Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kweli hakuna msaada wa bure

Former Ukrainian Foreign Minister Pavlo Klimkin considers aid from the United States on credit to be a "dishonest story":

"I believe that demanding Ukraine to fight for some kind of loan money is wrong. It's not a fair story," he said on a Ukrainian TV channel.
 
Jitahidi kuishi katika tabia zenye ustaarabu. Usiruhusu kinywa chako kuongea au moyo wako kuwaza maneno machafu.

JITAHIDI HATA KAMA MAZINGIRA ULIYOKULIA NDIYO YALIYOKUPA HIYO TABIA.

PIA USIKUBALI WATOTO WAKO WAKAWA HIVYO
Utashangaa mtu anayetoa ushauri kama huu ni kada wa ccm tena fisadi ambaye hadi pichu anayo vaa kaipata kwa pesa ya ufisadi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] russia forever
 
Naam, ni zaidi ya mia nane walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱View attachment 2938096

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Screenshot_20240319-105417.png
 
“Russia could respond in kind to the enemy who attacks civilian infrastructure, but we have our own plans” -Putin
======

basi sina tena cha kuchangia, hili swala lilikuwa linanikera sana kuwaona waukraine wanashambulia mji wa belgrod.
Kimenuka leo Kiev mjini pale kwenye sanamu ya bismini.😀
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


[emoji298][emoji298]Russia's total combat losses in the war in Ukraine from February 24, 2022 to March 21, 2024 amount to about 433,840 invaders, including another 750 troops killed or wounded in action in the past day.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine said this in a post on Facebook, according to Ukrinform.

The Ukrainian defenders have also destroyed 6,832 enemy tanks (+4 in the past day), 13,074 armored combat vehicles (+16), 10,740 artillery systems (+26), 1,018 multiple launch rocket systems (+1), 721 air defense systems, 347 aircraft, 325 helicopters, 8,365 unmanned aerial vehicles (+10), 1,922 cruise missiles, 26 warships/cutters, 1 submarine, 14,242 motor vehicles (+44), and 1,741 special equipment units (+3).[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bado hamjasema!

​

'Situation unstable' in frontline areas, UK MoD says​



The British Ministry of Defence says the frontline situation in areas like Donetsk is unstable due to Ukrainian ammunition and personnel shortages.


 
Nchi za magharibi zitakua kwenye tafakuri kubwa sana kwa sasa, pesa nyingi imetumika kuifadhili Ukraine, silaha karibu zote nzito zimepelekwa ukraine, vikwazo vya kila aina imepewa nchi ya Urusi ili kuivunja moyo na kuipunguza nguvu, mamluki wa kijeshi (mercenaries) wamepelekwa Ukraine.
Output ya yote hayo imekua negative, Ukraine anapoteza sana kwenye uwanja wa vita, amepoteza vijiji, miji na majiji makubwa sana. Ukubwa wa ardhi aliyopoteza inafika asilimia 30% ya ardhi yake yote.

hali ni mbaya sana, Media kubwa hazisemi kweli, propaganda imekua kubwa lakini ukweli wa mambo Ukraine imekua jehanamu....
Sasa Nato wanafikiria kuingia "mazima" wanataka kupeleka vikosi vyao directly kupigana na vikosi vya Urusi kwenye uwanja wa vita, je wataweza? Ikiwa walifeli kwenye plan A wataweza kwenye plan B?

Waswahili husema 'nguvu ya mamba ni maji' Nato wanamtegemea sana USA, na sasa kuna fukuto la uchaguzi nchini kwao, Trump amenukuliwa kukata misaada nchini Ukraine ikiwa atashinda kiti cha urais, je nchi zilizobaki zitaweza?

Kwa maoni yangu hatma ya Ukraine ipo kwa watu wa Ukraine wenyewe.. ikiwa watamuendekeza Zelensky ambaye kwa maoni yangu ni 'looser ' basi watajikuta wanapoteza nchi yao, na history ya nchi ya Ukraine itapotea kabisa.

Mwisho, nimebaini propaganda zina mwisho, nimebaini Nato ipo kwa ajili ya Urusi , na bodo hawamuwezi Urusi Kijeshi, case ya Ukraine ni somo tosha. Nchi za Africa zina mengi ya kujifunza kwa Urusi, kinachoendelea pale Ukraine ni aibu... nchi zaodi ya 25 zinapambana na nchi moja na bado hazipati matokeo.
 
EU state’s leader congratulates Putin on election win

Viktor Orban said that he will keep talking to Moscow because Hungary is “committed to peace”

Hungarian Prime Minister Viktor Orban has congratulated Russian President Vladimir Putin on winning a fifth term in office, becoming the only EU leader to do so. Orban said that the “mutual respect” between Budapest and Moscow enables “important discussions even in challenging geopolitical contexts.”

Putin’s victory was officially confirmed by Russia’s Central Election Commission (CEC) on Thursday. Some 76.2 million Russian citizens participated in last weekend’s election, with Putin winning 87.28% of the vote, the CEC said.

After the results were announced, Orban “congratulated [Putin], noting that the cooperation between Hungary and Russia, based on mutual respect, enables important discussions even in challenging geopolitical contexts,” Hungarian government spokesman Zoltan Kovacs wrote in a statement on X.

“PM Orban affirmed Hungary’s commitment to peace and readiness to intensify cooperation in sectors not restricted by international law, underlining the importance of dialogue in fostering peaceful relations,” Kovacs added.

While Orban condemned Russia’s military operation in Ukraine, the Hungarian leader has consistently spoken out against the EU’s response to the conflict. Orban has refused to supply Ukraine with arms or to allow weapons to enter Ukraine via Hungarian soil, and has repeatedly called for a ceasefire and peace talks, arguing that “the longer the war goes on, the more people will die, and the balance of power will not change in Ukraine’s favor.”

Orban has also opposed some of the EU’s sanctions on Moscow, arguing that they hurt the European economy more than Russia’s. While Budapest has agreed to the repeated packages of economic penalties, it has done so only after securing certain exemptions and concessions for Hungary.

The Hungarian premier has also met with Putin since the Ukraine conflict erupted, something that no other EU leader has done. Orban spoke with the Russian president at a Belt and Road Initiative forum in Beijing last October, where they discussed their countries’ oil, gas, and nuclear energy links.

Putin’s electoral victory was condemned by Western officials, with the US claiming that the vote was “neither free nor fair.”

“What did you expect? For them to stand up in applause or something?” Putin responded at a press conference earlier this week. “They are fighting against us, including with arms.”
 
Russian snipers annihilate 12 Polish mercenaries in Ukraine in one minute
Video shows Russian snipers annihilating group of Polish mercenaries in one minute
21.03.2024

Russian snipers tracked down a group of 12 Polish mercenaries of the Armed Forces of Ukraine and annihilated them all in one minute. The video of the attack on the group of foreign fighters appeared on Mash Telegram channel.


“The snipers spent three days tracking 12 foreigners (among them was a retired major of the regular Polish army) and found them in Sherwood Forest near Izium,” the message said.

The operation took place in the Kharkiv direction of hostilities.
 
Yaani putin kaamua kupiga kiyv na kapiga kweli bila kujari air defence zilizopo pale
Inatisha sana mwamba ni mwamba
Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi
 
Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi
Hakuna Kutungua wala Nn
Wekeni vithibitisho tujiridhishe, waungwana.

Mnalumbana patupu kama upepo wa kisulisuli mbugani.
 
Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi
Kauli hizi hizi tangu mwanzo zilitolewa. Leo Ukraine imepoteza takribani ya 30% ya nchi yake. Unapata picha gani?
 
Back
Top Bottom