Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BREAKING:

Another Russian suicide drone has struck Romanian territory.

Romania has announced that they have found the debris of a Russian suicide drone near Braila.

It’s the 5th Russian suicide drone to strike Romania since the war started.

Romania is a NATO member state! 🇷🇴

View attachment 2948356
Rejea kauli ya Putin
Urusi haina haja ya kuanzisha vita na NATO , ndege za F16 zikiletwa wataziangamiza Kama silaha nyingine Ila zikiruka toka nchi nyingine zitakuwa legitimate target.
Romania amekuwa na kiherehere hizo ni rasharasha kumwonya kuwa atulie Russia akiamua hakuna kitakachomzuia Wala NATO hawatafanya kitu.
 
BREAKING:
ITALIAN FIGHTER JETS INTERCEPT RUSSIAN AIRCRAFT

The jets, stationed in Poland, were scrambled after a NATO command center detected unidentified aircraft over the Baltic Sea.

After identifying them as Russian, the Italian F-2000 jets returned to base.

Source: ANSA
 
Naam, ni zaidi ya mia nane walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱
1711720397922.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Crypto exchanges began to cooperate with the investigation into the terrorist attack at Crocus City Hall after the arrival of the security forces

- The FSB today conducted searches in Moscow City at the office of crypto exchangers. It was probably through them that foreign curators transferred money to terrorists.

At the end of the investigative actions, machinery and equipment were seized from the office of the Beribit crypto exchange. Crypto exchanges, amid investigative measures, assured that user data and funds are safe. In doing so, they assist law enforcement agencies.

📝 “We want to assure all our customers and partners that our users’ funds and data are completely secure, and during the audit we did not find any violations or grounds for sanctions against our platform,” Beribit representatives said.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi ndo kakwama au Marekani na Nato ndo wamekwama maana wametoa silaha nyingi na wanajeshi kwenye ardhi ya Ukraine ila mwisho wa siku hakuna jipya.

Urusi aliyetegemewa sana na maustadhi amekwama kashindwa kufumua hako kainchi, ameinia hasara hadi raha....
 
no one even bothers to read them ....But, apparently you have read them

Huwa sizisomi, I simply click reply button after reading the first sentence to derive the context, wavaa makobaz hata uandike vitabu humu, akili zenu mumeshikiliwa.....
 
Kila upande ukiamua kuleta taarifa zinazofurahisha na kuegemea upande wake tu, hakuleti objectivity machoni pa msomaji asie na upande, bali kunaleta confusion.

Mtoa taarifa ni sehemu ya taarifa anayoitoa. Ndio maana kuna utofauti kati ya analyst na propagandist. Huyo wa kwanza anatafiti kisha ndipo anatoa taarifa au maoni yake akiwa open-minded. Huyo wa pili yake hahitaji huo mchakato.

Kila upande ukileta taarifa sahihi kutoka pande zote bila kuegemea upande wenye maslahi kwake tu, kunasaidia kujenga uaminifu (credibility) machoni pa msomaji asiyefungamana na upande mmoja. Pia kunachochea mijadala ambayo ni objective, hivyo msomaji anafaidika zaidi.

Mimi ni pro-Facts. Haya ni maoni yangu kutokana na utafiti wangu mdogo nilioufanya hadi sasa.
We Ni pro-NATO, ila kwenye hili nakupongeza, napenda wachangiaji humu wangekuwa objective, ingelikuwa vyema kabisa.
 
Urusi aliyetegemewa sana na maustadhi amekwama kashindwa kufumua hako kainchi, ameinia hasara hadi raha....
Yani mtu yupo kwako kachukua ardhi alafu unamwambia eti kama wewe mwanaume kweli basi chukua yote[emoji23][emoji23][emoji23].

Muungano uliotengenezwa kati ya Nato, Marekani, Ukraine na washirika wengine ulikuwa kwa ajili ya kumtoa Urusi kwenye ardhi ya Ukraine ila cha ajabu ardhi inazidi kuondoka tu. Jana Zelensk kasema kuwa kama Warusi watarudi kwenye mipaka ya Misk basi yupo tayari kufanya mazungumzo wakati mwanzo alisema warudi kwenye mipaka ya 1991 maana yake kashaona kuna dalili ya kuendelea kupoteza zaidi na kushindwa Vita.

Pale Ukraine hakuna Silaha ya Nato na Marekani ambayo haijatumiwa.mataifa zaidi ya 50 yameungana kwa ajili ya kumsaidia Ukraine ila mwanaume yupo yake anaupiga mwingi.niambie ni Nchi gani ikivaa viatu vya Warusi wanaweza kutoboa?
 
Hehehe mnachekesha sana maustadhi, huyo Urusi ameshindwa kufumua kainchi kadogo licha ya kuingia hasara inayoweza kuifuta Afrika...
Hebu ona ameshindwa hata kuwatetea kule mnakopigwa na Israel Urusi yaambulia kulalamika tu kuhusu kipigo kilichofanywa na Israel pale Syria
 
Back
Top Bottom