lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Jeshi la ukraine lilishasambaratishwa siku nyingi.Russia bado ameshindwa kulisambaratisha jeshi la Ukraine?
Na fact ni ndio maana ufaransa Sasa anawashauri NATO waingie wenyewe.
Fact ni kwamba ukiwa umeshinda katika mchuano wowote huwezi kuomba msaada Tena.
Yaani anaeshindwa siku zote ndio huomba msaada.
Kama jeshi la ukraine halijasambaratishwa hao NATO wanataka kuingia vitani na Urusi kutafuta Nini?