Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Najiuliza tu huyu jamaa akishinda itakuaje?
Yani anasema Zelensky ni mwizi na muuaji, tena mnyonya damu 😀
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1710667664243.jpg
    257.6 KB · Views: 18
Hii vita kwa niionavyo ngumu kuisha ila Russia udhaifu wake ashaujua na anaufanyia kazi.

Nchi za Ulaya kwa sasa zishaona umuhimu wa artillery, hivyo wafufue viwanda.
Russia atafufua viwanda vingi sana

Drone war itawaumiza akili wakubwa maana gharama kidogo ila utunguaji bei rahisi
 
Kama ameshinda jeshi la urusi lilitakiwa kuwa Kiev na zelensky kuwa kolokoloni,

Sasa jeshi kubwa mpaka sasa bado linahemea mipakani huo ukubwa na ushindi utakuwa na maana tofauti basi.
Mimi Sina upande!
Serikari ya Urusi ilitangaza kuwaunga mkono waukraine wenye asili ya Urusi hili wajitenge baada ya kunyanyaswa na Serikari ya Kyive kwa muda mrefu.
Alichokifanya ni kujaribu kutengeneza mazingira ya Jeshi la Ukraine kupindua Serikari, Jambo ambalo halikufanikiwa sababbu Serikari za Magharibi walishalijenga kwa viwango vya juu na kumwaga wakufunzi wa Kijeshi kila idara.
Hivyo aliamua kufanya operation ya kuziangamiza Siraha hatarishi na kuziripua zikiingizwa sambaba na kuwapa uhuru kamili Donbase yenye Mikoa 4.
Kwanini wachambuzi wanasema Vita imekwisha imebaki ya Nato?
Sababu tiari wahusika wana Uhuru kamili pia Silaha hatarishi bado zinalipuliwa. Ina maana hii ni SMO endelevu lakini sio kumuua Rais Zelensiky wala kupindua Serikari. Sheria za UN haziruhusu. Sasa umeelewa? Ila naomba Kama Kuna wa kuongezea minofu hili kumwelimisha Mtu huyu, karibu.
 
Mungu wangu! Haya Sasa mapya.
 
Najiuliza tu huyu jamaa akishinda itakuaje?
Yani anasema Zelensky ni mwizi na muuaji, tena mnyonya damu [emoji3]
Yupo sahihi sababu alitakiwa kujua Nato hata wapigane Direct na Russia hakuna Mshindi. Sasa ukienda Vijiji vya Ukraine HAKUNA Wanaume Wala Vijana. Wametoroka ama kufa ama wapo Frontline.
 
Pentagon na mtoto wake wameamua kuchagua njia ya kijinga ya mapambano.
Sijajua lengo lao kuu ni lipi, ngoja tuone.
Pengine hii ndio suprise aliotwambia nuland au ipo njiani.

==========
BREAKING: MOSCOW AIRPORT HIT BY DRONES

Multiple Ukrainian kamikaze drones are reported to have hit Domodedovo International Airport, which is the second largest in Russia, 26 miles from the center of Moscow.

Fires have broken out, and the airport is filling with smoke.
 
Ha ha ha haa
Comrade nimekua nikisoma na kusikiliza maoni ya wachambuzi na majenerali mbalimbali Dunia wanakili kabisa Ukraine imeshashindwa.
Na wanamwaga facts.
Papa kawashauri wainue kitambaa cheupe.

Tatizo la Zele hana mamlaka ya kuinua kitambaa cheupe hadi wanaofadhili vita watake.Kumwambia atangaze kushindwa ni kumwonea bure mchana kweupe.
 
🚨Update: “China is ready to intervene militarily anywhere if the US or NATO decide to attack Russia," according to the representative of the Chinese Ministry of Defense!
 

Attachments

  • 20240317_155509.jpg
    164.7 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…