika hawapendi tu kummaliza. Kilichonifurahisha ni kwenda kutafutiwa suruwali na chupi mpya yeye na mgeni wake kwani waliziharibu Kwa kujiharishia😂😂😂Hebu tuambie Mkuu,umetuachia sintofahamu.
It's well known to everyone in Mashoga States.European telegram channels remind subscribers that "if we want to play with fire, we must know what we are dealing with" and publish brief tactical and technical characteristics of the Sarmat missile, according to which one missile is enough to make the entire territory of France uninhabitable.
Ha ha ha haaa. Daaah."Britain is ready to transfer frozen assets of the Russian Federation to Ukraine in debt," British Foreign Minister Cameron said.
"The UK is ready to provide Ukraine with a loan in the amount of Russia's frozen assets, on the grounds that the Russian Federation will be forced to pay reparations after the end of the conflict," Cameron said.
Britain, the USA and the EU will pay reparations to Russia. If they still exist after the end of the war.
View attachment 2926425
Paragraph ya mwisho ndo hofu kuu ya Nato, ogopa sana nuclear Preemptive strikeUnauliza kuhusu Ukraine? NATO wanampango wa kuingia rasmi baada ya kuona Ukraine inazidi kuteketeza wanajeshi Plus vikwazo vyao vyote ya uchumi, mabilioni ya dola kama mkopo / aid kwenda Ukraine, silaha, planning, intelligence ku fail
Ku avoid hii aibu ya efforts za nchi takribani 30 kushindwa na nchi wanampango wa kuingia Russia ku save face.
Putin alishasema, ni aidha kuna Russia huru au hakuna Russia kabisa, mkubwa utaelewa ana maanisha nini.
Hawawezi kuingia kwa sababu Ulaya nzima na Marekani itateketea, Sema wanavuta muda Trump aingie madarakani na sera mpya ya kuimaliza vita diplomaticallyParagraph ya mwisho ndo hofu kuu ya Nato, ogopa sana nuclear Preemptive strike
😂😅😃🤭😥👏🙏🤝🇷🇺💪🙌Mkuu alikoswakoswa ni kama walikuwa wanampa onyo kuwa Hana ulinzi wa kuaminika hawapendi tu kummaliza. Kilichonifurahisha ni kwenda kutafutiwa suruwali na chupi mpya yeye na mgeni wake kwani waliziharibu Kwa kujiharishia😂😂😂
Wakuu, wakati mwingine mjaribu kufanya research ya habari kama hii. Russia hawajafanya mashambulizi kwa msafara wa Zelenskyy na huyo PM wa Ugiriki.Mkuu alikoswakoswa ni kama walikuwa wanampa onyo kuwa Hana ulinzi wa kuaminika hawapendi tu kummaliza. Kilichonifurahisha ni kwenda kutafutiwa suruwali na chupi mpya yeye na mgeni wake kwani waliziharibu Kwa kujiharishia😂😂😂
Huwezi pigana Kwa kutegemea misaada Kisha utoboe.
Watu wavivu wa kutafuta habari, hata kuunganisha nukta hawajui, ule ulikuwa mchongo wa kijasusi na ukafanikiwa! Huyu mgiriki alitumika kama cover tu na walijua Urusi asingefanya shambulio!Kama mtakumbuka wiki chache nyuma Crimea ilishambuliwa kwa mabomu ya Himars na zile uav za chini ya maji na moja ya meli za kıvita za Russia zilizopo hapo ikaharibiwa.
Msimuue, mpaka aje Moscow kwa magoti kuomba usitisgwaji mapigano.[emoji23][emoji28][emoji2][emoji2960][emoji26][emoji122][emoji120][emoji1666][emoji635][emoji123][emoji119]
Wapuuzi walidhani propaganda inaweza kushinda vita.
Soviet union ilipigana na wanazi kwa msaada wa marekani na ikatoboa!Huwezi pigana Kwa kutegemea misaada Kisha utoboe.