Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sisi wapenda haki tukiona hivi tunafurahi sana.
Tukiona wanajisalimisha tunafurahi kwa sababu inaepusha maisha ya binadamu wenzetu kupotea.
Macaroni eeeh!?Hawajaelemewa?!
Huyo Macaroni ndiye nani!
Sio kazi rahisi kumfunga kamba 'kichaa' aliyeshika panga.Hii point Yako hua inanifikirisha sana.Tuliambiwa na
Tunaambiwa Urusi ni nchi maskini,Leo inakuaje nchi zote zinazoitwa matajiri hapa duniani kwa pamoja zinashindwaje kuiadhibu nchi moja TU ambayo ni maskini?
Nashindwa kuelewa maana ya neno "kushadidia".Mpenda haki hashadadii mbabe anayevuka mpaka wake kwenda kuuwa na kuharibu mali za majirani zake.
Ukichaa wa Urusi uko wapi hapo?Sio kazi rahisi kumfunga kamba 'kichaa' aliyeshika panga.