Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Nakuona Nyani wa ughaibuni ujizima data.Russia is broke!
Vijiboti vyake karibu vyote vimeangamizwa na Ukraine.
Mpaka usemeee!!sasa huyo Mrusi
Karibu sana kwenye uzi huu uliokimbiwq na aliyeuanzisha. Ha h haaaa!!!Russia
Russia anashughulika na wanaowatumq militia wa Kiev. Ndiyo maana, uongozi wa baadhi ya nchi za Magharibi umepata misukosuko.
==
Unadhani:
1. Boris Johnson alitaka kuondoka pale Ofisi na 10 pale Uingereza ?
2.Mario Draghi alifurahi kuachiwa uwaziri Mkuu wa Italy 2022, October?
3.Christine Lambrecht unadhani alipenda kuachiwa uwaziri Mkuu wa ulinzi wa shirikisho la Ujerumani, 2023 January?
4.Mateusz Morawiecki wa Poland alikosa kura za kutokuwa na imani naye na kisha kutimuliwa 2023 December kwa furaha?
5. Anthony Michael Gerard Rota alibubujikwa na machozi ya furaha kwa kujiuzulu uspika wa wa Bunge la Canada 2023 September 27?
Mitikisiko ipo mingi EU na Magharibi kwa ujumla kutokana na shughuli ya kuwashughulikia kwa mbinu ya "assimetry" kwa watumao militia wa Kiev!!!
===
NATO wanaendelea kupata kipondo na wengine kukimbia uwanja wa mapambano huko Mashariki mwa Ukraine.
Mpaka usemeee!!
====
Russian "Joker" FPV drones have forced a company of the Ukrainian fighters to surrender, Dmitry Kuzyakin, general director of the Center for Integrated Unmanned Solutions developer.
"Probably no one will be able to repeat this 'record.' It was not a Bradley, Humvee, or even Leopard 2, but 60 soldiers of the Ukrainian Armed Forces who had to surrender after seeing with their own eyes what mass use of FPV drones means... That is, one small drone 'captured' an entire company of Ukrainian forces," he said when asked about the most important target the Jokers hit on the battlefield.
Russian 'Joker' Drones Force Company of Ukrainian Troops to Surrender
5 hours ago
Kuzyakin explained that currently, the Ukrainian military is in a classic line of defense, expecting "conventional warfare."
"Our fighters, whom we trained and equipped, instead of starting to 'play by the rules,' didn't engage into battle, but let FPV operators come into play, which immediately 'unraveled' the second line of Ukrainian defense. Ukrainian soldiers on the front line realized that resistance was simply pointless. Their mass surrender is the main trophy in the work of our Center [for Integrated Unmanned Solutions]," the developer said.
The bureau provides a full cycle of FPV system combat applications: it produces drones, trains operators how to fly them, and how to use them effectively.
Military
Huu umbumbumbu ni wankiwango Cha lami.Unateseka sana na hizi copy pasting zako, Ukraine wananipa raha sana, yaani miarabu yote imejaribu kuisaidia Urusi lakini wapi.....
Huu umbumbumbu ni wankiwango Cha lami.
Uko sawa lkn katika vita hii hli Iko tofauti na usemavyo.Kila upande ukiamua kuleta taarifa zinazofurahisha na kuegemea upande wake tu, hakuleti objectivity machoni pa msomaji asie na upande, bali kunaleta confusion.
Mtoa taarifa ni sehemu ya taarifa anayoitoa. Ndio maana kuna utofauti kati ya analyst na propagandist. Huyo wa kwanza anatafiti kisha ndipo anatoa taarifa au maoni yake akiwa open-minded. Huyo wa pili yake hahitaji huo mchakato.
Kila upande ukileta taarifa sahihi kutoka pande zote bila kuegemea upande wenye maslahi kwake tu, kunasaidia kujenga uaminifu (credibility) machoni pa msomaji asiyefungamana na upande mmoja. Pia kunachochea mijadala ambayo ni objective, hivyo msomaji anafaidika zaidi.
Mimi ni pro-Facts. Haya ni maoni yangu kutokana na utafiti wangu mdogo nilioufanya hadi sasa.
Ha ha haa,Ah vyovyote but warusi wanazidi kukimbiza ardhi ya wehu inazidi kuitwa RF
Man come down. Unafikiri russia wangeamua kufanya kama israel wanavyofanya kule gaza huyo zeleskky angekuwa bado yupo pale. Yaani russo wanaendesha hili kwa upole wa kiwango cha juu sana.Hizi copy pasting ndugu hazisaidii kitu, no one even bothers to read them, mpaka sasa huyo Mrusi alipaswa awe amepachika uongozi wake Kyiv, imeshindikana, ametumia mpaka hypersonic missiles ila wapi.
Pole sana, Lakini vumilia, maana hakuna namna Nazis na wale wanaowatuma lazima wapate kichapo....nateseka sana na hizi copy pasting zako
Ila kule RT TV Mrusi akipigwa anaonesha habari kama ilivyo.Uko sawa lkn katika vita hii hli Iko tofauti na usemavyo.
Hata huko kwao wenyewe Ukraine a NATO wanaripoti habari zile nzuri kwao TU,halikadharika na Urusi wanaripoti habari nzuri TU kwao.
Ila tuonbe Mungu vita viishe TU.
Katika Uzi huu mtu hawezi kua nyutro ndugu yangu.Haya ni maoni yangu pia.
Lazima kavimbe kwa kichapo kanachopokea. Au namna gani ? Ha ha haaa!Ukraine kamevimba
Man come down. Unafikiri russia wangeamua kufanya kama israel wanavyofanya kule gaza huyo zeleskky angekuwa bado yupo pale. Yaani russo wanaendesha hili kwa upole wa kiwango cha juu sana.
Pole sana, Lakini vumilia, maana hakuna namna Nazis na wale wanaowatuma lazima wapate kichapo.
Lazima kavimbe kwa kichapo kanachopokea. Au namna gani ? Ha ha haaa!
[emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi ndo kakwama au Marekani na Nato ndo wamekwama maana wametoa silaha nyingi na wanajeshi kwenye ardhi ya Ukraine ila mwisho wa siku hakuna jipya.Mimi napata raha hadi naumwa kuona Mrusi wenu keshakwama, aliangukia pua Kwa ukraine....