Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hakuna mazungumzo kwasasa. Anapokea misaada kutoka marekani na ulaya ili kuwaua warusi halafu anataka mazumgumzo?Jana nmeasoma mahali, Anaomba mazungumzo 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mazungumzo kwasasa. Anapokea misaada kutoka marekani na ulaya ili kuwaua warusi halafu anataka mazumgumzo?Jana nmeasoma mahali, Anaomba mazungumzo 😀
Wewe ndiye msemaji mpya wa Urusi?Hakuna mazungumzo kwasasa. Anapokea misaada kutoka marekani na ulaya ili kuwaua warusi halafu anataka mazumgumzo?
Kwa uzoefu wangu urusi hawezi kukubali mazungumzo huku Ukraine anaendelea kupokea mabomu kutoka NATO.nadhani hata wewe ungekua Putin usingekubaliWewe ndiye msemaji mpya wa Urusi?
Russia yenyewe imeweka wazi toka mwanzo kwamba iko tayari kwa mazungumzo na Ukreni (kwa vigezo vya Urusi).
NATO na Zelensky ndio wameonesha kwamba hawako tayari kwa hilo.
![]()
If Ukraine loses, NATO will fight Russia â Pentagon chief
Pentagon chief Lloyd Austin believes that if Ukraine loses the full-scale war with Russia, the latter will be forced to fight the entire North Atlantic Alliance.www.pravda.com.ua
Afadhal angalau unajaribu kwenda na uhalisia!Wewe ndiye msemaji mpya wa Urusi?