100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
NATO ni nchi 32, lakini wenye nguvu hapo ni UK, US, Canada, France, Germany, Italy, Spain na Turkey.Yani NATO ipigane na Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi unaijua vizuri Urusi au unasikiliza tu habari za west.
Kuna wajinga wachache humu wanadanganywa makanisani kwao kuwa Vatican ndiye anachochea mgogoro huu.Papa wa Vatican aliiambia Ukraine ipeperushe bendera nyeupe ili suluhu ipatikane.
Hapa niruhusu niedit list yako kwa kuongeza baadhi ya Majina ya watu ambao binafs nawaona bora waliopo wizara ya mambo nje kwe mataifa yao nje ya mipaka ya TZwananivutia sana hao watu watano pindi wanapofumbua midomo yao kwa dhumuni la kuzungumza
- Sergei Lavrov - Russia
- Wang Yi - China
- S. Jaishankar - India
- Grace Naledi Pandor - South Africa
- Péter Szijjártó - Hungary
Peter wa Hungary bado kijana mdogo ndio ajifunza zaidi global affairs na alikuwa chini ya Victor Orban akijifunza kazi.Hapa niruhusu niedit list yako kwa kuongeza baadhi ya Majina ya watu ambao binafs nawaona bora waliopo wizara ya mambo nje kwe mataifa yao nje ya mipaka ya TZ
1. Russia
• Sergey Lavrov (Minister)
• Maria Zakharova (Spokesperson)
2. India
• Subrahmanyam Jaishankar (Minister)
3. Iran
• Hossein Amir-Abdollahian (Minister)
4. China
• Wang Yi (Minister)
• Zhao Lijian (Spokesperson)
• Hua Chinying (Spokesperson)
• Wang Wenbin (Spokerperson)
Hapa kwa China Spokespersons karib wote nimewataja, kiukweli wanajua na wakiwa wanazungumza unaeza feel as anaezungumza ni Waziri mwenyewe.
5. South Africa
• Grace Naledi Pandor (Minister)
Huyu Mama nahisi ndio best FM kwa Africa.
6. Europe
Wa Hungary naachana nae kwenye list, binafsi namuona yupo kama wenzie walio wengi, akiamka vizuri anaenda mbele hatua 3 jua likizama anarudi nyuma hatua mbili.
Upande wa Europe kuna hawa wawili kutoka Ireland ingawa sio mawaziri wala wasemaji wa wizara ya mambo ya nje kwenye nchi yao.
• Mick Wallace
• Clare Daly
Ni Just MEPs, ila wakiwa wanazungumzia Global affairs ndani ya bunge la EU, Unasema yes kuna watu wamezungumza. Hawana ile leo nyeupe kesho nyeusi keshokutwa njano. A inabaki kua A na C yao ya juzi inaendelea kua C ya leo. Kwa kifupi hawana unafiki katika kile wanachoamini na kukisimamia.
Kuna wapumbavu wengine hudhani Vatikani hayumo katikati kabisa mwa mgogoro huu wa Ukreni vs Urusi.Kuna wajinga wachache humu wanadanganywa makanisani kwao kuwa Vatican ndiye anachochea mgogoro huu.
Yaani Russia itaweza kupigana na akina Rambo,Van Damme,Jack Bauer,Nikita, na wababe wengine wa Hollywood!?Yani NATO ipigane na Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi unaijua vizuri Urusi au unasikiliza tu habari za west.
Namheshimu zaidi mbunge wa Rochdale, George Galloway.Upande wa Europe kuna hawa wawili kutoka Ireland ingawa sio mawaziri wala wasemaji wa wizara ya mambo ya nje kwenye nchi yao.
• Mick Wallace
• Clare Daly
Ni Just MEPs, ila wakiwa wanazungumzia Global affairs ndani ya bunge la EU, Unasema yes kuna watu wamezungumza.
Ushahidi wa uhusika wa nchi za NATO uko wazi, unajulikana.Kuna wapumbavu wengine hudhani Vatikani hayumo katikati kabisa mwa mgogoro huu wa Ukreni vs Urusi.
Whaaaaaaat!!!!!
Hopeless argument ever.Kuna wapumbavu wengine hudhani Vatikani hayumo katikati kabisa mwa mgogoro huu wa Ukreni vs Urusi.
KTY, Mvatikano ni kivange (notorious) wa kuanzisha tafrani kubwa na ndogo duniani kupitia mahimla (minions) wake huku yeye mwenyewe akijificha nyuma ya pazia na ndani ya vazi la dini.
Ni nadra sana kama mvua ya mawe jangwani kumkosa Mvatikano kwenye mgogoro wowote ugusao maslahi ya umma wa watu.