Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

VIpi mkuu avdiivka ilikuaje?
 
Mkuu tofautisha kuipigia simu kikawaida na kuitafuta kupitia mawimbi ya Satalaiti.

Alafu mbona umekomalia masaa 16?, helicopter ilitoweka saa 11 za jioni na ikapatikana saa 4 za usiku sasa hapo masaa 16 yametoka wapi?

Kuhusu uwezo wa Uturuki na Iran nchi siku zote haziwezi kulingana kwa kila kitu ni razima kuna sehemu watazidiana ,kuna sehemu Uturuki inaizidi Iran lakini pia kuna sehemu Iran inaizidi Uturuki.
 
Muonee huruma..angalau amepata Cha kuongelea....walikimbia Jukwaa....
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miatatu walilambishwa mchanga Jana πŸ₯± πŸ₯± πŸ₯±
 

Attachments

  • 1716284594379.jpg
    257.5 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…