D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Utashangaa mtu anayetoa ushauri kama huu ni kada wa ccm tena fisadi ambaye hadi pichu anayo vaa kaipata kwa pesa ya ufisadi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] russia foreverJitahidi kuishi katika tabia zenye ustaarabu. Usiruhusu kinywa chako kuongea au moyo wako kuwaza maneno machafu.
JITAHIDI HATA KAMA MAZINGIRA ULIYOKULIA NDIYO YALIYOKUPA HIYO TABIA.
PIA USIKUBALI WATOTO WAKO WAKAWA HIVYO
Naam, ni zaidi ya mia nane walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱View attachment 2938096
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kimenuka leo Kiev mjini pale kwenye sanamu ya bismini.😀“Russia could respond in kind to the enemy who attacks civilian infrastructure, but we have our own plans” -Putin
======
basi sina tena cha kuchangia, hili swala lilikuwa linanikera sana kuwaona waukraine wanashambulia mji wa belgrod.
Naomba Mr.Putin apunguze mashambulizi nyakati hizi za Mwezi mtukufu.Kimenuka leo Kiev mjini pale kwenye sanamu ya bismini.[emoji3]
Putin kaanza kutumia Ballistic missiles Cha kufurahisha ni kwamba mifumo ya ulinzi ya Ukraine imeweza kuyadungua mengi kati Yao.Kimenuka leo Kiev mjini pale kwenye sanamu ya bismini.😀
Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za waziYaani putin kaamua kupiga kiyv na kapiga kweli bila kujari air defence zilizopo pale
Inatisha sana mwamba ni mwamba
Amka Na Utoke kwenye Usingizi wa PomoKapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi
Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi
Wekeni vithibitisho tujiridhishe, waungwana.Hakuna Kutungua wala Nn
Kauli hizi hizi tangu mwanzo zilitolewa. Leo Ukraine imepoteza takribani ya 30% ya nchi yake. Unapata picha gani?Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi