D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Itatangazwa kuwa nchi inayofadhili ugaidi.Hivi Ukraine wasipomkabidhi mkuu wao wa ujasusi Kwa URUSI,nini kitatoke wakuu?
Ukraine hawezi kuwakabidhi viongozi wake kwa urusi, kufanya hivyo ni sawa na kukiri kosa ambalo wanasisitiza hawajalifanya na hata urusi anafahamu ukraine hatochukua uamuzi huo.
operesheni inakwenda kwenye mapambano ya ugaidi na unazi, hapo anatafutwa mwengine atakayeingia kwenye mfumo wa kuunga mkono na kuwatetea magaidi.
Kwa mawazo yangu,