Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ISIS imeua Waandishi wa Habari kwa kuwachinja kule Syria mara kadha ISIS inaua kila Mtu kasoro ISIS wenzao wanaofuata Madhehebu ya Kisalafi na Kiwahabi.
Hii ni version ya west kwamba Isis wanaua wote kasoro wahhabi, ila Isis Syria wanatibiwa Israel hii ni fact kuna picha na video kabisa Netanyahu akiwa tembelea Hospitali. N viongozi wa zamani wa Isis wanapewa position na Usa. Juzi tu hapa kuna controvesy kiongozi wa zamani wa Isis kateuliwa na Usa kuwa kiongozi wa waasi Syria

Kuna Viongozi wengi wa isis ambao wamedakwa kwenye Conflicts ni agent wa MOSSAD. Hii ni open secret kwamba Isis ni west.
 
Kwani umeme haujarudi bado?
Kharkiv/ kharkov
Screenshot_20240326-175806_Chrome.jpg
 
Alieokoa watu kwenye hio concert ni muisilamu, wanajeshi walio track na ku kamata ni waisilamu pia.
Kwa HIYO NI MBUZI WA BWANA HERI NA SHAMBA LA BWANA HERI? NI KAMA MBWA WAKIJA SHAMBULIA BINADAMU WAFUGAJI WA MBWA NA MBWA MWINGINE AKATUMIKA KUWADHIBITI HAO WENGINE? NDO UNATAKA KUSEMA HIVYO? ASTAGHAFILULAH SHEKHE MSWALIE MTUME.
 
Kuna Viongozi wengi wa isis ambao wamedakwa kwenye Conflicts ni agent wa MOSSAD. Hii ni open secret kwamba Isis ni west.
Kuwa Agents wa Intelligence fulani mbona huwa ni kawaida tu Israeli inajua haya magrupu lengo lao ni kuivamia Israel ni muhimu kujua nyendo zao.
 
USA anaihurumia Ukraine iliyovamiwa kwa kuwapa silaha ili watetee nchi yao.

USA ana macho makubwa yanayoona mbali ndio maana aliwapa Warusi taarifa ila walizipuuza.

Hata mwanzo aliwapa Ukraine taarifa watavamiwa na Urusi japo Putin alikanusha ila baadae alivamia kweli
Hayo macho makubwa mbona haya kuweza kuona Hamas akipanga shambulizi dhidi ya Israel?

Au hiyo huruma anaye ionea Ukraine na kuipa silaha za kujitetea mbona hajaionea kwa wapalestina na kuiamuru Israel iache kuuwa wapalestina na ijiondoe kwenye ardhi za wapalestina ili mgogoro uishe?

Alafu lini Marekani akaitakia mema Urusi ambayo anaota akitamani isambaratike?
 
USA anaihurumia Ukraine iliyovamiwa kwa kuwapa silaha ili watetee nchi yao.

USA ana macho makubwa yanayoona mbali ndio maana aliwapa Warusi taarifa ila walizipuuza.

Hata mwanzo aliwapa Ukraine taarifa watavamiwa na Urusi japo Putin alikanusha ila baadae alivamia kweli

Kama USA anaihurumia Ukraine Kwa sababu ya kuvamiwa na Urusi kwa kuipa silaha ili Ukraine iipige Urusi basi angeacha TU magaidi waipige Urusi ili kuivuruga kabisa kisha Ukraine iishinde Urusi kirahisi.

Hebu ona maajabu ya Dunia,yaani USA inajitia kuitahadharisha Urusi kua itapigwa na magaidi kwamba sijui inaijali sana au inaionea huruma!
Lakini wakati huohuo inaipa Ukraine silaha za maangamizi ili iipige Urusi.
Mfano depleted uranium, cluster bombs,tech ya droni za kuweza kufika ndani kabisa ya Urusi na hata silaha za sumu ambazo matokeo yake ni kama shambuliIzi la kigaidi TU.

Hayo macho makubwa ya USA yanaonaga TU pale magaidi wanapotakaga kupiga Urusi TU.

Je kwa Nini macho makubwa ya USA hayakuona mipango ya magaidi siku Chache nyuma kabla ya:-

shambuliIzi la kigaidi lililolipiga meli ya kivita ya USA nchini Yemen?

Shambulio la kigaidi lililofanyika siku moja kwenye balozi mbili tofauti za USA mjini Dar es salaam na Nairobi?

Shambulio la kigaidi lilioua wamarekani wengi zaidi tokea Dunia hii kuumbwa la September 11,ambalo liliidhalilisha sana intelijensia ya USA kwani lilipiga sehemu muhimu sana hapa chini ya jua,yaani pentagon na hata WTC.
Magaidi kwa kujiamini kabisa waliteka ndege tano ndani ya eneo la USA na kuzibamiza kwenye Kuta za majengo ya Marekani Kuta mojawapo ikiwa ni makao makuu ya jeshi la USA na nyingine katika jengo lefu kuliko yote hapa duniani kwa wakati huo.

Macho ya Marekani yalishindwa kuona siku Chache kabla mipango ya magaidi 😂 ya kulipua Nord stream II ili kuzipa taarifa mapema nchi wadau wa mradi huo Urusi,German na EU,
Au hata macho ya USA imeshindwa hata kuwatambua TU magaidi 😂 waliolipua mradi huo?
Macho Gani hayo yanyoona Urusi TU.

Macho ya USA yalishindwa hata kuwaona Hamas siku Chache kabla ya uvamizi wao dhidi ya Israel ili kuwapa taarifa waisrael ili wasiuliwe na Hamas?

Taarifa za Urusi kuivamia Ukraine zilikua wazi kabisa,kwani Urusi ilihangaika sana kwenda USA ,EU, NATO kuziomba zisiiingize Ukraine ndani ya NATO,ikiziomba Ukraine iwe nyutro lkn wote walikataa,Urusi ikaonya isiposikilizwa itatumia nguvu.hivyo Dunia ilijua Urusi itatumia nguvu,ndipo USA ikaionya Urusi kua ikitumika nguvu isahau mradi wa Nord stream II.

Hata hivyo hakuna sheria inayoitqka nchi yoyote kutoa taarifa ikitaka kuipiga nchi nyingine ndio maana Hali hiyo inaitwa uvamizi.hivyo Urusi haikua na haja ya kutoa taarifa kwa nchi yoyote au chama chochote.
 
Verify hii habari yako.
Hapa kuna video ikionesha Macomando wa Israel wakiokoa Islamist Syria

Hapa Kiongozi wa zamani wa MOSSAD akihojiwa kukiri kuwatibu Al nusra

View: https://m.youtube.com/watch?v=vweHtxqnh-Y

Al Nusra ni walikua chini ya kiongozi wa Isis baadae wakajiunga Al Qaeda.

Hapa Netanyahu akiwa tembelea.

View: https://m.youtube.com/watch?v=5doeBEyjVDg

Hii text based source toka Jerusalem post ikikubali.

Hapa kuna video ikionesha Macomando wa Israel wakiokoa Islamist Syria
Free Syria Army ilikuwa inasapotiwa na Israel na US na baadhi ya Western Democracies lengo lilikuwa ni kuundoa utawala wa Kidikteta wa Assad

Ila kusema walisapoti ISIS huku wakijua kuwa ni ISIS hilo halina ukweli.
 
Bro sio free Syria Army ni Al nusrat, nimekuekea link ya maneno na video toka kinywa cha mkuu Wa Mossad mwenyewe, kama unabishana na mkuu Wa MOSSAD sawa.
 
Kama USA anaihurumia Ukraine Kwa sababu ya kuvamiwa na Urusi kwa kuipa silaha ili Ukraine iipige Urusi basi angeacha TU magaidi waipige Urusi ili kuivuruga kabisa kisha Ukraine iishinde Urusi kirahisi.
Tatizo magaidi wanapiga raia wema.

Hayo macho makubwa ya USA yanaonaga TU pale magaidi wanapotakaga kupiga Urusi TU.
Huwa yanaona maeneo mengi tu, sio Urusi pekee

shambuliIzi la kigaidi lililolipiga meli ya kivita ya USA nchini Yemen?

Shambulio la kigaidi lililofanyika siku moja kwenye balozi mbili tofauti za USA mjini Dar es salaam na Nairobi?

Shambulio la kigaidi lilioua wamarekani wengi zaidi tokea Dunia hii kuumbwa la September 11,ambalo liliidhalilisha sana intelijensia ya USA kwani lilipiga sehemu muhimu sana hapa chini ya jua,yaani pentagon na hata WTC.
Yalitokea makosa ya kutofanyia kazi taarifa za kiintelejensia kwa wakati ndio maana hao magaidi walifanikiwa kufanya hayo
Taarifa za Urusi kuivamia Ukraine zilikua wazi kabisa,kwani Urusi ilihangaika sana kwenda USA ,EU, NATO kuziomba zisiiingize Ukraine ndani ya NATO,ikiziomba Ukraine iwe nyutro lkn wote walikataa,Urusi ikaonya isiposikilizwa itatumia nguvu.hivyo Dunia ilijua Urusi itatumia nguvu,ndipo USA ikaionya Urusi kua ikitumika nguvu isahau mradi wa Nord stream II.
Hapana, mpaka dakika ya mwisho Putin alikanusha hana mpango wa kuivamia Ukraine ila Marekani alisisitiza uvamizi upo na hatimaye uvamizi ukafanyika
 
Al Nusra ni walikua chini ya kiongozi wa Isis baadae wakajiunga Al Qaeda.

Bro sio free Syria Army ni Al nusrat, nimekuekea link ya maneno na video toka kinywa cha mkuu Wa Mossad mwenyewe, kama unabishana na mkuu Wa MOSSAD sawa.
Nadhani huelewi dynamics baada ya US na Israel kuwasaidia Maadui wa Assad na kugundua kuwa vile ni vikundi vya Kigaidi alibadilisha msimamo na kuanza kuwapiga na kuwamaliza kama tujuavyo ISIS ni kama imekwisha Syria.

Ni kama illivyokuwa Afghanistan US aliwasaidia Mujahidiin baadae wakaja kuwa Taliban na Magaidi wa AL QAEDA walijificha huko na kuanza kushambulia US na Interest zake.

Lakini leo kusema ISIS Khorasan inasaidiwa na US sio sahihi ISIS khorasan wanataka kuanzisha Dola ya Kiislamu Khorasan ambayo Kijiografia ni eneo kubwa sana na US na Israel na Maadui zao Wakubwa sana.
 
Putin says 'Islamist radicals' carried out terror attack, but insists on Ukraine link​

In this pool photograph distributed by the Russian state agency Sputnik, Russia's President Vladimir Putin holds a meeting on measures taken after a massacre in the Crocus City Hall that killed more than 130 people, the deadliest attack in Europe to have been claimed by the Islamic State (IS) group, via a videoconference at the Novo-Ogaryovo state residence, outside Moscow, on March 25, 2024.'s President Vladimir Putin holds a meeting on measures taken after a massacre in the Crocus City Hall that killed more than 130 people, the deadliest attack in Europe to have been claimed by the Islamic State (IS) group, via a videoconference at the Novo-Ogaryovo state residence, outside Moscow, on March 25, 2024.

In this pool photograph distributed by the Russian state agency Sputnik, Russia's President Vladimir Putin holds a meeting on measures taken after a massacre in the Crocus City Hall that killed more than 130 people, the deadliest attack in Europe to have been claimed by the Islamic State (IS) group, via a videoconference at the Novo-Ogaryovo state residence, outside Moscow, on March 25, 2024.
Mikhail Metzel | Afp | Getty Images

Russian President Vladimir Putin conceded on Monday that the deadly terrorist attack in Moscow last Friday was carried out by "radical Islamists" but insisted that there was a link to Ukraine, without presenting evidence.

Putin told senior Kremlin officials Monday that an investigation into the attack on the Crocus City Hall concert venue, in which 139 people died when gunmen entered the building and shot indiscriminately, "must be carried out in the most professional manner, objectively, without any political bias."

The Islamic State group said it was behind the attack on Friday and published footage of it. Four men appeared in a Moscow court on Sunday night and were charged with terrorism offenses. Three more men were charged Monday.

Putin initially suggested the attack was linked to Ukraine, claiming that the suspects had fled toward the border and that "a window had been prepared for them on the Ukrainian side to cross the border." He did not present any evidence for the claim. Kyiv denies any involvement.

Read more​

Putin expected to use deadly Moscow attack to Russia's advantage, whoever's to blame
On Monday, Putin appeared to accept that the IS group was responsible for the attack but insisted that there was a link to Ukraine.

"We know that the crime was committed by radical Islamists, whose ideology the Islamic world itself has been fighting for centuries," Putin said, according to comments translated by NBC.
"But we also see that the United States, through various channels, is trying to convince its satellites and other countries of the world that, according to their intelligence data, there is supposedly no Kyiv trace in the Moscow terrorist attack, that the bloody terrorist attack was carried out by followers of Islam, members of the ISIS organization banned in Russia."

U.S. officials have dismissed any Ukrainian involvement in the attack, with White House spokesperson John Kirby telling reporters, "There was no linkage to Ukraine. ... This is just more Kremlin propaganda."
==========================

Putin anatapatapa.....

Richard Gagnija TUJITEGEMEE
lee Vladimir cleef
Mtu mwenye akili timamu anawezaje kusema putin anatapatapa?yaani raisi mwenye shirika bora duniani kuliko lote?
Screenshot_20240326-191111.jpg
 
Tatizo magaidi wanapiga raia wema.

Huwa yanaona maeneo mengi tu, sio Urusi pekee

Yalitokea makosa ya kutofanyia kazi taarifa za kiintelejensia kwa wakati ndio maana hao magaidi walifanikiwa kufanya hayo

Hapana, mpaka dakika ya mwisho Putin alikanusha hana mpango wa kuivamia Ukraine ila Marekani alisisitiza uvamizi upo na hatimaye uvamizi ukafanyika
Kwako wewe USA ni wanaweza Kila kitu,hawashindwi jambo na wala hawakosei kitu chochote.

Umekwepa kutolea maelezo macho ya USA kushindwa kuona
Uvamizi wa Hamas na kulipuliwa kwa Nord stream II.

Unajaribu kuitetea USA kua yalitokea makosa kutofanyia kazi taarifa za kiintelijensia juu ugaidi ulioipiga Marekani kwenyewe ,ndani ya mipaka yake na nje ya mipaka yake.
Makosa ya kutofanyia kazi taarifa za kiintelijensia ni lugha uliyoipooz, lkn lugha shihi ni udhaifu kwenye intelijensia ya USA . Hii maana yake ni kwamba USA ni sawa na nchi nyingine TU kua wao sio alpha wala sio omega.

Ikiwa ugaidi wa September 11, Yemen na Balozi za Dar na Nairobi walifanya uzembe kutozifanyia kazi taarifa za intelijensia,h ilikua ni miaka mingi.

Lakini suala la ugaidi kwa Urusi ni Jana TU wameweza kuona.
Je vilpi uvamizi wa Hamas kwa isarel na kulipuliwa kwa Nord stream II walifanya makosa ya kutofanyia kazi taarifa za intelijensia?

Je wanaosema kwamba USA ndio mmiliki wa kikundi Cha kigaidi Cha ISIS wataukua wamekosea?
 
Tuombe Mungu, kuna kitu kikubwa kinaendelea nyuma ya pazia! Kwa nini wanaendelea na msisitizo??

​

Britain, US and Ukraine possibly behind Moscow concert hall attack, Russia's FSB chief says​

Russia's FSB chief Alexander Bortnikov has suggested Britain, the US and Ukraine could have been behind the Moscow concert hall attack which killed more than 130 people on Friday.

According to our team in Russia, he was asked if the US, Britain and Ukraine were behind the attack and he said: "It's possible, I think so."

Kuna mbunge wa Uingereza (George Galloway) naye anasema US na UK wanahusika na shambulio hilo.
 
Nadhani huelewi dynamics baada ya US na Israel kuwasaidia Maadui wa Assad na kugundua kuwa vile ni vikundi vya Kigaidi alibadilisha msimamo na kuanza kuwapiga na kuwamaliza kama tujuavyo ISIS ni kama imekwisha Syria.

Ni kama illivyokuwa Afghanistan US aliwasaidia Mujahidiin baadae wakaja kuwa Taliban na Magaidi wa AL QAEDA walijificha huko na kuanza kushambulia US na Interest zake.

Lakini leo kusema ISIS Khorasan inasaidiwa na US sio sahihi ISIS khorasan wanataka kuanzisha Dola ya Kiislamu Khorasan ambayo Kijiografia ni eneo kubwa sana na US na Israel na Maadui zao Wakubwa sana.
Isis wameisha Syria ama wanasaidia Ukraine sasa hivi?
images (19).jpeg

Kituo Cha tv cha Denmark kilipokua ukraine kikirekodi wanajeshi wa Ukraine bila hicho kituo kujua kumbe walikua na magwanda yao ya Isis hawajayavua.

Na Afghanistan, kiongozi kabisa wa Al Qaeda Deputy wa Osama Ayman al zawahir alikua kafungwa Egpty Usa waka wa pressure Egpty wamuachie aende Afghanistan,

Mkuu Mimi muisilamu naifahamu dini yangu vizuri tu, unamdanganya mtu asiefahamu dini kwamba Isis wanataka dola ya kiisilamu ila matendo yao yanajulikana na sio ya kiisilamu na sidhani kama kuna muisilamu yoyote anayeamini hayo hali ya kuwa anajua dini yake.

Isis wapo pale kulinda interest za west, kuna ushahidi kibao kuanzia wanapopata silaha, kuna mwandishi wa Bulgaria alipeleka hii report bunge la. Ulaya ka spy kuanzia silaha zinatengenezwa nani ananunua zinapitia wapi hadi kufika Syria

Its open Secret.
 
Mkuu Mimi muisilamu naifahamu dini yangu vizuri tu, unamdanganya mtu asiefahamu dini kwamba Isis wanataka dola ya kiisilamu ila matendo yao yanajulikana na sio ya kiisilamu na sidhani kama kuna muisilamu yoyote anayeamini hayo hali ya kuwa anajua dini yake.
Wewe nina imani kuwa ni Mwafrika mwenzangu sidhani kama unaujua vizuri Uisilamu Uisilamu una Madhehebu kadhaa na yote hayasikilizani yanachinjana usiku na mchana kama Khoja wanachinjwa Ismailia wanachinjwa Ahmadiya wanachinjwa Kadiani wanachinjwa Shia wanachinjwa Sunni wanachinjwa na Shia.

Hitilafu za Kidini zinaamuliwa kwa kuchinjana ndani ya Uisilamu.

Ushauri wangu mimi Agnostic ni kwamba kuna haja ya kufanya Reforms kwenye Vitabu na Hadithi ili Uisilamu uweze kwenda mbele.

Uisilamu umekwama kwenye karne ya kumi.
 
Back
Top Bottom