mwanyolataa
Senior Member
- Nov 25, 2012
- 114
- 43
vita sio kitu ya kufurahia, sasa haya maisha gani aisee?⚡Russian missile strikes shopping mall in Kharkiv.
200 people are estimated to have been inside when the missile hit.
View attachment 2999430
Ndege hiyo ikiona kuna dalili za movement ya F-16 kwenda kushambulia automatically inafyatua kombora kuipiga ndege hiyo.Wakati NATO inajipanga kupeleka F-I6 Ukraine, hivi karibuni wameshangazwa kwa kuonyeshwa toleo jipya la Su-30SM2 iliyobeba makombora ya R-37M na R-77-1.
Kutokana na waliyounda ndege hii ( Russia) , inauwezo wa kutungua ndege ikiwa umbali wa 300km.
Ukubwa wa kichwa siyo wingi wa akili.
mhh hapo kazi ipo. west wakijitutumua kuja kivingine wanapokelewaWakati NATO inajipanga kupeleka F-I6 Ukraine, hivi karibuni wameshangazwa kwa kuonyeshwa toleo jipya la Su-30SM2 iliyobeba makombora ya R-37M na R-77-1.
Kutokana na waliyounda ndege hii ( Russia) , inauwezo wa kutungua ndege ikiwa umbali wa 300km.