Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2936454
haya kipanya ulilolitaka lishakuwa,
nenda kawasaidie kazi waukraine
====================

There are already Ukrainian villages in which there are no men left - The Washington Post

▪️A difficult situation is developing with Ukrainian villages in which there are no men left. All of them were killed, conscripted or immigrated.
▪️Nevertheless, military registration and enlistment office employees come into such villages and try to mobilize at least someone.
▪️The publication cites as an example the story of Olga from the village of Makiv, whose husband was caught on the street and, despite numerous illnesses, was declared fit within 10 minutes and sent to the front.
▪️Ukraine begins to prepare schoolchildren for military operations.
LoL!
 
View attachment 2936454
haya kipanya ulilolitaka lishakuwa,
nenda kawasaidie kazi waukraine
====================

There are already Ukrainian villages in which there are no men left - The Washington Post

[emoji3502]A difficult situation is developing with Ukrainian villages in which there are no men left. All of them were killed, conscripted or immigrated.
[emoji3502]Nevertheless, military registration and enlistment office employees come into such villages and try to mobilize at least someone.
[emoji3502]The publication cites as an example the story of Olga from the village of Makiv, whose husband was caught on the street and, despite numerous illnesses, was declared fit within 10 minutes and sent to the front.
[emoji3502]Ukraine begins to prepare schoolchildren for military operations.
Du Sasa Zelensiky anatakiwa kuuwawa.
 
20240316_182107.jpg
 
In an interview with NatSec Daily, Finland's Minister of Foreign Affairs, Elina Valtonen, stated that Finland does not rule out the possibility of sending troops to Ukraine in the long term, emphasizing the unpredictable nature of the situation. However, she clarified that Finland is not currently sending troops and prefers not to discuss it at this time.

Politico, analyzing Valtonen's remarks, highlights the gravity of her statements, indicating the serious concerns of countries that could potentially face direct threats from Moscow in the future.
 
Odessa strike, western military personell hit!

Detailed analysis of a combined missile attack on one of the control and decision-making centers in Odessa

After conducting a comprehensive analysis of all available information, it was established that the main target of the strike on March 15, 2024 was one of the control and decision-making centers of the Ukrainian security forces in the Southern agglomeration.

This has been one of the largest-scale operations of the Russian Armed Forces aimed at destroying the command and control personnel of the enemy’s paramilitary, security and special units.

Coordinates: 46.3760847, 30.733856 - territory of the former Mriya sanatorium complex

The missile strike was carried out during a meeting of the command staff of Ukrainian formations with the participation of foreign representatives ("instructors", "hosts", "partners").

According to official data, the strike led to the liquidation of the commander of the Tsunami assault battalion of the National Guard and the commander of the Lyut brigade regiment.

‼️ In addition, we managed to find out the names of some liquidated foreigners:
  • Klaus Fischer (Germany)
  • Jurgen Schmidt (Germany)
  • Kevin Miller (USA)
  • Philippe Leblanc (France)
  • Stefan Dragomirescu (Romania)

what positions they held and what structures they belonged to establish does not seem possible.

-> In total, the strike killed over 50 foreigners and Ukrainian military personnel, while the number of wounded exceeded 100 people.

At this time, local authorities, in their characteristic manner, claim 20 victims of the attack were civilians. But multiple Ukranian sources and family members confirmed the death of military personnel

The Militarist channel about signs of the removal of French corpses after yesterday’s strikes by the Russian Armed Forces on Odessa:

“In the area of the Romanian-Ukrainian border, increased activity of NATO aviation is recorded. Apparently this is due to the evacuation of those killed and wounded during yesterday’s attacks on southern Ukraine.”

— don_partizan & infantmilitario
Na bado mpaka waseme🤣🤣
 
Kama kawaida yangu. Nimeisoma yote hiyo habari na baadhi ya nukuu kutoka kwenye habari hiyo na mchango wangu juu ya nukuu hizo:

1. Still, the latest election, which concludes on Sunday, provides an occasion to assess the state of Putin’s rule and how it has weathered two years of war.
****
Uchaguzi unaendeshwa hadi kwenye majimbo yaliyojiunga na Russia hivi karibuni...bado unasema uongozi wa Putin umefifia kwa miaka miwili ya vita (kwanza si vita bali ni Operesheni Maalumu ya Kijeshi).
---

2. “Of course, that’s a very convenient position for Putin,” Abbas Gallyamov, a former speechwriter for Putin who is now a Putin critic, told me. “Seeing as that, by this point, he is the state.”
****
Hivi unategemea mkosoaji wa Putin akuwekee chai ya maziwa mezani huku akikueleza habari nzuri za Putin? Kua Mkuu.
---

3.According to reporting by Meduza, a Russian news outlet based abroad, internal Kremlin metrics forecast that Nadezhdin would have won as much as ten per cent of the vote. That would have clashed with Putin’s rhetoric of a unified country.
****
Ni ngumu kuamini maandishi ya watu ambao hawaishi ndani ya Russia kutueleza kinachoendelea nadi ya Russia Tena wakati huu ambao Russia anaendesha Special Military Operation huko Ukraine.
---

4.“Autocracies like Russia’s don’t like the idea of progress,” Ekaterina Schulmann, a Russian political scientist based in Berlin, told me. “They are intently focussed on the past, maintain a cult of history, and use these ideas to try and keep the present forever.” Navalny represented the opposite, which made his existence unbearable to the state.
****
Yaani West wanashangilia uovu wa Hitler ambaye walimnanga zaidi ya miaka 75 (rejea tukio la Bunge la Canada), kisha wanasema S. Bandera aliyeshiriki kuua wapolandi na warussia eti ni shujaa na wanaandika upya historia juu ya Nazi kwa kuunga Mkono Makundi ya kinazi kama 'Azov' nakadhalika. Hivi tutaachaje kuamini hawa West ni waungaji Mkono ugaidi Ulimwenguni kuanzia Sahel, Somalia, Libya, Iraq, Syria, Afghanistan na kwingineko???

West wanaandika historia upya kwa kuua Mila na desturi zao kwa visingizio vya uhuru kuelekea matendo ya kishetani...hii haikubaliki. Na Russia lazima aungwe Mkono kuzuia ubadilishaji wa Historia ya kweli.
---

5.The Russian investigative site Proekt, which the Russian state has labelled “undesirable,” recently tallied the number of people who have faced criminal prosecution in politically motivated cases in the course of Putin’s current six-year Presidential term.
****
Taarifa zake za kubeba hoja ya andiko hili kazipata kwa vyanzo vyenye msuguano na Russia. Hii inakuwa ngumu kuaminika.
---

6.But Miniailo, of the Chronicles project, cautioned against taking such figures too seriously. “It makes little sense to try to understand what people want solely by asking which candidate they will vote for,” he said. “Politics simply doesn’t exist in Russia, so this question has little relevance.”
****
Sasa mwandishi anataka itumike njia ipi ilikupatanmatokeo anayoyataka?? Ndugu Miniailo anajiabisha.
---

7.Yudin mentioned Navalny’s funeral and the crowds that keep coming, day after day, to lay flowers. “Of course, in a country of a hundred and forty million there are plenty of brave people,” he said. “But that was never the problem.
****
Navalny alikuwa na Ndugu, jamaa na marafiki. Sasa mwandishi hataki hawa waje kuomboleza kwenye kabuli lake? Vipi huyu mwandishi?
---

8. He needs a certification of this world view,” Stanovaya told me. “Proof he can hold up and say, yet again, ‘The country is behind me.’ ”
***
Mwisho wa makala. Na kuonyesha mwandishi anawayawaya...kashindwa kuja na conclusive statement kuhusu yote aliyoeleza. Inasikitisha kwa uandishi huu kutoka kwa the so called journalist wa West ambao wanasifika kwa objectivity!
 
Wapenda haki wenzangu wa jukwaa hili,napenda kuwashirikisha maoni yangu juu ya thread hii kuhusu SMO ya Urusi kwa kifupi sana kua,kimsingi Ukraine imeshashindwa vita hii.
Ukweli ni kwamba Ukraine Kwa kupewa misaada yote na NATO na ya Kila aina imepoteza vita hii dhidi ya Russia .
Wachambuzi wote wakubwa na wenye utaalam wa masuala ya kijeshi na kiintelijensia tayari wanasema kua Ukraine tayari imeshindwa.
Majenerali mbalimbali kutoka mataifa ya Magharibi na yasiyo ya Magharibi wanakili kushindwa kwa Ukraine.
Amini usiamnini hata Mkuu wa majeshi wa Ukraine alieondolewa na zelensky nae hatimae alikili kua Ukraine haitaweza kutoboa dhidi ya Urusi.Ushahidi ni kwamba kilichopelekea akaondolewa na Bosi wake ni alikataa wazo la Bosi wake la kuandikisha vijana wengine kwa ajilia ya kwenda vitani,yeye alipendekeza mazungumzo ya amani, kwani aliona vijana wengi wanapoteza maisha vitani dhidi ya jeshi imara na kubwa la Urusi.

Tatizo lililopo Kwa Sasa ni ugumu wa wafadhiri kuruhusu Ukraine kuinua kitambaa cheupe kama walivyoshauriwa na Papa.

Wafadhiri wanajisikia aibu kuonekana wameshindwa.

Ushahidi mwingine kua Ukraine imeshindwa ni kwamba wafadhiri Sasa wanatamani kuingia wenyewe moja Kwa moja.

Najiuliza vita ni baina ya Urusi na Ukraine, Hawa wafadhiri wanataka kuingia kama nani?
Wametoa misaada ya Kila aina,ya Hali na Mali haijasaidia,walijaribu kuingia kama mamluki(mercenaries)lakini haijasaidia kubadilisha kitu,Sasa wanajadiliana kuingiza majeshi Yao rasmi,lakini hofu imewakamata, hawajakubaliana.

Wapenda ukweli wenzangu nimekuja kubaini kua kumbe USA,NATO na west wote pamoja na utaalamu wao wote wa kiintelijensia pamoja na vifaa vyote vyenye teknolojia ya Hali ya juu sana vya kiintelijensia hawakua na uwezo wa kupata taarifa za kutosha kuhusu uwezo wa Urusi.

Wapenda haki wenzangu Iko hivi,vita baina ya Urusi na Ukraine imekwisha na Ukraine imeshindwa,Sasa tunasubiri vita baina ya NATO na Urusi,kwa sababu NATO wanahangaika kutaka kuficha aibu ya kuishindwa Urusi kupitia kwa jeshi lao yaani Ukraine.

Hali huko Magharibi mwa Ukraine mpakani mwa Ukraine na Poland sio shwari hata kidogo,kwani majeshi ya NATO yameanza kukusanyika.Hatujui Nini wanataka kufanya.
Ufaransa ilijiapiza kua itafanya Kila iwezalo kuhakikisha Urusi haishindi.
Urusi ikatoa onyo kua Ina silaha za kufika kwa nchi zinazotaka kuingiza majeshi Yao kuisaidia Ukraine.

Jamani eeh kama Ukraine inashinda,je Hawa NATO mmoja mmoja wanataka kuingia vitani kwa ajili ya Nini?,kwa sababu mtu anaeshinda hua hahitaji msaada,Bali mtu anaeshindwa ndio huhitaji msaada.
Kwa kumalizia ni kwamba hata Sasa hivi ukiangalia utaona ni malumbano baina ya Urusi na Viongozi wa NATO wala,sio tena malumbano baina ya Urusi na Viongozi wa Ukraine kwa sababu Ukraine Sasa hivi Haina nguvu Tena kijeshi, Bali ni majibizano naona ya Urusi dhidi ya akina Ufaransa,Poland,Latvia,Estonia, Lithuania,USA,UK na washirika wao wengine.
Ajabu na kweli ni kua Ukraine sio mwanachama wa NATO wala wa EU,je Hawa NATO wanatakq kuingia vitani kwa ajili ya nani?

Ukweli ni kwamba Ukraine tayari keshakalishwa.
 
Sawa boss kwa taarifa
 
Kama ameshinda jeshi la urusi lilitakiwa kuwa Kiev na zelensky kuwa kolokoloni,

Sasa jeshi kubwa mpaka sasa bado linahemea mipakani huo ukubwa na ushindi utakuwa na maana tofauti basi.
 
BREAKING: Niger have broken off all military ties with the United States, and told them to leave the country and close their bases.

The US' most expensive drone base ($100m) is in Niger.

Another major victory after expelling colonial French troops 6 months ago.
 
Hizi hatua wanazofanya Niger ni nzuri ila natamani kujua kuwa wana back up ya kutosha toka kwa Rusia.
 
G7 countries have threatened Iran with “significant measures” if it supplies Russia with ballistic missiles and other military technologies. The statement was published on the G7 website .

“ If Iran begins supplying Russia with ballistic missiles or related technologies, we are ready to respond quickly and in a coordinated manner, including new and significant measures against Iran ,” the message said.

The G7 countries recalled that Iran has already supplied Russia with drones and, according to the countries, new supplies of Iranian weapons will “increase regional destabilization.”
 
Trump: Ukraine must repay our debt:

"I'll tell you, Zelensky is the greatest salesman in history. Every time he comes to the country, he leaves with 50 or 60 billion dollars."

What to do... The USA is only about business. Therefore, they see only what they want to see - dollars.

Zelensky is not only a thief, but also a murderer. The bloody executioner.
 
Back
Top Bottom