Make sure you have a woman...5 ways for man to be completely happy.
1. Be with a woman who makes you laugh
2. Be with a woman who gives you her time
3. Be with a woman who takes care of you
4. Be with a woman who really loves you
5. Finally, make sure these four women don’t know each other!
Kipanya unawehuka!5 ways for man to be completely happy.
1. Be with a woman who makes you laugh
2. Be with a woman who gives you her time
3. Be with a woman who takes care of you
4. Be with a woman who really loves you
5. Finally, make sure these four women don’t know each other!
Kharkiv ndipo mashambulizi yote ya Ukraine kwenda Belgorod huanzia.Official: Operesheni ya mkoa wa Kharkiv/ kharkov imeanza.
Lengo kuu ni lipi:
Kubeba mkoa mwengine au kutengeneza njia ya kwenda maeneo mengine mfano kupyansk
Maelezo mazuri na timilifu.Kharkiv ndipo mashambulizi yote ya Ukraine kwenda Belgorod huanzia.
Pili, Kharkiv ndipo NATO /Marekani wamekuwa wakipanga kufanya mashambulizi kwa Russia na baadae waingie Russia kupitia Belgorod.
Russia tayari siku nyingi walikuwa wakilifahamu hilo hivyo ndo wameanza kushambulia ili baadae waweke "Buffer Zone" kuizuia Ukraine wasiweze kushambulia tena kwenda Belgorod.
Na ndo maana Jenerali Surovikin kapewa kazi hiyo akasimamie shughuli hiyo ya kuishughulikia Kharkiv.
Kumbe General Surovkin yupo tayari kazini Tena?Kharkiv ndipo mashambulizi yote ya Ukraine kwenda Belgorod huanzia.
Pili, Kharkiv ndipo NATO /Marekani wamekuwa wakipanga kufanya mashambulizi kwa Russia na baadae waingie Russia kupitia Belgorod.
Russia tayari siku nyingi walikuwa wakilifahamu hilo hivyo ndo wameanza kushambulia ili baadae waweke "Buffer Zone" kuizuia Ukraine wasiweze kushambulia tena kwenda Belgorod.
Na ndo maana Jenerali Surovikin kapewa kazi hiyo akasimamie shughuli hiyo ya kuishughulikia Kharkiv.
Yupo yeye ni mtalaam na kamanda wa jeshi la anga.Kumbe General Surovkin yupo tayari kazini Tena?