Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine walipewa ushauri mzuri na wenye manufaa na Papa Francis kwamba wakubali yaishe warudi kwenye meza ya mazungumzo, wao wakamdhihaki na kuendendelea kumsikiliza Marekani wakati Fedha hajatoa na wanmeomba Defense Sytem hajawapa. Muungwana ukivuliwa nguo unachutama.
 
Kuna Kiongozi mmoja ni Spika wa Bunge la Russia (DUMA), jamaa ni Katili huyo. Alisema wale Neo-Nazis waliojisalimisha kule Mariupol washtakiwe, kesi zao ziwe live na wanyongwe live ili iwe fundisho kwa wengine.
sijui ndiye yule aliyefanya mahojiano na kituo cha Ufaransa, anawaambia live wanajeshi wote wa ufaransa tutawaua kwenye uwanja wa vita.

kwa maana ukraine ni russia iliyozembea
 
According to Foreigh Combotant, on February 1, 2024, Russian troops eliminated the French Count Adrien Bodon de Mauny-Pajol in Ukraine.

The count came to fight in Ukraine in January 2024 and was destroyed by the Russian military 3 weeks later in the Kherson region.

Bodon was the operator of the Shark UAV, which corrected the strikes of the HIMARS MLRS. While hunting for HIMARS in the Kherson region, a Russian drone detected the crew of an enemy UAV, after which it was struck. Together with Bodon, French legionnaire Gennady Germanovich was killed.

This Count is one of the many French people killed by Russian troops in Ukraine.
 
Mimi nashidwa kuelewa Strategy za Makamanda wa Jeshi la Ukraine 🇺🇦 ni kwanini wamepoteza Askari wengi sana sana kulinda Bakhmut na ni kwanini wanang'ang'aniza kupita kwenye Heavily Defended Russian lines?

Kwanini wasifungue front mpya kwajuu huko wakitokea Kharkiv?
 
Mitambo ya kutungulia imefanya kazi vizuri!

​

Ukraine downs 92 of 151 missiles and drones in overnight attack​



Ukraine's air forces downed 92 of 151 missiles and drones fired in an overnight Russian attack, officials have reported.


Volodymyr Zelenskyy said on Telegram that all the cities affected by the attack "already have the


necessary services running".
 
Si mchezo leo huko! Ukiona wenyewe wanasema ujue.....


Over one million Ukrainians without power after airstrikes​


More than one million energy consumers across Ukraine are without power after overnight Russian airstrikes on energy facilities, a top presidential official has said.


 
Ukiona mpaka wanakasirika ujue hali tete!

​

'Setting the course of the entire century': Deadly Russian missile strikes sparks anger at West​



Deadly Russian airstrikes on Ukraine overnight that left more than one million Ukrainians without power have prompted an outpouring of anger, with many suggesting the such attacks are the result of the West's failure to provide enough support to Kyiv.


 
Lakini Warusi wenyewe wanasema....

​

Moscow details massive strikes against Ukrainian infrastructure​



The barrage destroyed NATO-supplied weapons and undermined Kiev’s industrial potential, the Defense Ministry has said


In a statement, the Russian Defense Ministry said that the barrage, using high-precision long-range weapons and drones, targeted Ukraine’s energy facilities, the military-industrial complex, railway junctions, arsenals, and deployment areas where the Ukrainian military and foreign mercenaries were present.



 
napenda uawtu wenye misimamo na uchungu wa nchi yao sisi tungetakiwa tuivae ile roho ya magufuli ya maamuzi ama kama roho ya viongozi wa china kama enzi zile nchi yetu ingekuwa mbali sana.
Kungekuwa na angalau magufuli wanne tu wanaojitambua,wakisaidiana na mwamba putin, hii dunia ya tatu tungeendelea sana aiisee
 
Alisikika Mlevi mmoja Akisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…