BUNDUKI KUBWA
Member
- Feb 11, 2024
- 89
- 269
BBC saiv wametuliza makalio about Russia go ahead king of world
Yet same nation inalazimika ku source artilery shells kutoka mataifa kama South KoreaSababu inayofanya Dunia nzima isipigane na Marekani ni 1. Economy power, 2. Production capacity
America is highly overrated.Yet same nation inalazimika ku source artilery shells kutoka mataifa kama South Korea
Ngoja tupate maoni kutoka kipanyaWenye akili wanaona mbele,hakuna kitu kibaya kama nchi kukosa bandari.
Safari moja huanzisha nyingineSasa Kwa nini majeshi ya urusi yasitimbe pale Kyiv!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dah!Mayor wa Kiev amesema URUSI ipo njiani kuelekea Kiev
Mataifa mbalimbali ikiwemo Uturuki wameanza kuwasihi raia wake waondoke Kiev na Odessa maana hali ya usalama imezorota katika miji hiyo kutokana na mashambulizi ya Urusi.Mayor wa Kiev amesema URUSI ipo njiani kuelekea Kiev
Berlin tena??URUSI imeita wanajeshi 150,000 kwenye vita kufikia July! Jamaa anaenda mpaka Berlin dadeq🤣🤣
View attachment 2950141
Haendi huko!Berlin tena??
Wana kosa gani Berlin??
Mwenyezi Mungu tuurumie na kuepusha mabaya dhidi ya Taifa langu Tanzania.Mzee Putin karudishwa ofsini usiku huu sijui Kuna nini , kesho kaeni chonjo Kuna jambo kubwa linatarajiwa
View attachment 2950423
A number of telegram channels reported that on Sunday at 22.45 Putin urgently arrived in the Kremlin
Walitoa Leonard TanksBerlin tena??
Wana kosa gani Berlin??