ISIS ndio wanafuata ISLAMIC SHARIA kuliko ninyi Waisilamu POA ambao hamzifuati kwa Haki Sheria.Nani alikuambia ISIS wanafata "SANA" sharia katika uislam?.nimevyosoma tu hapo nimepuuza na hoja zako.
Vipi?? Kuna nini kinaendelea huko??? Siri zimeanza kuvuja?? Kwa nini iwe sasa?? Muda utaongea!
Zelensky fires security chief
Ukrainian President Vladimir Zelensky dismissed the head of the National Security and Defense Council (SNBO), Aleksey Danilov, on Tuesday. The security chief has been known to resort to combative and abrasive rhetoric.
The former SNBO chief has also been critical of Kiev’s Western backers. In December, he stated that NATO’s war textbooks should be shelved as none of them could prepare soldiers for the war in Ukraine.
He also repeatedly demanded more weapons for Kiev, warning that any setbacks suffered by the Ukrainian forces would damage the West’s own “image, authority and unity.”
Zelensky fires security chief
Ukrainian President Vladimir Zelensky has fired the nation’s top security official, Aleksey Danilovwww.rt.com
uzuri ushahidi nishaweka,Sasa mambo ya utoto nakuachia Wewe, maanayake tusijewekwa kundi Moja,ikashindwakuonekana tofauti baina yetuISIS hawashambulii Israel wala kambi za wamarekani mashariki ya kati
hao vijana achana nao ni "misukule" ya masheikh waovu wafuasi wa Matwaghut ambao IS kwao ni mwiba kuondoa tawala zao zisiongozwa na Sharia, kiufupi hawajitambuiISIS ndio wanafuata ISLAMIC SHARIA kuliko ninyi Waisilamu POA ambao hamzifuati kwa Haki Sheria.
Apostasy from Islam is considered a hudud crime. Death penalty is the traditional form of punishment for both male and female apostates for leaving Islam. Jaʿfari or Imāmī school – Male apostates must be executed, while female apostates must be held in solitary confinement until they repents and return to Islam.
si ndio hapo kinatokea "kimsukule" kimoja kilichovimbiwa na kuangalia nyuchi za kina wema sepetu ati ISIS wanachafua uislam na khawarij Sasa sijui Mtume na Maswahaba kitawaitaje? kwa kweli ujinga ni mzigo mzito usiobebekaBanu Khunayza Walichinjwa wote na Wake zao Walichukuliwa Ngawira na Prophet Muhammad Rasululaah.
ISIS ni vibaraka wa Israel na wamagharibi......false flag hazitutoi nje ya reliuzuri ushahidi nishaweka,Sasa mambo ya utoto nakuachia Wewe, maanayake tusijewekwa kundi Moja,ikashindwakuonekana tofauti baina yetu
Muungwana acha fiksi.ISIS waliokuwa wanasaidiwa na NATO walibakiza kilomita20 tu kuingia Damascus.Gemu lilibadilika baada ya Vladimir Putin kuamua kuingilia kijeshi kumsapoti ASSAD.Ni kweli ISIS na wafadhili wao wa Magharibi walikula kichapo kitakatifu.Hii SMO ya UKRAINE ni raundi ya pili ya mchuano wa NATO vs RUSSIA,japokuiwa ule wa mwanzo ndani ya SYRIA pia jeshi la IRAN lilichangia sana kwenye ground offensive kuturn the tide.Nadhani huelewi dynamics baada ya US na Israel kuwasaidia Maadui wa Assad na kugundua kuwa vile ni vikundi vya Kigaidi alibadilisha msimamo na kuanza kuwapiga na kuwamaliza kama tujuavyo ISIS ni kama imekwisha Syria.
Ni kama illivyokuwa Afghanistan US aliwasaidia Mujahidiin baadae wakaja kuwa Taliban na Magaidi wa AL QAEDA walijificha huko na kuanza kushambulia US na Interest zake.
Lakini leo kusema ISIS Khorasan inasaidiwa na US sio sahihi ISIS khorasan wanataka kuanzisha Dola ya Kiislamu Khorasan ambayo Kijiografia ni eneo kubwa sana na US na Israel na Maadui zao Wakubwa sana.
ISIS hawauchafui Uisilamu ISIS sio Wanafiki wa kugeuka mafundisho ya Allah.si ndio hapo kinatokea "kimsukule" kimoja kilichovimbiwa na kuangalia nyuchi za kina wema sepetu ati ISIS wanachafua uislam na khawarij Sasa sijui Mtume na Maswahaba kitawaitaje? kwa kweli ujinga ni mzigo mzito usiobebeka
Umekwama wewe mzee.Uislam ndio dini inayokua kwa kasi zaidi duniani.Fanya utafiti urudi na data za kutuonyesha uislam ukiporomoka.Wewe nina imani kuwa ni Mwafrika mwenzangu sidhani kama unaujua vizuri Uisilamu Uisilamu una Madhehebu kadhaa na yote hayasikilizani yanachinjana usiku na mchana kama Khoja wanachinjwa Ismailia wanachinjwa Ahmadiya wanachinjwa Kadiani wanachinjwa Shia wanachinjwa Sunni wanachinjwa na Shia.
Hitilafu za Kidini zinaamuliwa kwa kuchinjana ndani ya Uisilamu.
Ushauri wangu mimi Agnostic ni kwamba kuna haja ya kufanya Reforms kwenye Vitabu na Hadithi ili Uisilamu uweze kwenda mbele.
Uisilamu umekwama kwenye karne ya kumi.
Ukipata muda Leo nenda kaangalie vipindi vya WW II kwa nini nchi inashindwa vita au inakubali concession.
Hali aliyopo Ukraine ndio hali aliyokuwa nayo USSR vita ya pili ya Dunia na Huyu Huyu USA ambaye pro-Russia mnasema na kumazabaza ndio alimuokoa USSR kwa njia ya mpango wa land lease, dhidi ya kidume hitler
Vita Ina hatua tofauti tofauti, kuna hatua offensive, defensive na stalemate, vita ya Ukraine iko kwenye hii ya Tatu stalemate, Hapa sasa misuli ya uchumi na uzalishaji ndani ya nchi ndio itaamua uelekeo wa vita.
Sababu inayofanya Dunia nzima isipigane na Marekani ni 1. Economy power, 2. Production capacity
Badala ya kujibu Hoja yangu wewe unaleta ushabiki wa Kidini.Umekwama wewe mzee.Uislam ndio dini inayokua kwa kasi zaidi duniani.Fanya utafiti urudi na data za kutuonyesha uislam ukiporomoka.
Uko sawa kabisa comred,ndio maana siku haipiti bila kuwaletea updates za front line hasa kuhusu Jinsi warusi wanavyochinjwa..,kwa mfano hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱Punguzeni wenge,tunataka updates za Vita.Mambo yenu ya ushoga vs udini fungueni thread yenu.
Tulionya mapema, uzi umeharibiwa kwa kuingiza udini.Manatuharibia uzi na habari zenu za isis, si mfungue Uzi mpya kuwazungumzia
Dunia tuko zaidi ya billion 8,Hao waislamu ni wangapi kati Hao b.8? Je,wana uwezo wa kuchinja Hao bil.8?Hivyo wanavyofanya ISIS ndio mafundisho ya Kiislamu inavyotakiwa.
Kuna mafundisho yanayosema Mushrikeen na Makafiri wasioamini wasakwe popote pale kisha Wauwawe.