LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nashindwa kuelewa maana ya neno "kushadidia".
Sijui maana yake.
Ila kitu nilichogundua ni kwamba huenda mjadala huu umeuanzia Hapa.
Kama uliuanzia mwanzo Kuna wadau waliufafanua kwa undani kabisa na kuonesha kua Urusi ana haki ya kuivamia Ukraine baada ya juhudi zote za kidiplomasia kishindikana.
Hata hivyo inategemea na utayari wako kuukubali ukweli.
Lakini uzuri wa mgogoro huu majibu yake yapo wazi kutokana na matukio yaliyokwisha kutokea.
Jibu mojawapo ni hili.
Unafahamu kua USSR ilipeleka makombora ya nyukilia Cuba ?
Je unafahamu ni Kwa sababu Gani USSR iliyapeleka Cuba?
Je unafahamu kua USA ilitaka kuivamia Cuba kwa sababu ya makombora hayo?
Je USA ilikua sahihi kutaka kuvuka mipaka yake na kwenda kuivamia Cuba kitu ambacho kingeharibu Mali za jirani yake Cuba?
Weather nimeanzia kati, mwanzo, au mbele, there is no way unahalalisha uvamizi wa Russia kwa Ukraine.
Si sahihi kwa Us kuivamia Cuba/ jirani yake yeyote au mwengine asiye jirani na vivyo hivyo kwa Russia.
Russia anayo haki ya kunilinda mipaka yake kama ulivyo Tanzania na taifa lolote.
 
Kuna ombaomba ni majasiri sana na hawana aibu. Ukiacha kwamba anataka Patriot 2 zenye zaidi ya $3 B bado anakwambia anahitaji si chini ya F-16 100 hadi 130. Afanye tu ayajenge na Putin wamalize huu mzozo otherwise hamna wa kutekeleza haya mahitaji yake.
Putin hana ustaarabu wa kuyajenga, ni mbabe. Anataka yeye ndo asikilizwe
 
watu wamekimbia miji ya UKREINE.... Baada ya sheria kupitishwa ya KWENDA MSTARI WA MBELE......
(Narudia tena, hapa kwetu mwaka 1978 kulikuwa na vita vya Kagera watu walikuwa wanasonga wenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye mapigano kukomboa nchi yao, wasioweza walikuwa wanachanga NG'OMBE, MBZU, KUKU, MAHINDI, NGANO , SUKARI n.k kwa ajili ya askari wetu walio mstari wa mbele, NAJIVUNIA JESHI LETU.....NAJIVUNIA PIA JESHI LETU LA MGAMBO) VIVA TANZANIA........ VIVAAAAAA!!!!!!

View: https://x.com/Zlatti_71/status/1792088812379607198

Kwenye jambo kama hilo Ukraine ni wa kuhurumiwa. Uliwahi kushare mpaka wa kiwanja na jirani mbabe na mwenye uwezo?.
 
Naona Ukraine kaamua kudeal na refineries za mafta.., haipiti siku bila kuzichakaza!

⚡⚡Slavyansk oil refinery in Russia’s southern Krasnodar region halted operations following a Ukrainian drone attack overnight, Interfax news agency reported. The refinery is a private plant with a capacity of 4 million metric tonnes of oil per year, about one million barrels per day.
 
Weather nimeanzia kati, mwanzo, au mbele, there is no way unahalalisha uvamizi wa Russia kwa Ukraine.
Si sahihi kwa Us kuivamia Cuba/ jirani yake yeyote au mwengine asiye jirani na vivyo hivyo kwa Russia.
Russia anayo haki ya kunilinda mipaka yake kama ulivyo Tanzania na taifa lolote.

Ni kama tu ambavyo USA alivyoenda kuipiga Iraq kwa kisingizio cha WMD, ambazo hakuzipata.

Basi na Russia wamuacha aidunde Ukraine then baadae atakuja kuomba radhi kama USA and allies walivyoombaga radhi kuhusu Iraq.

Ila kwa Sasa, acha Ukraine apigwe.
 
Weather nimeanzia kati, mwanzo, au mbele, there is no way unahalalisha uvamizi wa Russia kwa Ukraine.
Si sahihi kwa Us kuivamia Cuba/ jirani yake yeyote au mwengine asiye jirani na vivyo hivyo kwa Russia.
Russia anayo haki ya kunilinda mipaka yake kama ulivyo Tanzania na taifa lolote.
Nimesema umeanzia kuifuatilia thread hii katikakti sio Kwa Nia ya kukudharau au kukubeza,Bali nimesema Kuna wadau humu walishaelezea huko nyuma kwa kina sababu za Urusi kumvamia jirani yake yaani Ukraine.
Tena sio TU ni jirani yake Bali pia ni ndugu yake wa damu
 
Back
Top Bottom