lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Huyu Hana maisha mbona!Naona comedian atapinduliwa mda si mrefu. Alimtoa jamaa nchini Kwa kumpa ubalozi akidhani anamuweka mbali kumbe mambo ndio yanazidi kufukuta. Panya wa kijani kazi anayo😂
US ndo hawamtaki yeye na huyu kamanda wa sasa.Huyu Hana maisha mbona!
Usalama wake ni iwe TU USA wanamlinda,kama hawamlindi ana Hali ngumu.
Ha ha haa,America hakuna kitu pale usijidanganye
Mwenzao anapiga mzigo wao wanapiga propaganda 😆😆Jamaa wamevurugwa, wameamua kutengeneza decree ya uzushi
View attachment 2932819
Ni kweli kabisa.... Na si kuanziswa tu bali yanaendelea kupokea ufadhili kutoka USA.Hayo ni mafundisho ya makanisa ya kipentekoste na kiadventist.
Incidentally, makanisa haya yote chimbuko lake ni marekani. Aliyoyaanzisha mahsusi kuushambulia ukatoliki.
Hawaogopi kilicho mtokea yule mkuu wa Wagner?kuna wahuni wameanza uasi ndani ya RUSSIA
Ukristo wa kweli hauwezi kuwa na dhehebu ...kitu chochote chenye kuitwa dhehebu icho kitu ni siasa za wanadamu hata katika uislamu ni hivyo hivyo ...ukisikia suni sijui shia hao wote ni wahuni wa kidini ktk ukristo ukisikia wasabato wakatoliki nk hao wote ni wahuni wa kidini kamwe Yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mpentekosti nk na Mud siyo msuni lala mshia ....Ni kweli kabisa.... Na si kuanziswa tu bali yanaendelea kupokea ufadhili kutoka USA.
Huna hoja wewe, ulichoandika hata hakieleweki.Ukristo wa kweli hauwezi kuwa na dhehebu ...kitu chochote chenye kuitwa dhehebu icho kitu ni siasa za wanadamu hata katika uislamu ni hivyo hivyo ...ukisikia suni sijui shia hao wote ni wahuni wa kidini ktk ukristo ukisikia wasabato wakatoliki nk hao wote ni wahuni wa kidini kamwe Yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mpentekosti nk na Mud siyo msuni lala mshia ....
Historia kwako imepinda hamna mfano.Hayo ni mafundisho ya makanisa ya kipentekoste na kiadventist.
Incidentally, makanisa haya yote chimbuko lake ni marekani. Aliyoyaanzisha mahsusi kuushambulia ukatoliki.
Kumbe sometimes unaleta habari tamu.,heshima yako 💪🙌New US aid package to Kyiv, if approved by Congress, will allow Ukraine to hold the lines until 2025 and provide Ukraine with the possibility of “penetrating strikes on Crimea” - CIA chief
Hawa wanaojiita wasabato walianza lini na walianzia wapi? Wapentekoste je?Historia kwako imepinda hamna mfano.
Kuna Ukatoliki na Uprotestanti, mpinzani wake.
Mwasisi muhimu sana wa Uprotestanti ni Mjerumani Martin Luther, aliyekuwa padre Mkatoliki mashuhuri (karne ya 16).
Unasemaje tena eti makanisa hayo yalianzishiwa Marekani ili kuupinga Ukatoliki?