Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
USA anaihurumia Ukraine iliyovamiwa kwa kuwapa silaha ili watetee nchi yao.Pia kinachonifurahisha sana ni kuona USA ilihurumia Urusi kua itapigwa na magaidi,lakini haiihurumii kwa kupeleka silaha Kwa Ukraine ili kuipiga Urusi.
USA ana macho makubwa yanayoona mbali ndio maana aliwapa Warusi taarifa ila walizipuuza.Kinachonifurahisha ugaidi unaotaka kufanyika Urusi USA hua wa kwanza kujua na kujitia kutoa taarifa.
Lakini sijui intelijensia ya USA ililua wapi wakati Hamas wanataka kushambulia kwa mtoto mpendwa Israel.
Hata mwanzo aliwapa Ukraine taarifa watavamiwa na Urusi japo Putin alikanusha ila baadae alivamia kweli