TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Mateka wa vita wa Ukraine (POW) wengine wakikabiliwa na uhalifu wa kivitani takriban mia nane na Sabin
Kipanya hachelewi kuwajumlisha hawa raia karibu 60 walio uawa kwenye hili shambulio kwenye ile hesabu yake ya tumewachinja kadhaa.Yuko wapi dairekta wa NATO kp kipanya44 alete takwimu hapa?
Hii ni kawaida, hata Putin alimpigia simu Bush kumuonya juu ya shambulio kubwa nchini mwake kabla ya Sept 11.
Mkuu, nadhani tukubaliane kutoafikiana.NATO HAINA UWEZO WA KUPIGANA VITA NA URUSI
Hakuna kiongozi wa NATO mjinga atakayeiweka nchi yake kwenye hatari ya kushambulia na nyuklia kwa sababu wakiingia rasmi vita itahama Ukraine kwenda nchini kwao.Usipime, mkuu. NATO ikiingia rasmi Ukreni, hivyo vita ni balaa kwa pande zote mbili.
Tuombe hayo yote yasitokee. Maridhiano ya amani ndiyo namna pekee ya kuishinda vita na kuinusuru dunia.
Ni wazi kwa yeyote kwamba Urusi imejizuia sana katika operesheni zake Ukreni, licha ya chokochoko na uhasama wa wazi anaofanyiwa na mahasimu wake.
Inatambua fika kwamba wao na Ukreni ni mtu na ndugu ambao wamechonganishwa na kugombanishwa na adui kutoka mbali asiyewatakia mema.
Sasa Urusi afanyeje wakati mdogoe ameshaamua kuungana na adui?
Ndiyo maana Putin anatembeza kichapo kwa masikitiko na huruma kwao akitarajia huenda wataweza kujitambua na kujirudi.
Huu ni uamuzi mzito mno kwa Urusi kwani anaelewa kwamba matokeo yawe chanya au hasi kwa Marekani na washirika wake, wao hawana la kupoteza.
Urusi amepiga hatua kubwa sana ya mafanikio kwenye SMO -- kijeshi, kisiasa, kiuchumi na uhusiano wa mataifa ya nje.
Nchi ya Urusi imeshikamana katika umoja wa kitaifa kuliko wakati wowote wa historia yake ya hivi karibuni.
Kufuatia hilo, mataifa mengi duniani yamepata ujasiri mkubwa na matarajio mema dhidi ya dhulma, uonevu na uburuzaji waliokuwa wakifanyiwa waziwazi na Amerika.
Marekani na washirika wake wasingependa kuona Putin akifanikiwa hivyo, huku wao wakidhalilika.
Ndiyo maana watatumia kila mbinu ili kuzua vurugu na vitendo vya kihalifu na kigaidi kila mahali duniani ili tu kufidia fedheha ya Ukreni.
NATO anaweza kushambulia Libya au irak Ila hatothibutu kukabiliana na makombora ya satarn 11 ambayo yakirushwa vichwa vinatawanyika Ufaransa, ujerumani na uk.Mkuu, nadhani tukubaliane kutoafikiana.
Vita havina macho. Ndiyo maana hata wanajeshi wanaweza kuwahofu wanamgambo tu, au maaskari wakatimka mbio na kujificha mbele ya majambazi wenye mapanga tu.
Katika karne hii ya 21 hakuna mbabe halisi wa vita.
Yeyote atakayethubutu kupima upepo huo ni mpumbavu, mwehu na adui wa dunia nzima.
Wanaodai eti NATO haina uwezo wa kupigana na Urusi, au Urusi hana uwezo wa kukabiliana na NATO ni watu wa kupuuzwa tu.
Kiongozi yeyote anayetambua wajibu mkubwa wa kulinda uhai duniani, anastahili kupongezwa na kuungwa mkono.
Mashabiki koko wanaotamani ^mvua inyeshe ili tuone panapovuja,^ ni kundi lingine la vichaa wasiojitambua.
Iwapo Marekani, NATO au Urusi au hata China na NK wangeamini vinginevyo, kitambo sana wangeshakinukisha.
Nadhani ubabe halisi duniani ni kujua una silaha na ulinzi bora, lakini ukajizuia kuzitumia ili kuwaangamiza wengine.
Katika vita vya Ukreni vs Urusi, kwa jinsi Ukreni ilivyopondwa, ukimwangalia Zelesky au hata baadhi ya washirika wake wa karibu kama Polandi, wanatamani Urusi afanye kosa hilo la ^kurusha jiwe la kwanza^ ili wazame wote.
Lakini imethibitika tena na tena kwamba Putin anajua fika hesabu zao chafu kiasi kwamba mara kwa mara amevunja matarajio yao na kuwapoteza maboya.
Mustakabali wa dunia utakuwaje? Muda wenyewe utaongea.
Tusisahau kwamba Marekani na NATO bado ni mataifa yenye nguvu duniani, na hivyo kukubali kirahisi kuaibishwa vile ni suala linaloweza kuwafanya wachukue maamuzi ya woga ya mfamaji.
Yote kwa yote, Mungu aepushie mbali mauaji ya mamia ya raia wasiokuwa na hatia.
Polisi watanzania wajifunze sio wakiona tukio la ugaidi wakimkata gaidi wanakimbilia kumuua.
Hii ukraine wanayo, hapa anatafutwa mtuThe criminals responsible for the Crocus City Hall terrorist attack intended to cross the border between Russia and Ukraine and had contacts on the Ukrainian side, the FSB said.
Anakaribia kuingizwa kwenye mfumo, huenda wahuni walikuwa wanasubiria uchaguzi umalize.Hii ukraine wanayo, hapa anatafutwa mtu
Hao ndio watarahisisha upelelezi.Ni kweli walikuwa wanakimbilia UKRAINE?
View attachment 2942507
Ndomana usa na nato wamewai kukana kuwa sio ukrain, ila esrael nae yupo nyuma subili tusubilie majibu ya putin. Maana kapata sababu ya kuwapiga watu vizuri maana ana support kubwa kwa warusi kwa tukio hili. SMO vision 2.5Anakaribia kuingizwa kwenye mfumo, huenda wahuni walikuwa wanasubiria uchaguzi umalize.
NATO hana uwezo wa kuyatungua hayo makombora kabla ya kufikia destination/target?NATO anaweza kushambulia Libya au irak Ila hatothibutu kukabiliana na makombora ya satarn 11 ambayo yakirushwa vichwa vinatawanyika Ufaransa, ujerumani na uk.
Tuombe Mungu isifike huko maana tuna ndugu zetu.
Kama ni kweli,Basi Ukraine ijiandae11 people, including all 4 terrorists which took part in the terrorist attack at Crocus City Hall, Moscow have been detained – FSB
========
Ni kweli walikuwa wanakimbilia UKRAINE?
View attachment 2942507
Ukraine wameyatimbaThe criminals responsible for the Crocus City Hall terrorist attack intended to cross the border between Russia and Ukraine and had contacts on the Ukrainian side, the FSB said.