Hii vita inaenda kuharibu soko la Silaha la Urusi, ilianzia mgogoro wa Armenia ambapo Silaha za Urusi zilionyesha ufanisi zero zidi ya Silaha
hivi syria, kati ya silaha za USA na Russia zipi zilionyesha ufanisi ?
kama vile iran ilivyo haribu soko la patroit na drone za marekani ha haHii vita inaenda kuharibu soko la Silaha la Urusi, ilianzia mgogoro wa Armenia ambapo Silaha za Urusi zilionyesha ufanisi zero zidi ya Silaha za Marekani.
Noted 😁Tupo kwa hewa
Wapo vishikwambi wanaomuita Shujaa wa KarneSaana mkuu, mwisho wa siku atakua rais wa ajabu sana katika karne hii ya 21. Atakua rais wa miti tu.
Bora zako wewe mMarekani wa Tandahimba mwenye taarifa zaidi juu ya udhaifu wa silaha za Russia kuliko hata wanaintelijensia wa Marekani (waMarekani O.G.), ambao wao ni wabobevu wa mambo hayo, na wameaminiwa kupewa dhamana ya kufatilia mambo hayo.Hii vita inaenda kuharibu soko la Silaha la Urusi, ilianzia mgogoro wa Armenia ambapo Silaha za Urusi zilionyesha ufanisi zero zidi ya Silaha za Marekani.
Ndio kwann sisi tutangulie wao wabaki nyuma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawaambia watangulie mbele wao wenyewe wasibaki nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakera sana wanasiasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ikitokea mkaenda vitani mkashinda wanakapongeza uko ofisini utasikia "Makongoro Shujaa kashinda vita vile"Ndio kwann sisi tutangulie wao wabaki nyuma?
Hatari sana mkuu, kwa kiongozi kuwa na maamuzi ya kushikiwa. Mwisho wa siku Wa siku wanaimplement sanctions, ili iweje mtu kishapoteza watu, miundombinu ishabomolewa, and cha ajabu ndio wanapika propaganda while they are watching outside the field.Wapo vishikwambi wanaomuita Shujaa wa Karne
Naf kumbe mercenaries kutoka sehem tofauti wamejazana apo wanakufa tu media zao hazitangazi.... Mskilize huyu mmoja wapo kutoka BrazilHatari sana mkuu, kwa kiongozi kuwa na maamuzi ya kushikiwa. Mwisho wa siku Wa siku wanaimplement sanctions, ili iweje mtu kishapoteza watu, miundombinu ishabomolewa, and cha ajabu ndio wanapika propaganda while they are watching outside the field.
Dunia ina mambo sana((
Sunrise
Nakuelewa sana mkuuMahakama ya Usuluhishi wa Michezo ilikataa rufaa ya RFU dhidi ya uamuzi wa UEFA wa kuziondoa vilabu na timu za Urusi kwenye mashindano chini ya mwamvuli wa shirika hilo. Imeripotiwa na Associated Press. Imebainika kuwa hii ni hukumu ya muda.View attachment 2151958
AAAAAAA! Watu kumbe Russia imewaogesha damu, Even though sio kitu kizuri, walienda kufanya nini sasa! Ndio mana Nchi kila kukicha zinapata hasira sana 😢 za kuzidisha sanctions.Naf kumbe mercenaries kutoka sehem tofauti wamejazana apo wanakufa tu media zao hazitangazi.... Mskilize huyu mmoja wapo kutoka BrazilView attachment 2151965