LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NAIBU WAZIRI MKUU WA ITALIA
"MATTEO SALVIN"

1716791241778.png
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga Jana 🥱 🥱 🥱 🥱
 
Attachments

  • 1716794336448.jpg
    1716794336448.jpg
    248.2 KB · Views: 6
Wakati NATO inajipanga kupeleka F-I6 Ukraine, hivi karibuni wameshangazwa kwa kuonyeshwa toleo jipya la Su-30SM2 iliyobeba makombora ya R-37M na R-77-1.
Kutokana na waliyounda ndege hii ( Russia) , inauwezo wa kutungua ndege ikiwa umbali wa 300km.
 
Attachments

  • 20240527_115906.jpg
    20240527_115906.jpg
    68.6 KB · Views: 7
Wakati NATO inajipanga kupeleka F-I6 Ukraine, hivi karibuni wameshangazwa kwa kuonyeshwa toleo jipya la Su-30SM2 iliyobeba makombora ya R-37M na R-77-1.
Kutokana na waliyounda ndege hii ( Russia) , inauwezo wa kutungua ndege ikiwa umbali wa 300km.
Ndege hiyo ikiona kuna dalili za movement ya F-16 kwenda kushambulia automatically inafyatua kombora kuipiga ndege hiyo.
 
Huyu hawajui wamagharibi! Atatoboa??

Western states trying to make another dash into Africa – Tanzanian FM​

January Makamba emphasized the importance of African sovereignty and the right to choose international partners without pressure

Ukubwa wa kichwa siyo wingi wa akili.

Africa desires the level of development that Europe and other Asian countries has had, but she is unwilling to pay the price that others have paid to get there.

She has yet to learn that short-cuts are not only wrong cuts, but long-cuts actually.
 
Wakati NATO inajipanga kupeleka F-I6 Ukraine, hivi karibuni wameshangazwa kwa kuonyeshwa toleo jipya la Su-30SM2 iliyobeba makombora ya R-37M na R-77-1.
Kutokana na waliyounda ndege hii ( Russia) , inauwezo wa kutungua ndege ikiwa umbali wa 300km.
mhh hapo kazi ipo. west wakijitutumua kuja kivingine wanapokelewa
kwa mikono miwili wanaishiwa namna, hadi wakaanze kuchangishana tena.
inavyoonekana kama mrusi nayeye hataki kumaliza hili mbungi,maana ana silaha
nyingi tu hajazitoa,anakuwa anazitoa tu kama surprise
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na mianne walilambishwa mchanga Jana
 
Attachments

  • 1716880004535.jpg
    1716880004535.jpg
    249.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom