100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
We utakuwa umelewa.. sielewi hata unachozungumza ni kitu kipi?Sioni tunachobishania ikiwa unaamini . Ukauli ya Zelensky kuwa wanajeshi wa Ukraine wamekufa 31,000.
Ikiwa Bakhmut ilikombolewa mikononi na Warusi na bado alibisha baadae alisema ipo moyoni mwako.
Unawaamini majenerali wa west waliosema kuwa Urusi itaishiwa siraha na wanajeshi wao wanatumia Shovel(Machepe) kupigana?
Usisahau walisema wametungua Khinzal na hypersonic missiles za kirusi?
Karibu jamii forum Sasa.
ID yangu tu inakuonyesha mimi ndiye napaswa kukukaribisha JF.
Nimeshakuambia hii vita Ukraine kashindwa jeshi la Moscow linakwenda kwa kasi,
Nimeshakuambia Chasiv Yar ikichukuliwa ujue na Kyiv itachukuliwa tu, sasa unachobisha hapo ni kitu kipi?