LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sioni tunachobishania ikiwa unaamini . Ukauli ya Zelensky kuwa wanajeshi wa Ukraine wamekufa 31,000.

Ikiwa Bakhmut ilikombolewa mikononi na Warusi na bado alibisha baadae alisema ipo moyoni mwako.

Unawaamini majenerali wa west waliosema kuwa Urusi itaishiwa siraha na wanajeshi wao wanatumia Shovel(Machepe) kupigana?
Usisahau walisema wametungua Khinzal na hypersonic missiles za kirusi?
Karibu jamii forum Sasa.
We utakuwa umelewa.. sielewi hata unachozungumza ni kitu kipi?
ID yangu tu inakuonyesha mimi ndiye napaswa kukukaribisha JF.

Nimeshakuambia hii vita Ukraine kashindwa jeshi la Moscow linakwenda kwa kasi,

Nimeshakuambia Chasiv Yar ikichukuliwa ujue na Kyiv itachukuliwa tu, sasa unachobisha hapo ni kitu kipi?
 
Yani NATO ipigane na Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ivi unaijua vizuri Urusi au unasikiliza tu habari za west.
NATO ni nchi 32, lakini wenye nguvu hapo ni UK, US, Canada, France, Germany, Italy, Spain na Turkey.

Germany, Italy, Spain na Turkey hawa sina imani nao kama wanaitaka hii vita japo wanapeleka silaha.

UK, France na US ndio wapo mbele hawa wengine naona wameminya alama ya reli(#).

Kama Germany kwenye nishati anamtegemea Russia kwa asilimia kubwa.

Kuna mifungamano itakayopelekea baadhi ya nchi za NATO kutokubali kuingia mazima kupambana na Russia.
Mifungamano hii inaonekana kuwa na manufaa na faida kuliko vita na Russia.

Wenye mdomo hapo ni France, UK na US na Russia anapiga mkwara mara kwa mara atatumia nuclear endapo wakijichanganya.
Hii vita Ukraine ni mbuzi wa kafara.
 
  1. Sergei Lavrov - Russia
  2. Wang Yi - China
  3. S. Jaishankar - India
  4. Grace Naledi Pandor - South Africa
  5. Péter Szijjártó - Hungary
wananivutia sana hao watu watano pindi wanapofumbua midomo yao kwa dhumuni la kuzungumza
Hapa niruhusu niedit list yako kwa kuongeza baadhi ya Majina ya watu ambao binafs nawaona bora waliopo wizara ya mambo nje kwe mataifa yao nje ya mipaka ya TZ

1. Russia
• Sergey Lavrov (Minister)
• Maria Zakharova (Spokesperson)

2. India
• Subrahmanyam Jaishankar (Minister)

3. Iran
• Hossein Amir-Abdollahian (Minister)

4. China
• Wang Yi (Minister)
• Zhao Lijian (Spokesperson)
• Hua Chinying (Spokesperson)
• Wang Wenbin (Spokerperson)

Hapa kwa China Spokespersons karib wote nimewataja, kiukweli wanajua na wakiwa wanazungumza unaeza feel as anaezungumza ni Waziri mwenyewe.

5. South Africa
• Grace Naledi Pandor (Minister)

Huyu Mama nahisi ndio best FM kwa Africa.

6. Europe
Wa Hungary naachana nae kwenye list, binafsi namuona yupo kama wenzie walio wengi, akiamka vizuri anaenda mbele hatua 3 jua likizama anarudi nyuma hatua mbili.

Upande wa Europe kuna hawa wawili kutoka Ireland ingawa sio mawaziri wala wasemaji wa wizara ya mambo ya nje kwenye nchi yao.

• Mick Wallace
• Clare Daly

Ni Just MEPs, ila wakiwa wanazungumzia Global affairs ndani ya bunge la EU, Unasema yes kuna watu wamezungumza. Hawana ile leo nyeupe kesho nyeusi keshokutwa njano. A inabaki kua A na C yao ya juzi inaendelea kua C ya leo. Kwa kifupi hawana unafiki katika kile wanachoamini na kukisimamia.
 
Peter wa Hungary bado kijana mdogo ndio ajifunza zaidi global affairs na alikuwa chini ya Victor Orban akijifunza kazi.

Ila haungi mkono vita ya Ukraine.
 
Kuna wajinga wachache humu wanadanganywa makanisani kwao kuwa Vatican ndiye anachochea mgogoro huu.
Kuna wapumbavu wengine hudhani Vatikani hayumo katikati kabisa mwa mgogoro huu wa Ukreni vs Urusi.

KTY, Mvatikano ni kivange (notorious) wa kuzua tafrani kubwa na ndogo duniani kupitia mahimla (minions) wake huku yeye mwenyewe akijificha nyuma ya pazia na ndani ya vazi la dini.

Ni nadra sana kama mvua ya mawe jangwani kumkosa Mvatikano kwenye skendo yoyote igusayo maslahi ya umma wa watu.
 
Upande wa Europe kuna hawa wawili kutoka Ireland ingawa sio mawaziri wala wasemaji wa wizara ya mambo ya nje kwenye nchi yao.

• Mick Wallace
• Clare Daly

Ni Just MEPs, ila wakiwa wanazungumzia Global affairs ndani ya bunge la EU, Unasema yes kuna watu wamezungumza.
Namheshimu zaidi mbunge wa Rochdale, George Galloway.

Mwaka 2005 aliitwa na kamati ya Senate US akituhumiwa kujinufaisha na mpango wa UN wa mafuta kwa chakula nchini Iraq. Baada ya mahojiano waliomwita walijutia uamuzi wao kwa jinsi alivyowaumbua.

Alifukuzwa uanachama chama cha Labour kutokana na misimamo yake, hasa kupinga vita ya Iraq, lakini alishinda ubunge tena kupitia chama alichoanzisha cha Respect.

Mwezi wa Februari mwaka huu ameshinda kwa kishindo ubunge wa Rochdale katika uchaguzi mdogo, akigombea kupitia chama cha Workers party alichoanzisha. Kwa aibu, Rish Sunak alisema ushindi huo wa kishindo ulitokana na wingi wa wapigakura waislamu katika jimbo hilo.

Msikilize hapo chini akiongea na mwanahabari baada ya kushinda ubunge jimbo la Rochdale.

Vladimir Putin has hired an academic who urged him to strike Europe with nuclear weapons and leave the planet in "radioactive ruins".

Sergei Karaganov, 71, will now work in the Kremlin to study ways to "deter the West", according to reports.

He wrote in a 2,000-word essay that Putin should strike Europe with nuclear weapons to pre-emptively stop a global war, leaving the planet in “radioactive ruins."
He added that only a "madman" in the US would "sacrifice Boston for Poznan" – one of Poland's biggest cities.

Whaaaaaaat!!!!!
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱🥱
 
Attachments

  • 1714995854814.jpg
    1714995854814.jpg
    247.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom